Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,139
- 12,285
Mkuu nadhani misimamo huwa inatoa mwanga kwa wananchi kuingia a bit deeper kufahamu hao watu ni wa namna gani. Kumbuka watu kama Mahanga na Serukamba walivyojitokeza hadharani kutetea Richmond, Dowans, kumtetea Lowassa. Hii ilisaidia kuconnect dots na hatimaye kuwafahamu ni watu wa namna gani. Personally nilikuwa namfahamu Mahanga kupitia kwa mtu wake wa karibu sana na siku zote alipokuwa akiniambia the inside out of the guy kisi fulani nilikuwa siamini amini.
Sasa chukulia mfano Membe, bila kumjua msimamo wake kwenye issues utamhukumu kwa matendo yapi? Maana wizara anayoiongoza haina direct impact na maisha ya kila siku ya wananchi. Mtu kama Hawa Ghasia huwezi kumuhukumu kwa namna idara nzima ya utumishi wa serikali ilvyokuwa hovyo itakuwa ni kumuonea. Total reform ya hii kitu is such a huge project na inatakiwa ifanyike ndani ya serikali nzima including ikulu. Na mbaya zaidi total reforming that system will immediately make you so unpopular ndani ya serikali hivyo kujikuta hupewi ushirikiano.
Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona wanaanza tokeza na kusema maneno machache sana kwenye public tena kwa ujanja sana ili kujaribu ku-minimize the damage ya where they stand on the ishus important to the people, waonekane wako kwenye mstari flani ambao unaaminkai sana kwamba unakubalika na Chama, regardless ya kukubalika na wananchi, matokeo yamekua viongozi na cham kukosa elimu ya kero za wananchi.
- Tunasema hivi kwa wale wote Viongozi watarajiwa kwenye chama chetu CCM, ni vyema wakaanza kujitokeza sasa tukawajua wanasimamia wapi na ishus muhimu sana kwa taifa, zile tabia za kumchagua kiongozi tusiyejua anaposimama na ishus zimeanza kupitwa na wakati, wana-CCM tuwakatae kabisa viongozi wa namna hiyo, maana ni nothing but wanafiki, wanaotaka kujiweka sawa na upepo wa bendera kufuatana na siasa za wakati. Wanaotaka kutuongoza mbele ya safari tuanze kuwajua sasa wapo wapi na Mafisadi, Elimu, EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, Mgawo wa Umeme, Madini, Ulipaji wa kodi, Muungano, Udini, Ukabila, I mean na mengineyo tuwajue sasa wanasimamia wapi?
- I mean matokeo ya hii tabia, hili taifa tumekua na viongozi ambao wanakuwa kama wanatokea Mars Planet, wananchi tunaongea lugha tofauti na wao, ndio maana mmoja wao alisema tutakula hata majani lakini ndege itanunuliwa, juzi tumesikia Mkurugenzi wa ATC aki-retire baada ya kuongoza shirika la ndege ambalo halina ndege hata moja anyways! Leo Tanzania tuna Radar ambayo hata walioitengeneza wamesema waliitengeza kwa sababu ya nchi kama Israel sio sisi, haya yote yamewezekana kwa sababu hili taifa tumejaza maviongozi wengi magoi goi, ambao hatukuwahi kuwasikia wakitoa maoni yao on anything kuhusu ishus muhimu kwa taifa kabla hawajawa viongozi, and then wakianza kutoa utumbo wao hadharani baada ya kuwa viongozi tunashangaa, walitokea wapi?
Tunasema hivi wale wote mnaotaka kutuongoza mbele ya safari, tafadhalini sana jitokezeni sasa tuwajue misimamo yenu kuhusu ishus muhimu za taifa, na hasa kero za wananchi kwa sasa, sio kujificha ficha na baadaye kuja kutufikisha pabaya, we have enough tayari! Tunawakumbusheni tu kwamba wote tunawamulika sana kwenye hii mitandao na nje pia, kuona consistency ya misimamo yenu, kumbukeni kwamba huko tunakokwenda ni mitandao ndiyo itaaamua nani awe kiongozi wetu na nani asiwe!, sasa jitokezeni tuwajue misimamo yenu sasa!
William Malecela @ New York City, USA.
Mkuu JK alikuwa prepared na mafisadi wakamuandalia kila kitu! Mkuu hawa watu wanaakili kuliko tunavyowafikilia au Nape anavyowachukulia, na wajanja sana. wanaweza kuingia popote na wanajua wananchi wanapenda kusikia nini! Kauli ya mtu si tatizo but ni kweli anachukia toka moyoni haya mambo?William, nakubaliana na wewe. Lakini tatizo tulilonalo si kwamba viongozi hawasemi misimamo yao ila 'hawaishi" misimamo yao. They have to stand on those issues that they believe on. Kwa mfano, Mh Mwakyembe alifanya invistigation ya Richmond na mwishoe Bunge lilipitisha maazio ya mapendekezo yote 18 yalotolewa na timu yake. Pamoja na kwamba Pinda kama mkuu wa shughuli za Serikalia bungeni aliahidi kutoa report ya utekelezaji wa mapendekezo hayo (within a specified time) hakuna lolote limefanyika. Na sasa Mwakyembe ni Deputy Minister, wajumbe wake wengine wamerudi tena ndani ya bunge kama Stella Manyanya lakini hatusikii wana msimamo gani juu ya yale waliyosema. Personally, nimekuwa natamani sana kukutana na Stella Manyanya nimuulize what does she stand for? hilo tu.
Wapo wengine wamekuwa kama vinyonga, Mama Anne Kilango- she was spitting fire, Ole Sendeka na wengine, lakini sasa we don't know wamekaa kimya kwa sababu ufisadi umeisha? au they have given up.
Yote tisa, kumi ni hili, ni nani asiyekumbuka Kikwete wakati wa campaign za 2005, alikuwa anaongea vitu vizuri mno na kila mtu alimwamini, e.g mikataba ya madini, umeme, ajira kwa vijana, utawala wa sheria. Lakini sina shaka Kikwete will go down the history lane as the worst president this nation has ever had. Haijulikani ana msimamo gani kwenye anything. Hata issue ya Dowans na ICC alikuwa anafuata upepo!
Matekeo yake ni kwamba watu na hasa wapiga kura wanapoteza imani na wanasiasa (in case CCM ndio wameathirika zaidi) kwa sababu it is not what they say, it is what they DON'T say. au tuseme it is what they do.
Huko CCM zinachukuliwa
kama Mzee anakuandaa kijanja kuja kupambana na ama Ridhiwan au January.
Haswaa!
Sio lazima wajitangaze, lakini wao wanajijua mioyoni mwao na ni vema wakaweka misimamo yao kuhusu masuala ya kitaifa.
Willy ana maana ya mifano ifuatayo: D.Cameron msimamo wake ni kuwa na serikali ndogo na kubana matumizi.
Obama: ku-regulate buisness na social welfare kama Health. Hu Jintao: Kukuza uchumi wa china kwa export, Momahan Singh: Kuiendeleza india kiteknolojia. Dr Slaa: Kusimamia matumizi ya fedha za umma, Zitto Kabwe: Madini yachangie pato la taifa, Maalimu Sefi: Kuvunja muungano, Mh Pinda: Kutochanganya siasa na sheria, Prof Shivji: Azimio la Arusha, Butiku: Nidhamu ya chama, Warioba: Nidhamu ya serikali, Dr Salimu: Muungano n.k
Sisi hatuna mahali kama kura za bunge kujua misimamo yao kitaifa ndiyo maana huwa wanazuka tu na kauli mbiu bila sisi kuwajua wanamanaanisha nini,kumbe wanafuata upepo wa kisiasa.
Mfano mzuri ni Wassira, aka Tyson!Wazo zuri lakini Tanzania wanasiasa hawaishi na misimamo yao wanabadilika kama kinyonga kutegemea na maslahi ya wakati.
:dance:Katika hili nakubaliana nawe kwamba ni muhimu kutambua mustakabali wa watarajiwa hasa misimamo yao ili mbele ya safari kieleweke! Kimsingi, ccm inazo kanuni zake ambazo kwa mtazamo wangu bado ni valid! Lkn zimekuwa zikivurugwa na wana ccm wenyewe,japokuwa when you read btn the lines wanao mtindo wa ku-groom viongozi kupitia vijana kwa kuwa-scout hata kusomesha ndani na nje pengine wewe William ni miongoni pamoja na kwamba si formal!!! Siyo vibaya???Mwl alikuwa na uwezo wa kuamua hili tumelishudia kwa Mkapa yasemekana ccm hawakupenda lkn peke yake alimpigia debe akawa rais na alijitahidi ku-contriol uchumi ukawa single-digity! Nani anabisha????? Sasa hivi hakuna wa kukemea imekuwa strugle for the fittest-law of the jungle!!! Makundi nayo yanachangia mitzizamo ya kihfidhina ndiyo balaa??????? KWA HALI KUJITOKEZA NI NADRA SANA !! Labda Sitta/Mwakyembe/Pinda/Malecela/Sumaye nk ndiyo wamethbutu kujitokeza nani mwiingine????? Tuachane na domocrasia isiyo muafaka!! Atakayejitokeza sasa hivi watakuwa na msimamo thabiti!!!!Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona wanaanza tokeza na kusema maneno machache sana kwenye public tena kwa ujanja sana ili kujaribu ku-minimize the damage ya where they stand on the ishus important to the people, waonekane wako kwenye mstari flani ambao unaaminkai sana kwamba unakubalika na Chama, regardless ya kukubalika na wananchi, matokeo yamekua viongozi na cham kukosa elimu ya kero za wananchi.
- Tunasema hivi kwa wale wote Viongozi watarajiwa kwenye chama chetu CCM, ni vyema wakaanza kujitokeza sasa tukawajua wanasimamia wapi na ishus muhimu sana kwa taifa, zile tabia za kumchagua kiongozi tusiyejua anaposimama na ishus zimeanza kupitwa na wakati, wana-CCM tuwakatae kabisa viongozi wa namna hiyo, maana ni nothing but wanafiki, wanaotaka kujiweka sawa na upepo wa bendera kufuatana na siasa za wakati. Wanaotaka kutuongoza mbele ya safari tuanze kuwajua sasa wapo wapi na Mafisadi, Elimu, EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, Mgawo wa Umeme, Madini, Ulipaji wa kodi, Muungano, Udini, Ukabila, I mean na mengineyo tuwajue sasa wanasimamia wapi?
- I mean matokeo ya hii tabia, hili taifa tumekua na viongozi ambao wanakuwa kama wanatokea Mars Planet, wananchi tunaongea lugha tofauti na wao, ndio maana mmoja wao alisema tutakula hata majani lakini ndege itanunuliwa, juzi tumesikia Mkurugenzi wa ATC aki-retire baada ya kuongoza shirika la ndege ambalo halina ndege hata moja anyways! Leo Tanzania tuna Radar ambayo hata walioitengeneza wamesema waliitengeza kwa sababu ya nchi kama Israel sio sisi, haya yote yamewezekana kwa sababu hili taifa tumejaza maviongozi wengi magoi goi, ambao hatukuwahi kuwasikia wakitoa maoni yao on anything kuhusu ishus muhimu kwa taifa kabla hawajawa viongozi, and then wakianza kutoa utumbo wao hadharani baada ya kuwa viongozi tunashangaa, walitokea wapi?
Tunasema hivi wale wote mnaotaka kutuongoza mbele ya safari, tafadhalini sana jitokezeni sasa tuwajue misimamo yenu kuhusu ishus muhimu za taifa, na hasa kero za wananchi kwa sasa, sio kujificha ficha na baadaye kuja kutufikisha pabaya, we have enough tayari! Tunawakumbusheni tu kwamba wote tunawamulika sana kwenye hii mitandao na nje pia, kuona consistency ya misimamo yenu, kumbukeni kwamba huko tunakokwenda ni mitandao ndiyo itaaamua nani awe kiongozi wetu na nani asiwe!, sasa jitokezeni tuwajue misimamo yenu sasa!
William Malecela @ New York City, USA.
William, nakubaliana na wewe. Lakini tatizo tulilonalo si kwamba viongozi hawasemi misimamo yao ila 'hawaishi" misimamo yao. They have to stand on those issues that they believe on. Kwa mfano, Mh Mwakyembe alifanya invistigation ya Richmond na mwishoe Bunge lilipitisha maazio ya mapendekezo yote 18 yalotolewa na timu yake. Pamoja na kwamba Pinda kama mkuu wa shughuli za Serikalia bungeni aliahidi kutoa report ya utekelezaji wa mapendekezo hayo (within a specified time) hakuna lolote limefanyika. Na sasa Mwakyembe ni Deputy Minister, wajumbe wake wengine wamerudi tena ndani ya bunge kama Stella Manyanya lakini hatusikii wana msimamo gani juu ya yale waliyosema. Personally, nimekuwa natamani sana kukutana na Stella Manyanya nimuulize what does she stand for? hilo tu.
Wapo wengine wamekuwa kama vinyonga, Mama Anne Kilango- she was spitting fire, Ole Sendeka na wengine, lakini sasa we don't know wamekaa kimya kwa sababu ufisadi umeisha? au they have given up.
Yote tisa, kumi ni hili, ni nani asiyekumbuka Kikwete wakati wa campaign za 2005, alikuwa anaongea vitu vizuri mno na kila mtu alimwamini, e.g mikataba ya madini, umeme, ajira kwa vijana, utawala wa sheria. Lakini sina shaka Kikwete will go down the history lane as the worst president this nation has ever had. Haijulikani ana msimamo gani kwenye anything. Hata issue ya Dowans na ICC alikuwa anafuata upepo!
Matekeo yake ni kwamba watu na hasa wapiga kura wanapoteza imani na wanasiasa (in case CCM ndio wameathirika zaidi) kwa sababu it is not what they say, it is what they DON'T say. au tuseme it is what they do.
Ndugu Malecela unaandika mawazo mazuri lakini viongozi wote wanaotokana na CCM hivi sasa ni wachumia tumbo, hawana huruma na watanzania, huyo Kikwete ambaye mnamtetea kwamba watendaji wake wanamuangusha ni nani asiye jua kuwa kabla ya kuukwaa urais alikuwa na kashfa luluki sema kwa sababu ya falsafa yenu ya wakati wa uchaguzi ya mafiga matatu, mnatuchagulia majambazi, wezi, wazinzi, wasanii, wauza unga.Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona wanaanza tokeza na kusema maneno machache sana kwenye public tena kwa ujanja sana ili kujaribu ku-minimize the damage ya where they stand on the ishus important to the people, waonekane wako kwenye mstari flani ambao unaaminkai sana kwamba unakubalika na Chama, regardless ya kukubalika na wananchi, matokeo yamekua viongozi na cham kukosa elimu ya kero za wananchi.
- Tunasema hivi kwa wale wote Viongozi watarajiwa kwenye chama chetu CCM, ni vyema wakaanza kujitokeza sasa tukawajua wanasimamia wapi na ishus muhimu sana kwa taifa, zile tabia za kumchagua kiongozi tusiyejua anaposimama na ishus zimeanza kupitwa na wakati, wana-CCM tuwakatae kabisa viongozi wa namna hiyo, maana ni nothing but wanafiki, wanaotaka kujiweka sawa na upepo wa bendera kufuatana na siasa za wakati. Wanaotaka kutuongoza mbele ya safari tuanze kuwajua sasa wapo wapi na Mafisadi, Elimu, EPA, IPTL, KAGODA, DOWANS, Mgawo wa Umeme, Madini, Ulipaji wa kodi, Muungano, Udini, Ukabila, I mean na mengineyo tuwajue sasa wanasimamia wapi?
- I mean matokeo ya hii tabia, hili taifa tumekua na viongozi ambao wanakuwa kama wanatokea Mars Planet, wananchi tunaongea lugha tofauti na wao, ndio maana mmoja wao alisema tutakula hata majani lakini ndege itanunuliwa, juzi tumesikia Mkurugenzi wa ATC aki-retire baada ya kuongoza shirika la ndege ambalo halina ndege hata moja anyways! Leo Tanzania tuna Radar ambayo hata walioitengeneza wamesema waliitengeza kwa sababu ya nchi kama Israel sio sisi, haya yote yamewezekana kwa sababu hili taifa tumejaza maviongozi wengi magoi goi, ambao hatukuwahi kuwasikia wakitoa maoni yao on anything kuhusu ishus muhimu kwa taifa kabla hawajawa viongozi, and then wakianza kutoa utumbo wao hadharani baada ya kuwa viongozi tunashangaa, walitokea wapi?
Tunasema hivi wale wote mnaotaka kutuongoza mbele ya safari, tafadhalini sana jitokezeni sasa tuwajue misimamo yenu kuhusu ishus muhimu za taifa, na hasa kero za wananchi kwa sasa, sio kujificha ficha na baadaye kuja kutufikisha pabaya, we have enough tayari! Tunawakumbusheni tu kwamba wote tunawamulika sana kwenye hii mitandao na nje pia, kuona consistency ya misimamo yenu, kumbukeni kwamba huko tunakokwenda ni mitandao ndiyo itaaamua nani awe kiongozi wetu na nani asiwe!, sasa jitokezeni tuwajue misimamo yenu sasa!
William Malecela @ New York City, USA.
W.J.M .... Muacheni mungu aitwe mungu
hebu washa taa ya kijani kwa Livingstone Lusinde pale jimboni 2015 ..... naamini utajenga nchi
- Ha! ha! ha! ha! Mkuu wangu wa kazi! ha! ha! ha!, well we will see! Mh. Lusinde ni mbunge wangu na hands down na ushindi wake, muhimu ni deliverance kwa wananchi as opposed na crying for a status quo, kama Lusinde can deliver hakuna sababu ya kupingana naye next elections maana ni wananchi kwanza!
- HOWEVER: kama ameshindwa ku-deliver then somebody has to step up to the plate, I am a Revolutionary and my life speaks for itself, ujumbe wangu kwa Lusinde deliverance or be prepared to face the music! ha! ha! ha! ha!
William @ NYC, USA.