Taifa la Marekani limelaaniwa

Taifa la Marekani limelaaniwa

Watu ambao hamna hata idea freemason ni nini zaidi ya ujinga ulioandikwa online. Niambie ushawahi kuona proof hata moja ya huo ujinga?

Acha kupoteza muda na story za online ambazo asilimia kubwa ni uongo, we usijifanye ndio unajua dini maana ukweli ni kua hakuna kitu unajua zaidi ya kuitafsiri unavyotaka wewe.
Mimi nataka utajiri wanipeleke huko kwa freemanson
 
Mimi ni mtu ninaependa sana kusoma Biblia na vitabu vingine vya dini hasa vya kiislamu na vitabu vya kihistoria. Hili ndio taifa lenye nguvu duniani, hapo hamna ubishi. Kwa wale walioisoma Biblia haswaa wataniunga mkono. Kuhusu mambo ya uchawi/freemason yanahusishwa sana na taifa la Marekani na ndio makao makuu.

Hata serikali yao ina mkono wa shetaini, maraisi wao wengi wanafahamika ni waumini wa freemason. Sio kama wanapenda ila inawalazimu kwasababu Freemasoni ndio Mungu wao. Kwa marais waliopinga kuwa waamini wa freemason waliuliwa au kufa vifo vya kupigwa risasi na njia nyingine.

Soma vitabu vya wachawi na habari za freemason/illuminant utaelewa kiundani zaidi. Pitia google utaona vitabu mbalimbali kuhusu ukweli wa huu ulimwengu wa giza. Kwa wakristu wenzangu kama mmesoma vitabu vya Ezekieli na Ufunuo utaona huu ukweli ninaokuambia hapa kuhusu hili taifa lenye nguvu.

Kuna vyanzo vingi sana kwenye Biblia vinavyoelezea huu utawala wadunia utakavyokua, mengi yameshaanza kutokea/kujidhihirisha.
Unaweza kuthibitisha shetani yupo?
 
Kama unategemea upate utajiri kwa kujiunga freemason endelea kuota ndoto za mchana.
Hahahahahaahaahahaa,mi naonaga tu,diamond fremanson,kanumba freemanson,hata mie sipendi shida nataka kumiliki maVx
 
Huwa simchukulii mtu seriously akianza story za Freemasons. Dini zimefanya wengi wenu muwe vichaa bila ya kuokota makopo.

Kila kitu US US ila mkipata nafasi wote mnataka kwenda US, hata wale waislam wa misimamo mikali wanaiponda US kila siku ila kila siku wanapewa asylum za kuishi US. Smh
Watu wengi hawajui kwamba misingibya u Freemason haina tofauti sana na ike ya Ukristo/Uislamu na dini nyingibtu. Na kwamba Freemasons wako better than theae religions in so many ways angalau kwa sababu wao wanajumuisha dini zote pamoja.

Kwa hiyo mtu asiyeamini kuwapo kwa mungu kama mimi akiwaponda Freemasons nitaelewa.

Lakini Mkristo anapowaponda Freemasons halafu kesho watoto masikini wanahitaji kufanyiwa operesheni ya moyo India Freemasons ndio wa kwanza kujitokeza kutoa misaada, halafu hapo hapo jamii inawaona kama waabudu shetani, wakati shetani mwenyewe hata hayupo, napata tabu sana.

Watu wanajikita katika kulaumu Freemasons wakati hata hawaelewi ni kitu gani.
 
Mkuu nmesoma bandiko lako nikashangaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa kuwa ama huelewi au umeelewa offside(zaidi ya kuelewa)

Kwa mjib wa biblia(daniel na ufunuo)usa unatajwa kama pembe ndogo ya hatari sana, ki msingi ni unabii ambao kila kizur au kibaya kinaanzia hapo..

Nikukumbushe mambo machache,
Ustaarabu umeanzia usa
Teknolojia usa
Vyama vingi usa
Uchaguzi huru(democrasia) usa
Uhuru wa dini usa
Mapenzi ya jinsia 1usa
Na sasa wanakuja na dini moja usa

Kwa hyo kama hujui maana ya free masonic( yaan wajenzi huru) ni taasisi ambayo anataka kuitawala duniA kimfumo, na kwa sasa wamefika karb 90%

Kinachowaahinda ni kwa kuwa Mungu anasubr watu wake wajitoe kwake, huenda ukawa ww na mm..

Mkuu huo ni unabii timilifu

Think
Ulipoanza tu "ustaarabu ulianza USA" nikajua hapa shule inekosekana. Baada ya hapo ni downhill. Tafadhali jiridhishe kwanza kwamba unajua unachokiongea.
 
yaa angalau wewe tuko pamoja. yani watu ni wabishi sana, na kwa hali hii watateketea wengi kwa kweli.
yani hawamuamini Mungu? vitabu vitakatifu vipo hawasomi wanakazania kusema ni historia??/ mbona wanasoma theories za isack newton na wanasayansi kibao kwani hizo nazo si historia zilizokaa kwenye upande wa teknolojia?? maana newton aliishi karne ya 17. sasa utamfahamu waoi kama husomi historia?
kweni Ukosofu wa maarifa utawamaliza wengi.
nawaambia tena Mungu yupo. nyie fanyeni mioyo yenu migumu muone matokeo yake.
wale watu walio mdhihaki Mungu walipatwa na mikasa mikali sana.
pitieni hii haya maandishi hapa muone wenzenu waliionyesha dharau na kukumbwa na kilichowakumba.




Famous People Who Mocked God And Died Untimely
Here are some men and women who mocked God and died untimely:



1.) John Lennon (Singer): Some years before, during his interview with an American Magazine, he said: Christianity will end, it will disappear. I do not have to argue about that. I am certain. Jesus was ok, but his subjects were too simple, today we are more famous than Him' (1966). Lennon, after saying that the Beatles were more famous than Jesus Christ, was shot six times, and he died.


2.) Tancredo Neves (President of Brazil ): During the Presidential campaign, he said if he got 500,000 votes from his party, not even God would remove him from Presidency. Sure he got the votes, but he got sick a day before being made President, then he died.


3.) Cazuza (Bi-sexual Brazilian composer, singer and poet): During A show in Canecio (Rio de Janeiro) While smoking his cigarette, he puffed out some smoke into the air and said: "God, that's for you." He died at the age of 32 of LUNG CANCER in a horrible manner.


4.) The man who built the Titanic: After the construction of Titanic, a reporter asked him how safe the Titanic would be. With an ironic tone he said:

"Not even God can sink it." The result: I think you all know what happened to the Titanic



5.) Marilyn Monroe (Actress) She was visited by Billy Graham during a presentation of a show. He said the Spirit of God had sent him to preach to her. After hearing what the Preacher had to say, she said: "I don't need your Jesus". A week later, she was found dead in her apartment.



6.) Bon Scott (Singer) The ex-vocalist of the AC/DC. On one of his 1979 songs he sang: 'Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'. On the 19th of February 1980, Bon Scott was found dead, he had been choked by his own vomit.




7.) Campinas (IN 2005) In Campinas , Brazil a group of friends, drunk, went to pick up a friend..... The mother accompanied her to the car and was so worried about the drunkenness of her friends and she said to the daughter holding her hand, who was already seated in the car: "My Daughter, Go with God And May He Protect You." She responded: "Only If He (God) Travels In The Trunk, Cause Inside Here.....It's Already Full."



Hours later, news came by that they had been involved in a fatal accident, everyone had died, the car could not be recognized what type of car it had been, but surprisingly, the trunk was intact. The police said there was no way the trunk could have remained intact. To their surprise, inside the trunk was a crate of eggs, and none was broken.



8.) Christine Hewitt (Jamaican Journalist and entertainer) said the Bible (Word of God) was the worst book ever written. In June 2006 she was found burnt beyond recognition in her motor vehicle. Many more important people have forgotten that there is no other name that was given so much authority as the name of Jesus.



It is written in the Bible: "Be not deceived; God is not mocked: for whatsoever a man sow, that shall he also reap." Galatians 6:7


The Lord responded; "Far be it from Me; for those who honor Me; I will honor, and those who despise Me shall be lightly esteemed" 1 Samuel 2:30


No one mocks God and go unpunished. Please be sure to share this "Note" with others, it is your kingdom responsibility!
I'm sorry. Ulikoanzia kwingine. Watu walipokuchallenge, badala ya kutoa ushahidi au uthibitisho unakuja na mengine kabisa. Mtu anayepinga tafsiri yako ya kutabu cha Daniel, hapingi uwepo wa Mungu. Hadithi zote ulizotoa baada ya hapo ni irrelevant. Jifunze kutoa hoja na si upuuzi tu sijui masons sijui nini.. ah!!!!
 
I'm sorry. Ulikoanzia kwingine. Watu walipokuchallenge, badala ya kutoa ushahidi au uthibitisho unakuja na mengine kabisa. Mtu anayepinga tafsiri yako ya kutabu cha Daniel, hapingi uwepo wa Mungu. Hadithi zote ulizotoa baada ya hapo ni irrelevant. Jifunze kutoa hoja na si upuuzi tu sijui masons sijui nini.. ah!!!!
mbuzi wewe, mbona wengne wameelewa.
 
Back
Top Bottom