God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
- Thread starter
- #41
ni kweli yapo mataifa yenye nguvu ila hilo lina nguvu zaidi dunianiMbona marekan inafanana tu na baadhi ya mataifa makubwa dunian kwann walaaniwe wao pekeyao?
ni kweli yapo mataifa yenye nguvu ila hilo lina nguvu zaidi dunianiMbona marekan inafanana tu na baadhi ya mataifa makubwa dunian kwann walaaniwe wao pekeyao?
We jamaa mimi sio Mkristo wala Muislamu. Siamini katika dini. Nimemaliza.kwani mussa na ibahimu walikua hawasali?? kama wewe ni mkristo wa ukweli kanisa limezaliwa lini? hapo ukinijibu utakua ushapata jibu la swali lako la kijinga.
Tatizo unaendeshwa na hisia saana ila km ungekua unafuatilia vizur ungegundua ni mataifa mengi tu ysnayofanya hayo mambo....mataifa km saudi arabia iran na turkey pale middle east yamefanya hvyo na yanaendelea kufanya hvyo kupitia vikund vyao km al qaeda,hezbollah na wale waasi wa houthi..lakin sasa hv pale syria kuna kina ahrar al sharam, jaish al islam na kina al nusra waliobadili jina hapa juzi bila kusahau IS,vikund vya kisun vinafadhiliwa na gulf states plus turkey na vile vya kishia yupo iran,..marekan hajawah ingilia taifa la kiarabu kijesh bila baraka za nchi za kiarabu zenyew fatilia vizur hata syria pale ni umoja wa nchi za kiarabu wanaosisitiza assad astep down marekan ni opportunistic tu ambae hutumia udhaifu wa wengine kijana.........a wapi huwezi waunga mkono taifa la kichochezi kama hili, wanafiki wakubwa, watakudanganya wanakusaidia kumbe wapi hakuna msaada wowote bali wanatafuta njia ya kukuingilia indirectly mwishowe unakua chini yao.
wamekua kinara katika machafuko kibao na kuchochea mzozo katika nchi nyingi duniani hasa africa. waweza angalia nchi kama, libya, iraq, afghanistan n.k
nakwambia tena USA ni taifa baya sana sema tuu wale wasio na uelewa mkubwa hawayajui yaliyoko chini ya pazia
Umejitahidi kumuelewesha....though na wewe kuna sehemu umeanza kuchanganyikiwa.....Unaposoma Biblia unatakiwa uielewe sasa wewe umekurupuka tu na kuja na madai yasiyo na kichwa wala miguu huyo mmarekani kwenye biblia hata hajatajwa wala kitu kinachofanana nacho... Biblia ni Story za kitambo na almost kila kilichoandikwa humo kishatokea iwe vita,Machafuko,N.K na Taifa kubwa lililozungumziwa sana ni Uatawala wa Roma so Marekani ni Mtoto mdogo sana kihistoria...
Mambo ya Freemason ni Taasisi kama yako hiyo ya Ukristo usioujua katu chanzo chake na utendaji wake... Huyo Yesu unayemdhania wewe si yule Mwana wa Mariam aliyeitwa Yah-Shua Mwalimu wa Dini ya Kiyahudi aliyeishi maisha yake Mengi Masomoni Misri China na kufia India Kashmir.
Dini Ya Ukristo ni ya hatari zaidi kwani haina inachofuata kama wanavyojiaminisha kila kitu wamejipangia wenyewe wanavyotaka wao na sio Wanayemuamini.. Yesu na Mungu wa Wayahudi asiyebadilika wala kubadilishwa.... STUKA.
Freemason cha muhimu isome vizuri nini wanaamini ndipo utoe comment maana hata hapo umeamini Freemason ni Mungu???
Tafuta ukweli wote how Biblia imeandikwa na nani ni Master anayetakiwa kufuatwa ukishafahamu wengine wote kwenye Biblia hawana chao zaidi walikuwa wakituliza amani tu duniani... Kumbuka kama unaamini Mungu asiyeonekana basi hao waliokupa mwongozo waeleze how they communicate with Him...
Dini ni way ya namna ya kuishi maisha ya Duniani...
( Isaya 7:14; 9:6 )kwa kweli mkuu nimepata challenge so mda ukifika wakati huu taifa litakalo kua kubwa lita tenda maana maandiko ya biblia huwaga yanatimia tuu. hata Yesu alitabiriwa mstari mfali ivi wa nabii, sikumbuki but oma Yeremia au Isaya
Labda bibilia. Qur-aan wapo watoto kwa maelfu wanaisoma sana na wameihifadhi yote kichwani na hawajawahi kuchanganyikiwaBibilia na Quran Ukisoma sana utaanza kuchanganyikiwa.
hata Biblia pia huchanganyikiwi sababu unapewa nguvu na Mwenyezi-MunguLabda bibilia. Qur-aan wapo watoto kwa maelfu wanaisoma sana na wameihifadhi yote kichwani na hawajawahi kuchanganyikiwa
hapana mkuu sisemi hivo ila nachomanisha taifa lenye nguvu kushinda yote duniani ndio linasemwa sana na hakuna ubishi tunajua ni marekani, lakin sababu mambo yanabadilika basi tusubiri tuone yale yaliyotabiriwa kwenye Biblia, walianza Waroma hata kutisha kuitawala dunia kabisa, akaja uingereza akawa na nguvu sana ulimwenguni mwishowe vita kuu za dunia zikampoteza nd akachimbuka marekani na sasa ndio mwenye nguvu zaidi, so hayo ni mambo ya mpito tuu ila yamewekwa na kuelezewa vizuri kwenye biblia hasa ukisoma ufunuo halafu soma pia daniel na ezekielYani unataka kusema taifa lililo laaniwa ndilo limepewa nguvu ya kuwaohiza ambao hawajalaaniwa.
Likapewa uchumi mkubwa kuliko ambao hawajalaaniwa.
mashukuru sana Ubarikiwe mkuu kwa kuniletea huo mstari( Isaya 7:14; 9:6 )
Mkuu mimi always mambo yangu huwa Sibahatishi..... Elewa kwanza..Mkuu nmesoma bandiko lako nikashangaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa kuwa ama huelewi au umeelewa offside(zaidi ya kuelewa)
Kwa mjib wa biblia(daniel na ufunuo)usa unatajwa kama pembe ndogo ya hatari sana, ki msingi ni unabii ambao kila kizur au kibaya kinaanzia hapo..
Nikukumbushe mambo machache,
Ustaarabu umeanzia usa
Teknolojia usa
Vyama vingi usa
Uchaguzi huru(democrasia) usa
Uhuru wa dini usa
Mapenzi ya jinsia 1usa
Na sasa wanakuja na dini moja usa
Kwa hyo kama hujui maana ya free masonic( yaan wajenzi huru) ni taasisi ambayo anataka kuitawala duniA kimfumo, na kwa sasa wamefika karb 90%
Kinachowaahinda ni kwa kuwa Mungu anasubr watu wake wajitoe kwake, huenda ukawa ww na mm..
Mkuu huo ni unabii timilifu
Think
ulielezea vizuri ila mwishon umeongea pumba moja chafu sana. angalia hizo comment hapo juu uone waliompinga Mungu na kilichowakuta, nyie watu mna shida sana but God kwa nguvu zake atakuonyesha njia sahihi tuu maana huamini.Mkuu mimi always mambo yangu huwa Sibahatishi..... Elewa kwanza..
Kitabu cha ufunuo nilishakisoma haielezi ati kuwa huo Utawala unaozungumziwa ni USA.
Wanazuoni wengi waliokisoma hicho kitabu walijaribu kufananisha na kila aina ya matukio ikiwemo Twin Tower vita ya Ghuba lakini yote hayajaendana na huo Utabili na waeza sema kila kilichoongelewa unaweza chukua matukio kadhaa yaliyokwisha wai tokea na mengine ni kama matishio lakini mwisho wa siku inakuwa ni hadithi za kusadikika tu....
Wewe ndio upo na mawazo offside
Umeanza na Ustaarabu ati Umeanzia USA? Jibu ni Ustaarabu Ulianzia Egypt karne nyingi zilizopita.
T
eknolojia unasema Imeanzia USA? Jibu si kweli Technology unayozungumzia ni Physics sana sana kuna kina Isaac Newton Alikuwa British,Galileo Muitaliano, Aristotle Mgiriki hawa ndio misingi hata albert Eistean alikuwa Myahudi na alihamia America hawakuwa jamaa tuseme hawakuifahamu hiyo nchi Marekani
Vyama vya Siasa msingi wake sio America kumbuka America ni British Colony na Percent kubwa ya American ni British and French na Spanish wachache. Hata Nyie Mnaoamini Mungu Huko Mbinguni Shetani alianzisha Chama chake cha Kumpinga Mungu... Haya Mambo ni Natural popote hutokea
Mambo ya Uchaguzi huru nadhani hata historia huifahamu... even Israel tu huko Wafalme walichaguliwa kwa Kura na hata wasipotaka wakirejea upya kura inamuangukia huyo huyo... Mkuu umefikiria au unaipenda tu Marekani?
Mapenzi ya Jinsia Moja yalikuwepo ndio maana yamebatizwa jina Sodomy
Dini Moja ilikuwepo kitambo ambayo iliitwa Uyahudi even Yesu ndio ilikuwa Dini yake baadae zikaja nyingi unazozisikia wewe na uliyopo wewe huo ukristo na uislam so ikirejea Dini Moja itakuwa ni Hatua kubwa sana
Nadhani wewe ndio upo Offside pia huna unalolifahamu Mkuu ila ukiendelea kuweka weka thread tutakurekebisha na utakuwa Free... Probably there is no God.. Be Free and Enjoy your life.
Mambo ya Freemason ni Mifumo tu Jinsi ya Kuishi Duniani... Same na Uislam una njia zake Ukristo una njia zake Ubaniani una njia zake Ubuddha una Njia zake na kila anayefuata Njia yake hujiona yu katika Usalama na Ubora...
Ukristo unataka uwe Maskini
Uislam unataka uwe Jihadi
Ufreemason unataka uwe Tajiri
Unachagua nini...
mkuu asante ila tukubaliane kutokukubalianaMkuu mimi always mambo yangu huwa Sibahatishi..... Elewa kwanza..
Kitabu cha ufunuo nilishakisoma haielezi ati kuwa huo Utawala unaozungumziwa ni USA.
Wanazuoni wengi waliokisoma hicho kitabu walijaribu kufananisha na kila aina ya matukio ikiwemo Twin Tower vita ya Ghuba lakini yote hayajaendana na huo Utabili na waeza sema kila kilichoongelewa unaweza chukua matukio kadhaa yaliyokwisha wai tokea na mengine ni kama matishio lakini mwisho wa siku inakuwa ni hadithi za kusadikika tu....
Wewe ndio upo na mawazo offside
Umeanza na Ustaarabu ati Umeanzia USA? Jibu ni Ustaarabu Ulianzia Egypt karne nyingi zilizopita.
T
eknolojia unasema Imeanzia USA? Jibu si kweli Technology unayozungumzia ni Physics sana sana kuna kina Isaac Newton Alikuwa British,Galileo Muitaliano, Aristotle Mgiriki hawa ndio misingi hata albert Eistean alikuwa Myahudi na alihamia America hawakuwa jamaa tuseme hawakuifahamu hiyo nchi Marekani
Vyama vya Siasa msingi wake sio America kumbuka America ni British Colony na Percent kubwa ya American ni British and French na Spanish wachache. Hata Nyie Mnaoamini Mungu Huko Mbinguni Shetani alianzisha Chama chake cha Kumpinga Mungu... Haya Mambo ni Natural popote hutokea
Mambo ya Uchaguzi huru nadhani hata historia huifahamu... even Israel tu huko Wafalme walichaguliwa kwa Kura na hata wasipotaka wakirejea upya kura inamuangukia huyo huyo... Mkuu umefikiria au unaipenda tu Marekani?
Mapenzi ya Jinsia Moja yalikuwepo ndio maana yamebatizwa jina Sodomy
Dini Moja ilikuwepo kitambo ambayo iliitwa Uyahudi even Yesu ndio ilikuwa Dini yake baadae zikaja nyingi unazozisikia wewe na uliyopo wewe huo ukristo na uislam so ikirejea Dini Moja itakuwa ni Hatua kubwa sana
Nadhani wewe ndio upo Offside pia huna unalolifahamu Mkuu ila ukiendelea kuweka weka thread tutakurekebisha na utakuwa Free... Probably there is no God.. Be Free and Enjoy your life.
Mambo ya Freemason ni Mifumo tu Jinsi ya Kuishi Duniani... Same na Uislam una njia zake Ukristo una njia zake Ubaniani una njia zake Ubuddha una Njia zake na kila anayefuata Njia yake hujiona yu katika Usalama na Ubora...
Ukristo unataka uwe Maskini
Uislam unataka uwe Jihadi
Ufreemason unataka uwe Tajiri
Unachagua nini...
mkuu nahis akipitia hapa atapata faidayaa angalau wewe tuko pamoja. yani watu ni wabishi sana, na kwa hali hii watateketea wengi kwa kweli.
yani hawamuamini Mungu? vitabu vitakatifu vipo hawasomi wanakazania kusema ni historia??/ mbona wanasoma theories za isack newton na wanasayansi kibao kwani hizo nazo si historia zilizokaa kwenye upande wa teknolojia?? maana newton aliishi karne ya 17. sasa utamfahamu waoi kama husomi historia?
kweni Ukosofu wa maarifa utawamaliza wengi.
nawaambia tena Mungu yupo. nyie fanyeni mioyo yenu migumu muone matokeo yake.
wale watu walio mdhihaki Mungu walipatwa na mikasa mikali sana.
pitieni hii haya maandishi hapa muone wenzenu waliionyesha dharau na kukumbwa na kilichowakumba.
Famous People Who Mocked God And Died Untimely
Here are some men and women who mocked God and died untimely:
1.) John Lennon (Singer): Some years before, during his interview with an American Magazine, he said: Christianity will end, it will disappear. I do not have to argue about that. I am certain. Jesus was ok, but his subjects were too simple, today we are more famous than Him' (1966). Lennon, after saying that the Beatles were more famous than Jesus Christ, was shot six times, and he died.
2.) Tancredo Neves (President of Brazil ): During the Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him from Presidency. Sure he got the votes, but he got sick a day before being made President, then he died.
3.) Cazuza (Bi-sexual Brazilian composer, singer and poet): During A show in Canecio (Rio de Janeiro) While smoking his cigarette, he puffed out some smoke into the air and said: "God, that's for you." He died at the age of 32 of LUNG CANCER in a horrible manner.
4.) The man who built the Titanic: After the construction of Titanic, a reporter asked him how safe the Titanic would be. With an ironic tone he said:
"Not even God can sink it." The result: I think you all know what happened to the Titanic
5.) Marilyn Monroe (Actress) She was visited by Billy Graham during a presentation of a show. He said the Spirit of God had sent him to preach to her. After hearing what the Preacher had to say, she said: "I don't need your Jesus". A week later, she was found dead in her apartment.
6.) Bon Scott (Singer) The ex-vocalist of the AC/DC. On one of his 1979 songs he sang: 'Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'. On the 19th of February 1980, Bon Scott was found dead, he had been choked by his own vomit.
7.) Campinas (IN 2005) In Campinas , Brazil a group of friends, drunk, went to pick up a friend..... The mother accompanied her to the car and was so worried about the drunkenness of her friends and she said to the daughter holding her hand, who was already seated in the car: "My Daughter, Go with God And May He Protect You." She responded: "Only If He (God) Travels In The Trunk, Cause Inside Here.....It's Already Full."
Hours later, news came by that they had been involved in a fatal accident, everyone had died, the car could not be recognized what type of car it had been, but surprisingly, the trunk was intact. The police said there was no way the trunk could have remained intact. To their surprise, inside the trunk was a crate of eggs, and none was broken.
8.) Christine Hewitt (Jamaican Journalist and entertainer) said the Bible (Word of God) was the worst book ever written. In June 2006 she was found burnt beyond recognition in her motor vehicle. Many more important people have forgotten that there is no other name that was given so much authority as the name of Jesus.
It is written in the Bible: "Be not deceived; God is not mocked: for whatsoever a man sow, that shall he also reap." Galatians 6:7
The Lord responded; "Far be it from Me; for those who honor Me; I will honor, and those who despise Me shall be lightly esteemed" 1 Samuel 2:30
No one mocks God and go unpunished. Please be sure to share this "Note" with others, it is your kingdom responsibility!
Mkuu Unanichekesha tuwekeane List tuone nani Kaathilika Zaidi... Kati ya Wanampinga Mungu na Wasiompinga Mungu kwanza wewe unamzungumzia Mungu Yupi Maana hicho ni Cheo tu Mungu Wapo Wengi Sana... Kama Ukienda India wamejaaulielezea vizuri ila mwishon umeongea pumba moja chafu sana. angalia hizo comment hapo juu uone waliompinga Mungu na kilichowakuta, nyie watu mna shida sana but God kwa nguvu zake atakuonyesha njia sahihi tuu maana huamini.
Nani kakuambia Marekani ndio Anasikilizwa dunia Nzima? Kumbuka Marekani ilikuwa ni Koloni la Muingereza katika baadhi ya Majimbo some of majimbo yalikuwa ni mali ya Ufaransa na Wahispania pia waholanzimkuu asante ila tukubaliane kutokukubaliana
kuwa Usa kwa mjib wa biblia ndiyo taifa ambalo
mataifa yote duniani ama kwa kupenda au kwa kutopenda
yanalisikiliza..
zingatia usa haina adui wa kudum wala rafiki wa kudum
wao wana policy kuwa cha kwanza masilahi ya
usa yalindwe,
hao wengine ni kwel walianza ila hawakuwa na msukumo
wa kisera, mkuu tunazungumzia hatima ya binadam
anyway sijui ni wap ukristo umesema kuwa mkristo anapaswa
awe masikin, nijuavyo Mungu ni tajiri na wanaomwabudu
nao ni matajiri, sasa huenda tukatofautiana
katika matumizi ya neno tajiri, ila mhim ni kuwa
waktisto si masikini..
think