Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

Kauli yake kuhusu mikopo inadhihirisha uzalendo wake.

Hakuogopa taasisi ya urais wala kupoteza cheo chake.

Japo wanasema aliropoka ila ujumbe ulifika katika ukubwa wake.

Haijalishi amekosea mangapi ila kipindi hiki ndo uzalendo wake umejidhihirisha.
Nyie ni matahila kweli! Yaani ndugai Ni mzalendo?????????
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P

Ukweli ni kuwa si kila mamlaka Au Utawala huku duniani una kibali cha Mungu. Hivyo ni Ukweli kuwa si kila Utawala na Mamlaka zimetoka kwa Mungu.

Kwenye historia ya ulimwengu huu, Mataifa mbalimbali zimewahi kuwapo tawala Au watawala wakatili sana kwa watu, waliosababisha mauaji mengi ya kutisha. Kwa Mungu sisi binadamu ni wa thamani sana. Kamwe Mungu muumbaji HAWEZI kuzipa kibali tawala za namna hizo. Mara nyingi sana ni utashi wetu sisi wenyewe ndio unatufikisha kwenye shida nyingi za mamlaka za hovyo huku tukimsingizia Mungu kuwa ndio ameweka hiyo Mamlaka.

Shetani , yule mwana wa giza nae anahangaika usiku na mchana kuhakikisha ana simika utawala wake. Hivyo, mimi sioni ajabu nikiona Utawala wa hovyo sehemu yoyote huku duniani.
 
Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania.
Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu.

Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku zijazo au utashuka na kuusikiliza mkutano wao nakuwagawanya ndimi kuliokoa Taifa?

Wakati Hayati baba wa Taifa anaondoka hapa duniani alisema neno ambalo kwa sasa huu niwakati wako kulitekeleza... Alisema anatuombea Watanzania na yakwamba alitupenda na aliona yatakayo tokea kwa watanzania na akaomba Utusaidie na kutuokoa.

Mungu najuwa yapo mambo yamekukera na yamekukwaza na umeshuka kwa operation maalumu ktk Taifa la Tanzania najuwa watanzania wengi wakiwa wamelala wasijuwe chochote wewe utapita ktk anga ya Tanzania nakuacha watu midomo wazi wakati watakapo amka wasiamini kile umefanya.

Baba najuwa huu mwaka mpaka 2025 matendo yako yatakuwa dhahiri kwa taifa swala la haki utu na usawa utalisamia like never before. Wengi hawato amini ila je jina lako lidharaulike ? Lahasha kwa ajili ya watanzania umeshuka kwa ajili ya hili taifa umeshuka.

Hukushindwa kumpa miaka mingi Hayati Magufuli ila Wewe kwakuwa ni Mzee wa Siku Baba wa Siri za dunia ukaufupisha mwisho wake baada yakuona Kesho ambayo hakuna mtanzania aliijuwa na hata milele hatutojuwa maana jambo hili halikuwa lakawaida na kamwe pasipo kuachia wewe lisingetokea. Ila umetuacha na maswal magumu kwanini ulimuondoa katikati ya watu milion arobain na kitu? Mbona Ezekia ulimuongezea miaka yakuishi why not Magufuli?

Ulishuka ukawasikiliza ukaona mipango yao na malengo yao ktk siri ukausitisha mpango wao na hii nikujidhihirisha Wewe ni Mungu wa Taifa hili tumelia tumeombeza ila Wewe unabaki kuwa Mungu. Mapenzi yako yatimizwe duniani kama mbinguni na kazi yako haina makosa.

Wakati huu umeshuka na wengi wapo ktk usingizi wakiwa wamesahau kile kimetokea...
Wengine wakiabudu miungu nakupunga pepo kwa ajili ya Taifa je malango ya Taifa utaruhusu haya yatoke? Moyo wangu unalia na unaomboleza maana najuwa hutokubali na mbaya kuliko yote Utajibu wakati wakiza kinene sana.

Weka maarifa na hekima kwa wakuu wa ulinzi na usalama wa Taifa hili waonyeshe ktk maono na ndoto yale yatatokea wape mbinu za kimbingu kulinda amani ya Taifa Tz.

Taifa hili ni Taifa lako Taifa hili ni mali yako Mungu ulio wapa watanzania wote pasipo kujali dini,kabila au tamaduni. Sisi ni watoto wako. Amen
ALICHO WAFANYIA WAISRAELI KATIKA KARNE ZA ZAMANI MPAKA LEO HII, MWENYEZI MUNGU HAKIKA YUKO NASI NCHI YETU TANZANIA MILELE YOTE. MWENYEZI MUNGU NI MWEMA NA MWAMINIFU KWA NCHI YETU TANZANIA.
 
Mkuu we ni mlinzi,omba omba omba...biblia inasema ...niweka walinzi juu ya kutaka zako eeh Jerusalem ......
2nyakati 7:13-15
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu,watajinyenyekesha na kuomba,na kuziacha njia zao mbaya .....endele soma hapa mkuu hakuna namna
 
Kwani mwanzo ilikuwa wapi?
Kwani Tanzania imeanza kuwa Haiti? Kila kitu na wakati wake. Haya mambo ya Taifa linalojua kuroga na kurogona yatatuletea matatizo tu. Amyway, that is a personal choice...mnaotaka kuyaishi maisha ya aina hiyo, muishi kama nyinyi wenyewe. Hiyo isiwe strategy ya Taifa.
 
Strategy ya Rais ni ya Taifa
 
Mkuu we ni mlinzi,omba omba omba...biblia inasema ...niweka walinzi juu ya kutaka zako eeh Jerusalem ......
2nyakati 7:13-15
Ikiwa watu wangu walioitwa kwa jina langu,watajinyenyekesha na kuomba,na kuziacha njia zao mbaya .....endele soma hapa mkuu hakuna namna
Daniel 16
 
Baba wa Mbinguni, mimi naomba tu usitishe uhai wa ccm ifikapo 2025! Baba wa Mbinguni, unafahamu fika ccm siyo chama cha siasa! Isipokuwa ni kikundi cha watu wachache tu wapigaji!

Baba wa Mbinguni, ifikie wakati hii keki ya Taifa tuitafune wote! Hata mimi pia natamani kuishi kwenye ghorofa! Kuendesha Vii Ei tee!! Lakini pia kuwasomesha watoto wangu Feza schools na pia huko ughaibuni!

Iweje miaka nenda iliwe na watu wachache tu wanaojiita ccm?
Tate kumbe kazi yote ya propaganda ya kuitoa ccm ni kuwa ili na ninyi mle na kugawana keki ya taifa??? Basi maombi yako yashindwe kabisa kufaulu ama wapewe wengine wenye maono ya kuwapigania watanzania kwa ajili ya taifa zima
 
AMEN. Japo dua hili ni dua la kuku, ni Mungu ndiye huweka serikali za mataifa, ni Mungu ndiye alimleta JPM, hivyo JPM alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania. Vivyo hivyo ni Mungu ndiye alimtwaa JPM na kumpangia kazi nyingine, na badala yake akatuletea Samia, hivyo Samia pia ndio chaguo la Mungu kwa Tanzania. Mungu hapangiwi, hupanga mwenyewe, hivyo hakuna sababu watu humu kuanza kuleta maombi ya dua la kuku!.
Kama Mungu amepanga ni amepanga!.
P
Pascal mimi najuwa unayo haki kuandika hivyo umeandika. Hapa hakuna duwa ya kuku wala ya ng'ombe ila ipo kazi mbele as a nation lazima tusali. Wakati tunarushia vijembe na vikokoto yapo mataifa yanalitamni hili taifa kwa muda mrefu sana na niswala la muda kwa mtu ulie deep on mambo ya siasa unaweza juwa wakati tupo na wakati unaokuja. Tuweke mbali uchama na tuweke mbali siasa tunaitaji kusali.. Tupo watu kabisa tulijuwa Hayati Magufuli speed yake ingeweza kuwa kigingi cha maisha yake.. Nahii imeandikwa hata ktk Bible pale Musa alikuwa akitaka kusikiliza kila tatizo la mu israel. Mungu akamtuma shemeji yake nakumwambia angekufa kwa aina ya maongozi yake. Tena akamwambia aunde baraza la wazee wenye hekima wasikilize matatizo ya watu. Nandio chimbuko la baraza la mawaziri unaona leo. Je nikweli hatukumbuki yaliotukuta kama taifa na mwisho wa haya yote?
Labda nikukumbushe ukasome kile kilitokea Zambia namfululizo wa head of state kudondoka na vile sisi kama taifa hatupaswi lala kuliombea hili taifa.
If ye ask me Kifo cha Magufuli nitakujibu neno moja hakikuwa kifo cha kawaida kina siri kubwa sana kwa viongozi wote wakitaifa na sisi watanzania.
Kiufupi sio dalili njema kule tunaenda hata wale wamemrithi sio hata muda wakusema watu wanashangilia nafasi zao trust me Taifa tunaomboleza na tupo maombolezo...
Ila unaweza jisahaulisha atupo maombolezo ila time will tell us... Kwahiyo wewe baki naduwa la kuku ila muda utakukumbusha haya nimeandika.
 
Ungekua muwazi tukajua tuombee nini kuliko kutuweka Njia panda mkuu!!Be honest!!najua Paulo mrefu anatamani ardhi yetu yenye rutuba!!uwe muwazi mkuu tena muwazi haswaaaa!!!
Pascal mimi najuwa unayo haki kuandika hivyo umeandika. Hapa hakuna duwa ya kuku wala ya ng'ombe ila ipo kazi mbele as a nation lazima tusali. Wakati tunarushia vijembe na vikokoto yapo mataifa yanalitamni hili taifa kwa muda mrefu sana na niswala la muda kwa mtu ulie deep on mambo ya siasa unaweza juwa wakati tupo na wakati unaokuja. Tuweke mbali uchama na tuweke mbali siasa tunaitaji kusali.. Tupo watu kabisa tulijuwa Hayati Magufuli speed yake ingeweza kuwa kigingi cha maisha yake.. Nahii imeandikwa hata ktk Bible pale Musa alikuwa akitaka kusikiliza kila tatizo la mu israel. Mungu akamtuma shemeji yake nakumwambia angekufa kwa aina ya maongozi yake. Tena akamwambia aunde baraza la wazee wenye hekima wasikilize matatizo ya watu. Nandio chimbuko la baraza la mawaziri unaona leo. Je nikweli hatukumbuki yaliotukuta kama taifa na mwisho wa haya yote?
Labda nikukumbushe ukasome kile kilitokea Zambia namfululizo wa head of state kudondoka na vile sisi kama taifa hatupaswi lala kuliombea hili taifa.
If ye ask me Kifo cha Magufuli nitakujibu neno moja hakikuwa kifo cha kawaida kina siri kubwa sana kwa viongozi wote wakitaifa na sisi watanzania.
Kiufupi sio dalili njema kule tunaenda hata wale wamemrithi sio hata muda wakusema watu wanashangilia nafasi zao trust me Taifa tunaomboleza na tupo maombolezo...
Ila unaweza jisahaulisha atupo maombolezo ila time will tell us... Kwahiyo wewe baki naduwa la kuku ila muda utakukumbusha haya nimeandika.
 
Mungu Hana muda wa kujibu maombi ya wapumbavu Kama nyinyi na wahaini wenzio, taasisi ndio Ina jukumu la kuwashughulikia ipasavyo ikibidi kuvunja haki yenu ya kuishi hili Tanzania ibaki salama siku zote,

Mshashindwa hila zenu zote kenge nyinyi,Sasa mnamlilia miungu yenu ya kishirikina iwasaidie, na Bado!
Unamjuwa muhaini lakini? Well basi sawa nakushukuru. I pray for my country kama wewe unaona kuliombea taifa ni uhaini basi sawa. Japo hatufanani na kamwe hatuwezi fanana. Ila usisahau bandi lako
 
Umeandika kwa uchungu sana mkuu!

Ndo uzalendo ulivyo. Binafsi nitaungana na wengine wote watakao amua kuombea taifa letu.

Pascal ukweli anaujua ila sasa anatafutia familia ugali
Pascal mimi najuwa unayo haki kuandika hivyo umeandika. Hapa hakuna duwa ya kuku wala ya ng'ombe ila ipo kazi mbele as a nation lazima tusali. Wakati tunarushia vijembe na vikokoto yapo mataifa yanalitamni hili taifa kwa muda mrefu sana na niswala la muda kwa mtu ulie deep on mambo ya siasa unaweza juwa wakati tupo na wakati unaokuja. Tuweke mbali uchama na tuweke mbali siasa tunaitaji kusali.. Tupo watu kabisa tulijuwa Hayati Magufuli speed yake ingeweza kuwa kigingi cha maisha yake.. Nahii imeandikwa hata ktk Bible pale Musa alikuwa akitaka kusikiliza kila tatizo la mu israel. Mungu akamtuma shemeji yake nakumwambia angekufa kwa aina ya maongozi yake. Tena akamwambia aunde baraza la wazee wenye hekima wasikilize matatizo ya watu. Nandio chimbuko la baraza la mawaziri unaona leo. Je nikweli hatukumbuki yaliotukuta kama taifa na mwisho wa haya yote?
Labda nikukumbushe ukasome kile kilitokea Zambia namfululizo wa head of state kudondoka na vile sisi kama taifa hatupaswi lala kuliombea hili taifa.
If ye ask me Kifo cha Magufuli nitakujibu neno moja hakikuwa kifo cha kawaida kina siri kubwa sana kwa viongozi wote wakitaifa na sisi watanzania.
Kiufupi sio dalili njema kule tunaenda hata wale wamemrithi sio hata muda wakusema watu wanashangilia nafasi zao trust me Taifa tunaomboleza na tupo maombolezo...
Ila unaweza jisahaulisha atupo maombolezo ila time will tell us... Kwahiyo wewe baki naduwa la kuku ila muda utakukumbusha haya nimeandika.
 
Wapuuzi hawa, Rais anapambana kuweka Nchi sawa,wao malalamiko hayaishi kwa kila jambo, kwa Tanzania hii hata aje Rais gani hawatoishi kulalama! nahisi Mungu ashushe malaika awe kiongozi labda, na haitotosha pia watamlaumu hata huyo malaika, kwa kifupi hawaeleweki wanataka nini siku zote.

Rais kajenga madarasa 12,000, miradi iliyoachwa anaiendeleza, karekebisha mahusiano ya kimataifa, karuhusu Uhuru wa wapuuzi kumtukana mitandaoni,maana magufuli hakuruhusu kabisa matahila yamtukane popote pale, alishajua hi mijitu haina jema dawa kuibana tu
Hoja hii imekuja vipi na maombi yangu? mpuuzi atakuwa mimi au wewe? Unatutoa kwenye msitari kuanzia paragraph yakwanza mpaka ya mwisho kuna mahali naelezea mambo yanahusu taasisi ya Rais au unataka kupata maneno yakuongea ? Au unafikiri hili taifa nilawatu fulani au au chama au watu wakabila fulani? This is our country tunahaki yakuzaliwa ktk taifa hili na usije hapa na siasa zako na kuunganisha na thread yangu...
Kunasehem nalalamika kwangu maji akuna au kuna daraja limesimama kujengwa?
Nimeandika mambo ambayo low brain hawezi kuona wala kuwaza naongea habari za Taifa taifa la watanzania tunamuitaji Mungu kuliko wakati mwingine kama ni dhambi basi sawa ila that is what i mean...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom