Taifa kulipuka kwa kishindo kikuu siku dk Magufuli akitangazwa rais

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,221
Sasa ni dhahiri dk Magufuli atakuwa rais wa tz na hakuna wakumzuwia ila Mungu peke yake, ikiwa zimebakia siku chache wa tz wapige kura na kumchaguwa rais wao kumekuwa na maandalizi mazito kuanzia vyombo vya usalamana idara zote za usalama wa nchi kuhakikisha Amani na utuivu wakila mtanzania unakuwepo na hakuna vurugu itatokea. Ila ktk upande mwingine wa watanzania wengi na wapenzi wa chama cha mapiduzi wamejiandaa kuingia mabarabarabi kwa Amani kurusha fataki nakushangilia kwa ushindi wa kishindo DR Magufuli ameupata, inasemekana hata maelfu walio kuwa ukawa watakata kamba kuja ccm kushangilia ushindi wa dr Magufuli.

Watu wengi bado wana utomasona hawajajuwa ni kiasi gani Maguli anawatu wengi kiasi jiji la dsm halitotosha kupokea wageni tayari mahotel yameshawekwa resave kwa ajili yaujio wa viongozi wa dunia kuja muwapisha Magufuli.
Kuna kila dalili Magufuli ataapishwa na watu wengi sana kiasi uwenda resave vikosi vikatumika.

MUNGU AMPE MAISHA MAREFU
 
Kaendelee na njozi then uje upya!
 
Naona CCM wamebaki kujifariji tu, baada ya kampeni za Magufuli kudorora na hali kuzidi kuwa mbaya kwa CCM, Kitu kilichobaki ni kuota ushindi ambao haupo kabisa.
 
CCM imeshajihakikishia ushindi kwa kuwafikia wapiga kura zaidi ya milioni 16
 
Hivi ukiwafikia tu Wananchi tayari wanakupigia kura?..Nakubaliana nawe kuwa Magufuli ataapishwa Rais wa Wapiga push up,ila Rais wa JMT atakuwa Edward Ngoyai Lowassa.
 
Sasa ni dhahiri dk Magufuli atakuwa rais wa tz na hakuna wakumzuwia ila Mungu peke yake, ikiwa zimebakia siku chache wa tz wapige kura na kumchaguwa rais wao kumekuwa na maandalizi mazito kuanzia vyombo vya usalamana idara zote za usalama wa nchi kuhakikisha Amani na utuivu wakila mtanzania unakuwepo na hakuna vurugu itatokea. Ila ktk upande mwingine wa watanzania wengi na wapenzi wa chama cha mapiduzi wamejiandaa kuingia mabarabarabi kwa Amani kurusha fataki nakushangilia kwa ushindi wa kishindo DR Magufuli ameupata, inasemekana hata maelfu walio kuwa ukawa watakata kamba kuja ccm kushangilia ushindi wa dr Magufuli.

Watu wengi bado wana utomasona hawajajuwa ni kiasi gani Maguli anawatu wengi kiasi jiji la dsm halitotosha kupokea wageni tayari mahotel yameshawekwa resave kwa ajili yaujio wa viongozi wa dunia kuja muwapisha Magufuli.
Kuna kila dalili Magufuli ataapishwa na watu wengi sana kiasi uwenda resave vikosi vikatumika.

MUNGU AMPE MAISHA MAREFU
Endelea kuota huku unatembea, aliyewashauri kumkata Lowassa mtamkumbuka milele
 
Back
Top Bottom