Taifa limechanganyikiwa?

Ufafanuzi mpya kuhusu bendera yetu
Your browser is not able to display this video.
 
Ni vitu viwili tofauti kabisa..

Mabehewa yaliyoingia sio hayo yanayosambazwa. Tujadili mambo mengine ya msingi.

Video iliyosambazwa juzi ilikuwa ya behewa mpya za MGR ambazo ni tofauti na zile mpya za SGR japo rangi zinafanana maana hiyo ndiyo rangi rasmi ya TRC, hata baadhi ya majengo ya Trc hivi karibuni yamepakwa rangi hiyo, mfano jengo lililopo mtaa wa Tambukareli Dodoma
 

WASHIRIKI WA MAFUNZO YA ULINZI NA USALAMA WAFURAHIA BEHEWA MPYA ZA SGR
 
Ufafanuzi wa ngapi huu?

TAARIFA KWA UMMA • UFAFANUZI KUHUSU BEHEWA ZA MGR
 
Muda umeanza kuongea wenyewe.

Uwongo na ukweli ni mafuta na maji havichanganyiki infinity.

Muda simrefu mtasema Jembe alikuwa kinara wa mchezo.
 
Muda umeanza kuongea wenyewe.

Uwongo na ukweli ni mafuta na maji havichanganyiki infinity.

Muda simrefu mtasema Jembe alikuwa kinara wa mchezo.
Unafuata mtiririko wa mada nani anamjibu nani?
 
Kwa mfano Lissu,Mbowe na Lema wangekuwa bado wanatutetea ni nini kingekaa sawa katika haya masuala? Au ndio ingekuwa kuna watu wa kutuongelea tu kisha hakuna kinachobadilika?
 
Naungana na Mzee makamba, kweli watanzania hawana shukrani yani mungu kaamua ugomvi kaingilia kati na kuweka mambo sawa ila ajabu ndio kwanza mamalamiko yanaendelea vile vile kama mungu hakuna alichofanya.
 
Mimi kwa yooooote, nashangaa ukimya wa kigogo 2014
 
Mwenyez Mungu tumemkosea sana na hakuna anayetaka toba hali ni mbaya seriously
 
UMENITOA MACHOZI. HAKI YA MUNGU KUNA SIKU INA KUJA,SIKU ISIYO NA JINA,NCHI HII NI LAZIMA KIUMANE.
 
Nakuheshimu sana mshana,tena wewe ni mwlm wangu kwenye mambo mengi sana,lkn kwenye hili,umebugi,au unajizima data,jpm ndio alikuwa mwarobaini wa yoote hayo,acha kujidanya,
 
Mshana ni bonge la mtu mnafiki na mbabaishaji tu,hana lolote,hata hiyo sifa unayompa,haimfai,yeye aende akapige ramli tu.
 
Kwa hilo alaumiwe jom
 
Hoja aliwapola jpm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…