KabisaSerikali imejitenga na wananchi. Katiba hususan Ibara ya 8 inapuuzwa na kusiginwa kupitia matendo ya Serikali
Mkuu nashukuru sana.Mkuu Msanii karibu tena
Karibu tena mkongwe.Wanabodi nawaamkua
Muda mrefu nimekuwa msomaji humu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uwezo wa Mungu Muumba nimeona nichukue wasaa kuandika huu uzi mfupi.
Tanzania (Tanganyika) ilipofikia sasa ni njiapanda ngumu with narrow escape. Sababu za kusema hayo ni kwamba
- Viongozi wamejigeuza watawala huku wakidhibiti maoni chanya na ukosoaji wowote
- Vyombo vya dola vimewageuza raia sisi kama adui namba moja wa nchi
- Wengi wanaosimama na wananchi, wanaonekana ni mongers wa madaraka. Ambapo wakipewa madaraka baada ya kuhamia CCM wanageuka more vampires kuliko wenyejj CCM.
- Srrikali imejitenga na wananchi. Katiba hususan Ibara ya 8 inapuuzwa na kusiginwa kupitia matendo ya Serikali
- Kutekwa na kuuawa wakosoaji na ili mkosoaji apone chupuchupu ni pale atakapobambikizwa kesi na kushtakiwa
- Mhimili wa Mahakama umegoma na kukwepa kusimamia HAKI. Mahakama kwa umoja wake imesimama upande wa watawala bila kujali athari za muda mrefu
- Wapunzani wamefunguliwa kesi za kubumba, mfano kesi ya uhaini dhidi ya Lisu n.k.
- Sababu ni nyingi, unaweza kuongezea za kwako pia...
Nchi inakuhitaji kwa sababu;
- Uzalendo ni kuipigania nchi hususan ustawi chanya wa demokrasia, uchumi, kisekta, kiutamaduni na kadhalika kwa gharama yeyote.
- Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
- Mfumo wa nchi umejengwa katika kuisaidia CCM kuliko nchi. Mauaji na matukio hasi ya kisiasa dhidi ya raia yanaonekana dhahiri kutendwa ama kuratibiwa na vyombo vya dola. Hivyo kama mimi na wewe hatutosimama kuhesabiwa kila mtu atafikiwa kwa wakati wake na kutendwa kiuovu, yowe la mtu mmoja liamshe MAYOWE ya kupambanja haki
No Reforms
No Election
Pole sana Kaka nimeona Mkurugenzi Melo ndio katuambia haupo sawa kiafya. Na baada ya muda mfupi tumeona unatuma huu uzi.Mkuu nashukuru sana.
Ninasoma humu daily ingawa nakwama (kiafya) kuandika sana. Naishia kuwasoma akina Lucas Mwashambwa wakiendeleza upotoshaji ingawa hawafanikiwi kupotosha
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza niWanabodi nawaamkua
- Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
You are right bro, bado hatujawa na chama cha upinzani chenye nguvu kama ilivyokuwa ANC kipindi cha mapambano ya apartheid. Bado mapandikizi ya CCM ni mengi ndani ya upinzani. Bado kazi ni kubwaSiasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni
Hivyo CCM bado ipo ipo sana and probably milele yako na milele yangu!, watu wamezaliwa wameikuta!, watakufa na kuiacha!.
- being- uwepo!, ili kitu kiwepo ni lazima kwanza ki exist, yaani kipo, kimeweza kuwepo kwa kuwekwa, hakiwezi kuondoka mpaka kiondolewe. Na wakati kikiwepo kina occupy space, ili kiweze kuondoka, lazima kwanza kuwepo kwa replacement kuki replace.
- Na ili kitu ki move, zile kanuzi tatu zile za Newton lazima zitumike.
- CCM ipo, haikujiumba, iliumbwa, haukujiweka iliwekwa!, ili CCM uondoke, ni lazima kwanza kupatikana kwa mbadala wa CCM, ndipo CCM ifungashwe virago vyake ipumzishwe!. Tanzania hivi tulivyo, CCM bado haina mbadala!, hivyo itaendelea kuwepo mpaka mbadala upatikane!.
- Uwepo wa CCM, una nguvu ilizoegemea, ili CCM ipishe njia kuuruhusu chama mbadala kuchukua nafasi yake, kanuni ya kwanza Newton ya the body in motion, lazima i apply, a body in motion itaendelea mpaka nguvu nyingine iisimamishe. CCM ipo na itaendelea kuwepo mpaka kutokee nguvu nyingine kubwa kuliko ya CCM ambayo itaweza kuipush CCM ikae pembeni!. Kwa Tanzania hakuna hiyo nguvu!.
- Ili CCM ikae pembeni ipumzishwe, lazima kwanza kutokea chama kingine, chama mbadala, kitakacho ioondoa CCM!. Kwa hivi vilivyopo, hakuna chama mbadala kui replace CCM!
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Je, CCM Itatawala Milele Au?

- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- Je, CCM Itatawala Milele Au?
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.
P
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni

Amen.P.S. Msanii pole sana na kuumwa -- may God be with you and may your health be restored!
Mkuu Paskali umeweka hoja yenye akili sana. Dukuduku langu ni kwamba, tunawekaje ama kustawishaje mbadala wakati mfumo unaua ustawi hata kabla haujazaliwa?Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni
Hivyo CCM bado ipo ipo sana and probably milele yako na milele yangu!, watu wamezaliwa wameikuta!, watakufa na kuiacha!.
- being- uwepo!, ili kitu kiwepo ni lazima kwanza ki exist, yaani kipo, kimeweza kuwepo kwa kuwekwa, hakiwezi kuondoka mpaka kiondolewe. Na wakati kikiwepo kina occupy space, ili kiweze kuondoka, lazima kwanza kuwepo kwa replacement kuki replace.
- Na ili kitu ki move, zile kanuzi tatu zile za Newton lazima zitumike.
- CCM ipo, haikujiumba, iliumbwa, haukujiweka iliwekwa!, ili CCM uondoke, ni lazima kwanza kupatikana kwa mbadala wa CCM, ndipo CCM ifungashwe virago vyake ipumzishwe!. Tanzania hivi tulivyo, CCM bado haina mbadala!, hivyo itaendelea kuwepo mpaka mbadala upatikane!.
- Uwepo wa CCM, una nguvu ilizoegemea, ili CCM ipishe njia kuuruhusu chama mbadala kuchukua nafasi yake, kanuni ya kwanza Newton ya the body in motion, lazima i apply, a body in motion itaendelea mpaka nguvu nyingine iisimamishe. CCM ipo na itaendelea kuwepo mpaka kutokee nguvu nyingine kubwa kuliko ya CCM ambayo itaweza kuipush CCM ikae pembeni!. Kwa Tanzania hakuna hiyo nguvu!.
- Ili CCM ikae pembeni ipumzishwe, lazima kwanza kutokea chama kingine, chama mbadala, kitakacho ioondoa CCM!. Kwa hivi vilivyopo, hakuna chama mbadala kui replace CCM!
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Je, CCM Itatawala Milele Au?
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- Je, CCM Itatawala Milele Au?
- Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.
P
Naforce ana vunja katiba ya chama chake na nchi. Aibu kwa msajili wa vyama vya siasa na mahakamaWanabodi nawaamkua
Muda mrefu nimekuwa msomaji humu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uwezo wa Mungu Muumba nimeona nichukue wasaa kuandika huu uzi mfupi.
Tanzania (Tanganyika) ilipofikia sasa ni njiapanda ngumu with narrow escape. Sababu za kusema hayo ni kwamba
- Viongozi wamejigeuza watawala huku wakidhibiti maoni chanya na ukosoaji wowote
- Vyombo vya dola vimewageuza raia sisi kama adui namba moja wa nchi
- Wengi wanaosimama na wananchi, wanaonekana ni mongers wa madaraka. Ambapo wakipewa madaraka baada ya kuhamia CCM wanageuka more vampires kuliko wenyejj CCM.
- Srrikali imejitenga na wananchi. Katiba hususan Ibara ya 8 inapuuzwa na kusiginwa kupitia matendo ya Serikali
- Kutekwa na kuuawa wakosoaji na ili mkosoaji apone chupuchupu ni pale atakapobambikizwa kesi na kushtakiwa
- Mhimili wa Mahakama umegoma na kukwepa kusimamia HAKI. Mahakama kwa umoja wake imesimama upande wa watawala bila kujali athari za muda mrefu
- Wapunzani wamefunguliwa kesi za kubumba, mfano kesi ya uhaini dhidi ya Lisu n.k.
- Sababu ni nyingi, unaweza kuongezea za kwako pia...
Nchi inakuhitaji kwa sababu;
- Uzalendo ni kuipigania nchi hususan ustawi chanya wa demokrasia, uchumi, kisekta, kiutamaduni na kadhalika kwa gharama yeyote.
- Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
- Mfumo wa nchi umejengwa katika kuisaidia CCM kuliko nchi. Mauaji na matukio hasi ya kisiasa dhidi ya raia yanaonekana dhahiri kutendwa ama kuratibiwa na vyombo vya dola. Hivyo kama mimi na wewe hatutosimama kuhesabiwa kila mtu atafikiwa kwa wakati wake na kutendwa kiuovu, yowe la mtu mmoja liamshe MAYOWE ya kupambanja haki
No Reforms
No Election
She is my good friend. Anajali sana
Nashukuru kwa wishes.
Tuendelee kuifia nchi, na tusikubali kuua wananchi