God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
....
Hata serikali yao ina mkono wa shetaini, Maraisi wao wengi wanafahamika ni waumini wa freemason.
nitakuletea mstari baadae ila ili upate habari zaidi soma kitabu cha ezekieli na ufunuo soma aya zote kabisa kulijua hilo taifa lenye nguvu na madhara yake.Leta uthibitisho wa biblia walipotajwa wamarekani japo sikupingi
ni mawazo yako siwezi dharau sanaWatu ambao hamna hata idea freemason ni nini zaidi ya ujinga ulioandikwa online. Niambie ushawahi kuona proof hata moja ya huo ujinga?
Acha kupoteza muda na story za online ambazo asilimia kubwa ni uongo, we usijifanye ndio unajua dini maana ukweli ni kua hakuna kitu unajua zaidi ya kuitafsiri unavyotaka wewe.
una visa na Ngabu eh???Mimi ni mtu ninaependa sana kusoma Biblia na vitabu vingine vya dini hasa vya kiislamu na vitabu vya kihistoria. Hili ndio taifa lenye nguvu duniani, hapo hamna ubishi. Kwa wale walioisoma Biblia haswaa wataniunga mkono. Kuhusu mambo ya uchawi/freemason yanahusishwa sana na taifa la Marekani na ndio makao makuu.
Hata serikali yao ina mkono wa shetaini, maraisi wao wengi wanafahamika ni waumini wa freemason. Sio kama wanapenda ila inawalazimu kwasababu Freemasoni ndio Mungu wao. Kwa marais waliopinga kuwa waamini wa freemason waliuliwa au kufa vifo vya kupigwa risasi na njia nyingine.
Soma vitabu vya wachawi na habari za freemason/illuminant utaelewa kiundani zaidi. Pitia google utaona vitabu mbalimbali kuhusu ukweli wa huu ulimwengu wa giza. Kwa wakristu wenzangu kama mmesoma vitabu vya Ezekieli na Ufunuo utaona huu ukweli ninaokuambia hapa kuhusu hili taifa lenye nguvu.
Kuna vyanzo vingi sana kwenye Biblia vinavyoelezea huu utawala wadunia utakavyokua, mengi yameshaanza kutokea/kujidhihirisha.
Ungejua vitabu vya Ezekieli na Ufunuo (hata Daniel) havizungumzii marekani hata usingeandika ulichoandikanitakuletea mstari baadae ila ili upate habari zaidi soma kitabu cha ezekieli na ufunuo soma aya zote kabisa kulijua hilo taifa lenye nguvu na madhara yake.
Unaposoma Biblia unatakiwa uielewe sasa wewe umekurupuka tu na kuja na madai yasiyo na kichwa wala miguu huyo mmarekani kwenye biblia hata hajatajwa wala kitu kinachofanana nacho... Biblia ni Story za kitambo na almost kila kilichoandikwa humo kishatokea iwe vita,Machafuko,N.K na Taifa kubwa lililozungumziwa sana ni Uatawala wa Roma so Marekani ni Mtoto mdogo sana kihistoria...Mimi ni mtu ninaependa sana kusoma Biblia na vitabu vingine vya dini hasa vya kiislamu na vitabu vya kihistoria. Hili ndio taifa lenye nguvu duniani, hapo hamna ubishi. Kwa wale walioisoma Biblia haswaa wataniunga mkono. Kuhusu mambo ya uchawi/freemason yanahusishwa sana na taifa la Marekani na ndio makao makuu.
Hata serikali yao ina mkono wa shetaini, maraisi wao wengi wanafahamika ni waumini wa freemason. Sio kama wanapenda ila inawalazimu kwasababu Freemasoni ndio Mungu wao. Kwa marais waliopinga kuwa waamini wa freemason waliuliwa au kufa vifo vya kupigwa risasi na njia nyingine.
Soma vitabu vya wachawi na habari za freemason/illuminant utaelewa kiundani zaidi. Pitia google utaona vitabu mbalimbali kuhusu ukweli wa huu ulimwengu wa giza. Kwa wakristu wenzangu kama mmesoma vitabu vya Ezekieli na Ufunuo utaona huu ukweli ninaokuambia hapa kuhusu hili taifa lenye nguvu.
Kuna vyanzo vingi sana kwenye Biblia vinavyoelezea huu utawala wadunia utakavyokua, mengi yameshaanza kutokea/kujidhihirisha.
taifa kubwa lenye nguvu ulimwengu ni lipi mkuu?Ungejua vitabu vya Ezekieli na Ufunuo (hata Daniel) havizungumzii marekani hata uzingeandia uharo huu
Inategemea ni kwa wakati upi...taifa kubwa lenye nguvu ulimwengu ni lipi mkuu?
Mkuu nmesoma bandiko lako nikashangaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa kuwa ama huelewi au umeelewa offside(zaidi ya kuelewa)Unaposoma Biblia unatakiwa uielewe sasa wewe umekurupuka tu na kuja na madai yasiyo na kichwa wala miguu huyo mmarekani kwenye biblia hata hajatajwa wala kitu kinachofanana nacho... Biblia ni Story za kitambo na almost kila kilichoandikwa humo kishatokea iwe vita,Machafuko,N.K na Taifa kubwa lililozungumziwa sana ni Uatawala wa Roma so Marekani ni Mtoto mdogo sana kihistoria...
Mambo ya Freemason ni Taasisi kama yako hiyo ya Ukristo usioujua katu chanzo chake na utendaji wake... Huyo Yesu unayemdhania wewe si yule Mwana wa Mariam aliyeitwa Yah-Shua Mwalimu wa Dini ya Kiyahudi aliyeishi maisha yake Mengi Masomoni Misri China na kufia India Kashmir.
Dini Ya Ukristo ni ya hatari zaidi kwani haina inachofuata kama wanavyojiaminisha kila kitu wamejipangia wenyewe wanavyotaka wao na sio Wanayemuamini.. Yesu na Mungu wa Wayahudi asiyebadilika wala kubadilishwa.... STUKA.
Freemason cha muhimu isome vizuri nini wanaamini ndipo utoe comment maana hata hapo umeamini Freemason ni Mungu???
Tafuta ukweli wote how Biblia imeandikwa na nani ni Master anayetakiwa kufuatwa ukishafahamu wengine wote kwenye Biblia hawana chao zaidi walikuwa wakituliza amani tu duniani... Kumbuka kama unaamini Mungu asiyeonekana basi hao waliokupa mwongozo waeleze how they communicate with Him...
Dini ni way ya namna ya kuishi maisha ya Duniani...