Hayo ndiyo mawazo ya bavicha tena mlianza siku nyingi lazima mtalaaniwa na bwana.Sasa tunatengeneza kambi za Al-shabab
Wewe ndiyo hakuna ulichoandika utakuwa umevurugwa kwa kiasi kikubwa mtu mwenye akili nzuri hawezi kuandika ubwabwa kama ulioandika.Unapaswa kuitwa siafu jike,kwani sjaona haja ya kumdhihaki mleta hoja.hiki kitendo cha ubaguzi wa kidi kipo na kinazidi kukomaa kwenye mashule kama unaakili timamu jiulize inakuwa vipi we ni mkiristo unalazimishwa kuingia mskitini kusali ilihali we sio mwislam?na vivyo hivyo kwa shule za kikatoriki mwanafunzi mwislamu analazimishwa kwenda kanisani na kusoma mafundisho ya biblia je hapo kuna haki ya kuabuda?serikali ipo inaimba kidumu chama cha mapinduz kila sku,imeshindwa kuilinda katiba na kuitetea kuhusu uhuru wa kuabudu,kwa mantiki hiyo kukiwa na watoto watano wa kislamu watatu wakristo wawili wanahtaji nafasi kwenye shule ya kikristo kipao mbele unadhani kitakuwa kwa nani?imefka sasa mtoto wa kislamu aogope kuvalia mavaz ya kidini pindi anapoenda kutafta nafasi kwenye shule za kikristo kwani ataambiwa nafasi haipo kabla hata ya kupewa kiti,ilinitokea mwenyewe sintasahau.
Mbona hausemi seminari za Wakirsto hawataki Waislam au wewe kwako hakuna tatizo wewe umeona chuo kikuu cha Morogoro tu.Mbali na matatizo ya Kisiasa nchini na mgawanyiko wa mawazo ya muundo wa Katiba pamoja na mchakato wake.
Tofauti za Kidini zimeanza kuongezeka na zinakuwa kwa kasi kubwa sana. Sasa hivi tuna Sekondari ambazo dini mbili hazichanganyiki, tuna chuo kikuu cha kiislamu ambacho wakristu hawaingii kusoma hapo. Kuna shule ya sekondari pale Iringa ya mwarabu wa ASAS ambayo sasa dini tu haitoshi, bila kuwa Mhindi au mwarabu huingii kusoma.
Shule hizi siyo seminari. Ni shule za kawaida na hakuna sababu ya kubagua dini au rangi ya mtu.
Wasiwasi wangu ni kwamba hali hiyo inawaonyesha vijana wetu kwamba hawastahili kuchangayika. Wanasoma ktk mazingira hayo na hata itakapofika ktk ajira hawataweza kuchanganyika.
Wapi tunakokwenda? Tunaowaita viongozi wanaiona hali hii au ni faraja kwao?
Shule zikianza kufundisha Watu wa Imani Moja tu,Al Shabab haiepukiki.Huu uchambuzi wako ni wakizushi, uchochezi na Unafiki mkubwa sana. Na hizi ndo dalili za fikra jangwa na mawazo kame.
Hebu angalia majina yaliyotolewa na TCU kwaajili ya wanafunzi takaojiunga na MUM mwaka huu kama hakuna watu wa dini nyingine.
Halafu mbona unaonekana kuushambulia upande mmoja? Inamaana wewe unaziona taasisi za Kiislam tu!!? Hizo nyingine huna taarifa nazo au umetumwa.
Hata ufanyeje, amani tulonayo haitavujika kirahic!!?
MAMLUKI MKUBWA
......listern to ur self and use ur brain properlyUnapaswa kuitwa siafu jike,kwani sjaona haja ya kumdhihaki mleta hoja.hiki kitendo cha ubaguzi wa kidi kipo na kinazidi kukomaa kwenye mashule kama unaakili timamu jiulize inakuwa vipi we ni mkiristo unalazimishwa kuingia mskitini kusali ilihali we sio mwislam?na vivyo hivyo kwa shule za kikatoriki mwanafunzi mwislamu analazimishwa kwenda kanisani na kusoma mafundisho ya biblia je hapo kuna haki ya kuabuda?serikali ipo inaimba kidumu chama cha mapinduz kila sku,imeshindwa kuilinda katiba na kuitetea kuhusu uhuru wa kuabudu,kwa mantiki hiyo kukiwa na watoto watano wa kislamu watatu wakristo wawili wanahtaji nafasi kwenye shule ya kikristo kipao mbele unadhani kitakuwa kwa nani?imefka sasa mtoto wa kislamu aogope kuvalia mavaz ya kidini pindi anapoenda kutafta nafasi kwenye shule za kikristo kwani ataambiwa nafasi haipo kabla hata ya kupewa kiti,ilinitokea mwenyewe sintasahau.
wewe ndo umegawanyika......ujinga tu...we hao waliogawanyika unawaona wapi mbon sisi mitaani tuko poa tu...au unaishi msikitin au kanisani nini..?
ulianza kama mchezo wa kubaguana kisiasa baadae ukaenda kwenye dini sasa kuna shughuli pevu waburushi wanataka shule ya kwao wenyewe. hii ni kali zaidiMbali na matatizo ya Kisiasa nchini na mgawanyiko wa mawazo ya muundo wa Katiba pamoja na mchakato wake.
Tofauti za Kidini zimeanza kuongezeka na zinakuwa kwa kasi kubwa sana. Sasa hivi tuna Sekondari ambazo dini mbili hazichanganyiki, tuna chuo kikuu cha kiislamu ambacho wakristu hawaingii kusoma hapo. Kuna shule ya sekondari pale Iringa ya mwarabu wa ASAS ambayo sasa dini tu haitoshi, bila kuwa Mhindi au mwarabu huingii kusoma.
Shule hizi siyo seminari. Ni shule za kawaida na hakuna sababu ya kubagua dini au rangi ya mtu.
Wasiwasi wangu ni kwamba hali hiyo inawaonyesha vijana wetu kwamba hawastahili kuchangayika. Wanasoma ktk mazingira hayo na hata itakapofika ktk ajira hawataweza kuchanganyika.
Wapi tunakokwenda? Tunaowaita viongozi wanaiona hali hii au ni faraja kwao?
Mbona hausemi seminari za Wakirsto hawataki Waislam au wewe kwako hakuna tatizo wewe umeona chuo kikuu cha Morogoro tu.
Wewe ndiyo hakuna ulichoandika utakuwa umevurugwa kwa kiasi kikubwa mtu mwenye akili nzuri hawezi kuandika ubwabwa kama ulioandika.