Taifa stars haijawahi kushinda mechi rais kikwete akiwa uwanjani??

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
1,250
Inasemekana timu ya taifa ya tanzania haijawahi kuibuka na ushindi ikiwa inashuhudiwa na rais kikwete kama mtazamaji au mgeni rasmi na kwamba mara zote hizo imekua ikiambulia kichapo au sare. Naomba mwenye kumbukumbu sahihi anijuze.
 
Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
0
Inasemekana timu ya taifa ya tanzania haijawahi kuibuka na ushindi ikiwa inashuhudiwa na rais kikwete kama mtazamaji au mgeni rasmi na kwamba mara zote hizo imekua ikiambulia kichapo au sare. Naomba mwenye kumbukumbu sahihi anijuze.

Nakumbuka ile mechi ya kwanza ya maximo,ambapo tuliwafunga Bukinafaso mbili-moja,alikuwemo uwanjani.Unless niwe nimechanganya madesa
 
Mzizi wa Mbuyu

JF-Expert Member
May 15, 2009
6,984
2,000
Anamikosi na kisa, ni jinsi anavyowatesa watanzania na alivyolayimisha kuongoza ilhali anajua hana ana akili hiyo.
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
214,636
2,000
Anamikosi na kisa, ni jinsi anavyowatesa watanzania na alivyolayimisha kuongoza ilhali anajua hana ana akili hiyo.

JK ni mtumwa wa cheap popularity..........................na Mwenyezi Mungu kamwe hatampa nafasi ya kutuhadaa kwa dhuluma anazotufanyia...........
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,690
2,000
Tuliishinda 2-1 bukina faso nae akiwepo uwanjani. Nyingine zote akiwepo ni kipigo au sare.
 
PingPong

JF-Expert Member
Dec 21, 2008
927
225
Tuliishinda 2-1 bukina faso nae akiwepo uwanjani. Nyingine zote akiwepo ni kipigo au sare.

kweli ana roho ngumu sana kukubali kila siku kuja uwanjani na kutoka akiwa ameinamisha kichwa chini, mi nisingeweza uhuni huu lazima wote wanaohusika wangekuwa wanapata mshikemshike mpaka watarekebisha kila kona kwenye game next time. Nchi masikini kama hii inabidi kuiendesha bila kuonyesha sura ya tabasamu kwa kila mtu, kuna section inabidi unakuwa mkali mpaka watu wanakuwa hawalali kuhakikisha mambo yanaenda sawa , ukiweka pressure kwa viongozi then hao viongozi wakaiweka hiyo pressure kwa makocha then kwa wachezaji lazima kitaeleweka tu.
 
Tunga

Member
Nov 22, 2010
73
0
Taifa stars vs Burkina Faso alikuwepo na tukashinda lakini toka siku hiyo hamna mechi tulioshinda akiwepo...........
 
samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
1,250
Kama hali ndo hiyo inabidi TFF wabadili upepo waanze kumualika mtoto wa mkulima pinda au shein inawezekana hao wakawa na nyota ya USHINDI ,
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,785
2,000
Kama hali ndo hiyo inabidi TFF wabadili upepo waanze kumualika mtoto wa mkulima pinda au shein inawezekana hao wakawa na nyota ya USHINDI ,

cheka checka haiwezi kuipeleka nchi po pote. Angeikomalia TFF hali ingebadilika.
 
Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,841
1,225
kuepuka aibu naona brass band ndo inaongoza nyimbo za taifa.
Swali ina maana ndo solution?
Kama ni hivyo basi wamrudishe kaijage kwa kuwa inaonekana si kosa lake!?
TZ bana ...............
 
Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
1,195
Yaani haya maneno alayopewa Jakaya yangekuwa ni sumu angeshakuwa amekufa siku nyingi ila waswahili huwa wanasema "mtasema mchana usiku mtalala" "kelel za chura..........." "dua ya mwewe..........." ninamuonea sana huruma JK
 
SNAKE HOUSE

Member
Oct 4, 2010
62
0
Najisikia haya kugundua (Watanzania ?)wenye hoja finyu namna hii........ Ambao kwamba
misimamo yao finyu imegubikwa na kiza kinene !!!!! Pole saaana Samirnasri,na wote waliounga mkono,uchovu huu !!!!!!!!
HAINA KULIA,KIKWETE NI MWANAMICHEZO NAMBA MOJA.
 
ifolako

Member
Nov 8, 2010
98
0
Swali la maana ni kuuliza tangu uongozi wa Tenga uwe madarakani ni lini timu yoyote ta Tanzania ilichukua kombe la CECAFA?Kwani enzi za akina Ndolanga na Wambura Simba ilibeba kombe la CECAFA mara 3 mfululizo na Taifa Star ilibeba kombe la CECAFA mwaka 1994 kule Kenya,sasa Tenga na wenzake wanangoja nini TFF au ndio maana ya Tafuna Fedha Fasta?
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,273
2,000
Nashauri wachezaji wachunguzwe mwelekeo wa kisiasa isijekuwa wanacheza kwa msukumo wa kisiasa zaidi badala ya maslahi ya Taifa. Maana Zanzibar wamekuwa kitu kimoja ushindi unaanza kupatikana!!!!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,228
2,000
kweli ana roho ngumu sana kukubali kila siku kuja uwanjani na kutoka akiwa ameinamisha kichwa chini, mi nisingeweza uhuni huu lazima wote wanaohusika wangekuwa wanapata mshikemshike mpaka watarekebisha kila kona kwenye game next time. Nchi masikini kama hii inabidi kuiendesha bila kuonyesha sura ya tabasamu kwa kila mtu, kuna section inabidi unakuwa mkali mpaka watu wanakuwa hawalali kuhakikisha mambo yanaenda sawa , ukiweka pressure kwa viongozi then hao viongozi wakaiweka hiyo pressure kwa makocha then kwa wachezaji lazima kitaeleweka tu.
Ni zaidi ya kuwa na roho ngumu......

Ni kukosa uwezo wa kupambanua asubuhi au jioni; mchana au usiku; mvua au jua; mbele au nyuma; kushoto au kulia; bahari au nchi kavu; -ke au -me; the list goes on and on and on.
 
Isaac

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
930
1,000
Yaani haya maneno alayopewa Jakaya yangekuwa ni sumu angeshakuwa amekufa siku nyingi ila waswahili huwa wanasema "mtasema mchana usiku mtalala" "kelel za chura..........." "dua ya mwewe..........." ninamuonea sana huruma JK

Dua la mwewe,ni kupata kuku wazembe!
Mbona Sumaye alikuwa akihudhuria mechi za Simba kimataifa ilikuwa inagaragaza mtu hata kwao? Au ndio jk ana kimavi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom