Taifa limechanganyikiwa?

Wanzanzibara safari hii kazi tunayo!
Sasa Mkuu Mshana vipi uko kwenye vyombo vyenu vya asili hamjaliona hili suala la kurogwa ili tujue tunatokaje hapa!
Nako kumechanganyikiwa [emoji23]
 
Baada ya watu kubanwa na kuambiwa wazi ...Uhuru wao Una limit ...not to that extent..Kwa miaka 6...
Kinachotokea sasa ni too much freedom ya kulalamika na kulaumu...
Watu wanapata sehemu ya kuondoa machungu Yao tu..new freedom ina mambo yake
Hii mbona Haina uhusiano na huu Uzi.

Au umekosea njia ukitaka kukoment kwingine?
 
Hili la SGR ufafanuzi wake sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kabisa brother! I anahangaika na wauza gongo na bange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati kuna majizi yanasomba sio kuiba
 
Mizimu ya babu yako inakusaidia kuwa na fikra njema
 
Watanzania walitegemea Mbowe, Lema na Lissu wawatetee kila siku, sasa tupambane na hali yetu, Mh. Mbowe endelea kakaa kimya - kwa sasa watanzania wamegeuka na kusema ati kapewa bahasha na CCM

Tena napenda kilo ya mchele ifike 5000, mgawo napenda ufikie masaa 24 kwa siku na mshahara wa kima cha chini usipande ili tutie adabu.

Mh Mbowe, Lissu Lema na wengine tuacheni kwanza watanzania tutie adabu.
 
Taifa linalotukana na kuwazaba vibao wazee ni lazima lilaaniwe na Muumba !! Huenda tumeshafika au tunakaribia huko. !!
 
Shukurani ni sauti ya imani, tumshukuru Mungu kwa hii confusion maana ni katika hili amani ya kweli itapatikana
 
Acount a mshana au imedukuliwa!?? Maana hii hoja ni kama vile sukuma geng wanalalamika.
 
Taifa linaloongozwa na ukoo wa panya ambapo kila mtu ni mwizi. Huwa najiuliza kweli mtu mwenye akili timamu unawezajue kumpa Mwigulu aongoze wizara nyeti ya fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…