Taifa Letu hili..embu ona

Taifa Letu hili..embu ona

supermario

Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
48
Reaction score
15
Kichwa kimeanza choka, ebu niwaze Taifa...

1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe.
4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa.
5. Taifa mbalo simu kali ni dili hata kama vocha waweka za jero jero.
6. Taifa ambalo unazaliwa umeme shida, unafika miaka 30 hata huna bajeti ya Jenereta/Solar, unailaumu tu TAAnexo!
7. Taifa ambalo warembo washajiona wao ni waomba kusaidiwa daima.
8. Taifa ambalo kila mtu anataka ajue bei ya kitu ulichonunua!
9. Taifa ambalo usipoiba unaonekana ----!
10. Taifa ambalo kila mtu analalamika hana ela, mpe dili sasa, anaanza longolongo
11. Taifa ambalo sanne lina foleni ya watu wanaenda makazini
12. Taifa ambalo ukisema upo ofisini satatu usiku unashangawa ila upo club sanane usiku unasifiwa
13. Taifa ambalo kusema jana nlikuwa bata sana ile mbayaaaa ni dili na waonekana mjanja
14. Taifa ambalo bila kuigana siku haijapita
15. Taifa ambalo kila anayehojiwa anasema "Naiomba Serikali iliangalie suala hili"
16. Taifa ambalo ukiwa na gari hutongozi unatoa tu lift kitu shaa
17. Taifa ambalo kulipa bili yako pekeako ukaruka za wengine ni vita
18. Taifa ambalo ikinyesha dakika 5 tu foleni masaa
19. Taifa ambalo viongozi wanajua "hawa watazoea tu" washazoea umeme, washazoea "haijajulikana", watazoea na hii
20. Taifa ambalo kijiMC kidonyo tu kinaweza kufariki Taifa zima likageukia Msiba
21. Taifa ambalo kuteswa ni kunyofolewa Meno na Kucha
22. Taifa ambalo viongozi wake wana mipasho ka taarabu
23. Taifa ambalo vijana wameombwa wasipondee bali wasifie nchi
24. Taifa ambalo hata bomu likilipuka Arusha, wa Mbagala anajichagulia jina la Mlipuaji
25. Taifa ambalo, dah, nmechoka, endeleeni nyie....
 
raisi ambaye muda mwingi yupo safarini kuomba misaada, na huku nchi ina utajiri kuliko hao anawaomba!!
 
Taifa ambalo ukipata cheo serikalini kwenye magazeti ya serikali wanaandika "FLANI AMEULA"
 
Taifa ambalo watu wake wanashinda na kukesha kwenye mitandao ya kijamii kama twiter.facebook na JF.
taifa ambalo wananchi wanapenda kuilalamikia serikali kwenye kilakitu badala ya kufanya kazi wanataka kuponda raha tu.
taifa ambalo raia wake wanapenda kuajiriwakuliko kujiajili wenyewe.
 
taifa ambalo rais anasema folen za barabaran ni maendeleo
 
nchi ambayo, Rais anawajua wala rushwa ila anawapa muda waache, wezi wanaambiwa warudishe walichoiba (EPA), ukimwajiri mtoto wa rais unapata uwaziri.............
 
Taifa ambalo katika makampun binafsi mgeni yoyote mwenye ngozi nyeupe ni boss hata Kama Hana elim au ujuzi wowote.
Taifa ambalo matokeo yanafinyangwa upya kuridhisha wananchi.
 
-taifa ambalao wabunge wake wanaongoza kwa kulala bungeni.
-taifa ambalo timu yake ya taifa inafungwa kila mechi na bado inasifiwa kuwa imecheza vizuri.
-taifa ambalo polisi wake ni wafanyabiashara wakubwa bangi
-taifa ambalo kila siku lazima liandike habari za wema na diamond kwenye magazeti yake..
 
Taifa ambalo raisi wake hajui kwa nini nchi ni masikini
 
Taifa Ambalo Raisi wake hajui kwa nn ni Maskini ilhali liba utajiri kibao wa Maliasili
 
taifa ambalo waziri wake wa elimu hana elimu ya historia ya nchi yake.
 
Taifa ambalo viongozi wake wa juu hata wakienda kwa vimada wao wanawasha ving'ora na kusababisha foleni.full kuzurura
 
Kichwa kimeanza choka, ebu niwaze Taifa...

1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela.
2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma.
3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga ikukopeshe.
4. Taifa ambalo ukifeli unakuwa mtangazaji wa kipindi maalumu kabisa.
5. Taifa mbalo simu kali ni dili hata kama vocha waweka za jero jero.
6. Taifa ambalo unazaliwa umeme shida, unafika miaka 30 hata huna bajeti ya Jenereta/Solar, unailaumu tu TAAnexo!
7. Taifa ambalo warembo washajiona wao ni waomba kusaidiwa daima.
8. Taifa ambalo kila mtu anataka ajue bei ya kitu ulichonunua!
9. Taifa ambalo usipoiba unaonekana ----!
10. Taifa ambalo kila mtu analalamika hana ela, mpe dili sasa, anaanza longolongo
11. Taifa ambalo sanne lina foleni ya watu wanaenda makazini
12. Taifa ambalo ukisema upo ofisini satatu usiku unashangawa ila upo club sanane usiku unasifiwa
13. Taifa ambalo kusema jana nlikuwa bata sana ile mbayaaaa ni dili na waonekana mjanja
14. Taifa ambalo bila kuigana siku haijapita
15. Taifa ambalo kila anayehojiwa anasema "Naiomba Serikali iliangalie suala hili"
16. Taifa ambalo ukiwa na gari hutongozi unatoa tu lift kitu shaa
17. Taifa ambalo kulipa bili yako pekeako ukaruka za wengine ni vita
18. Taifa ambalo ikinyesha dakika 5 tu foleni masaa
19. Taifa ambalo viongozi wanajua "hawa watazoea tu" washazoea umeme, washazoea "haijajulikana", watazoea na hii
20. Taifa ambalo kijiMC kidonyo tu kinaweza kufariki Taifa zima likageukia Msiba
21. Taifa ambalo kuteswa ni kunyofolewa Meno na Kucha
22. Taifa ambalo viongozi wake wana mipasho ka taarabu
23. Taifa ambalo vijana wameombwa wasipondee bali wasifie nchi
24. Taifa ambalo hata bomu likilipuka Arusha, wa Mbagala anajichagulia jina la Mlipuaji
25. Taifa ambalo, dah, nmechoka, endeleeni nyie....
Nondo za kweli tupu! Naongezea:
26. Taifa ambalo ukitengeneza dawa feki unapewa cheo.
27. Taifa ambalo ukiwa na utaalamu fulani na unataka kuutumia kusaidia wananchi wenzako,unawekewa mizengwe mpaka ufe
28.Taifa ambalo ukianzisha kampuni ya huduma, na kutoza bei ya chini ili kila mtu amudu huduma hiyo utadaiwa kodi kubwa ili ushindwe kutoa hiyo huduma.
 
Taifa ambalo mkuu wake ameuza nchi uchinani ili kumnusuru mtoto wake asinyongwe.
 
imagesa.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom