Taifa lina haki ya kuwajua viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao ESCROW

kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua

Kama kweli UPINZANI unaweza kuzuia vyombo vya dola TAKUKURU, CAG, PAC na vyombo binafsi kama MKOMBOZI bank, STANBIC bank, kutaja majina ya VIONGOZI wao (Upinzani) waliopata mgao na ESCROW basi huu sio tena ni UPINZANI bali ni chama kinachoongoza nchi na vyombo vyake.

But if my brains still serves me well, yule mbunge wa MKENGE (sio mbunge wa Nkenge) Assumpta Mshama, alimtaja Mbowe bungeni kwamba naye alipata Mgawo wa Escrow, lakini alipoombwa aushahidi wa madai yake, aka withdraw hiyo statement na kusema ni siasa ya maji taka!, ambayo na wewe mletea uzi unaileta kwa mgongo wa nyuma.
 
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua

zinazimwa na nani kama waandamizi wakuu wa serikali wametajwa viongozi wa upinzani ni nani wasitajwe ila daima mfa maji heshi kutapatapa poleni magamba
 
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua

labda ututajie wewe inawezekana una majina na ushahidi kwamba na wao walichukua.
waambie hao walioficha majina ya watu waliopokea mgao kutoka stambic wa release majina yao.
 
labda ututajie wewe inawezekana una majina na ushahidi kwamba na wao walichukua.
waambie hao walioficha majina ya watu waliopokea mgao kutoka stambic wa release majina yao.

futa povu mdomoni ukisubiri zawadi ya mwaka mpya,lazima kieleweke
 
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua

angekuwa kuna.mpinzan.kachukua hela jina lake ndo lingekuwa la kwanza pale juu embu tumia akili yako ya chekechea kufikiria mpinzan ahongwe
 
futa povu mdomoni ukisubiri zawadi ya mwaka mpya,lazima kieleweke

sasa unaogopa nini kuwataja kama unawajua?
unaishia kwenye tetesi, sisi hatujadili tetesi bali facts zilizo mezani tu.
kafanye uchunguzi wako vizuri ukipata ushahidi uje nao hapa tuujadili.
vinginevyo utakua kilema wa akili kug'ang'ania kujadili tetesi.
mimi nakushangaa!
 
kuna tetesi ambazo kila mahali zinazimwa kwamba kuna viongozi wakuu wa upinzani waliopata mgao,kama taifa tuna haki ya kuwajua

ivi ukiwa mwana.ccm akil zinahamiaga wapy mpinzan awepo alafu ccm.wanyamaze alafu eti mpinzan azime tetesi hv ni vioja:sly:
 
Nenda kaulize Ikulu utapewa majina kwani 80% ya waliochukua fedha hizo wanapatikana huko

jamani acheni ukali hata kama mna maslahi au mlipata mgao toka kwa hao viongozi,the nation needs an answer
 
Ccm ni wezi na viongozi wao wote hakuna wa kulikataa hilo wanapita mtaani kuwa danganya wana nchi ila sasa tunamshukuru mungu wameanza kujidanganya wenyewe
 
Kwani mmeshamaliza wale waliobeba njuluku kwenye marobota? Tuanze na hao kisja tumalize na TL si ndo unataka kusema?
 
Back
Top Bottom