Taifa kulipuka kwa kishindo kikuu siku dk Magufuli akitangazwa rais

Hivi ukiwafikia tu Wananchi tayari wanakupigia kura?..Nakubaliana nawe kuwa Magufuli ataapishwa Rais wa Wapiga push up,ila Rais wa JMT atakuwa Edward Ngoyai Lowassa.
Ni familia ya walimu tena ndani ya Ikulu Takatifu.

IKULU SIO PANGO LA WEZI NA MAFISADI
 
Mungu atupitishe salama katika kipindi hichi cha uchaguzi hadi hyo siku ya kumtambua huyo raisi mpya
 
Siku hiyo team magufuli mliopo dar na mlio humu jf inabidi tupendekeze sehemu tutapoenda kula bata full bataz kushangilia ushindi. kudadadekii!!! ukawa tutawanyooooosha tuuuuu...... chezea ccm wewe...
 
Sasa ni dhahiri dk Magufuli atakuwa rais wa tz na hakuna wakumzuwia ila Mungu peke yake, ikiwa zimebakia siku chache wa tz wapige kura na kumchaguwa rais wao kumekuwa na maandalizi mazito kuanzia vyombo vya usalamana idara zote za usalama wa nchi kuhakikisha Amani na utuivu wakila mtanzania unakuwepo na hakuna vurugu itatokea. Ila ktk upande mwingine wa watanzania wengi na wapenzi wa chama cha mapiduzi wamejiandaa kuingia mabarabarabi kwa Amani kurusha fataki nakushangilia kwa ushindi wa kishindo DR Magufuli ameupata, inasemekana hata maelfu walio kuwa ukawa watakata kamba kuja ccm kushangilia ushindi wa dr Magufuli.

Watu wengi bado wana utomasona hawajajuwa ni kiasi gani Maguli anawatu wengi kiasi jiji la dsm halitotosha kupokea wageni tayari mahotel yameshawekwa resave kwa ajili yaujio wa viongozi wa dunia kuja muwapisha Magufuli.
Kuna kila dalili Magufuli ataapishwa na watu wengi sana kiasi uwenda resave vikosi vikatumika.

MUNGU AMPE MAISHA MAREFU

Huo ni utashi wako
 
Cha ajabu ikianzishwa thread yenye maudhui haya haya, ila kwa upande wa LOWASSA, Moderators wanaifuta!
 
Sasa ni dhahiri dk Magufuli atakuwa rais wa tz na hakuna wakumzuwia ila Mungu peke yake, ikiwa zimebakia siku chache wa tz wapige kura na kumchaguwa rais wao kumekuwa na maandalizi mazito kuanzia vyombo vya usalamana idara zote za usalama wa nchi kuhakikisha Amani na utuivu wakila mtanzania unakuwepo na hakuna vurugu itatokea. Ila ktk upande mwingine wa watanzania wengi na wapenzi wa chama cha mapiduzi wamejiandaa kuingia mabarabarabi kwa Amani kurusha fataki nakushangilia kwa ushindi wa kishindo DR Magufuli ameupata, inasemekana hata maelfu walio kuwa ukawa watakata kamba kuja ccm kushangilia ushindi wa dr Magufuli.

Watu wengi bado wana utomasona hawajajuwa ni kiasi gani Maguli anawatu wengi kiasi jiji la dsm halitotosha kupokea wageni tayari mahotel yameshawekwa resave kwa ajili yaujio wa viongozi wa dunia kuja muwapisha Magufuli.
Kuna kila dalili Magufuli ataapishwa na watu wengi sana kiasi uwenda resave vikosi vikatumika.

MUNGU AMPE MAISHA MAREFU

labda rais wa tff
 
Ni familia ya walimu tena ndani ya Ikulu Takatifu.

IKULU SIO PANGO LA WEZI NA MAFISADI

Roho inaniuma namna CCM inavyotuchezea na kutudharau sisi walimu wa Shule za Msingi, Sekondari na Vyuo tuliowafundisha wao pamoja na jitihada zetu za kuendelea kukarabati kizazi cha Taifa la leo na kesho.Mazingira ya kufundishia si rafiki kabisa,nyumba za walimu ni utata,likizo kizungumkuti,mishahara kiduchu,usafiri ni majanga,matibabu ni dhahama,Usafiri ni mgogoro, mikopo kuipata ni balaa,kujiendeleza ni mbinde,uhamisho ni soo,huduma ya maji ni hadithi zisizokwisha,umeme ni ahadi juu ya ahadi zingine; maisha ya Mwalimu ni kama maigizo,Maisha ya leo ni afadhali ya jana na juzi. Hatuthaminiwi Wilayani, Halmashauri, Benki,Sehemu za Starehe na hata katika vyombo vya usafiri.Ukijitambulisha wewe ni Mwalimu basi jiandae kudharaulika. Wanafunzi wanaishia kutupachika majina kutokana sisi kuwafuatilia sana kimaadili na Kitaaluma kiasi kwamba tumechoka kimaisha (Mavazi, Malazi, Chakula na Burudani).Leo CCM imewarubuni baadhi yetu watushawishi kuipa tena kura CCM???Baada ya kuona imekataliwa na Wakulima,Wafanyabishara,Wavuvi,Manesi,Wanafunzi,Wakandarasi,Madereva,Wamachinga,Wanawake,Wajasiamali ,Wawekezaji,Wachimba madini,bodaboda,mama Ntilie n.k!! Ewe Mwalimu,Ewe Mtumishi wa Umma na Binafsi,Ewe Mkulima,mvuvi,bodaboda,mama Ntilie,Mfugaji,askari,Mwanajeshi,Nesi,Daktari,Dereva,Machinga,Mwanafunzi,Mwanamuziki,Msanii,Mwanamichezo mabibi na Mabwana CHAGUA LOWASSA ILI ALIOKOE TAIFA HILI LA TANZANIA MIKONONI MWA DHALIMU CCM!!
 
Tatizo la ukawa mnalalamikia kila taasisi...iwe NEC,POLISI,JWTZ,TWAWEZA, NA SASA JF

Wanalalamikia kalamu, wanalalamikia karatasi, wanalalamikia maelekezo ya kukunja karatasi hatimaye watalalamikia masanduku ya kura..!
 
Wakifanikiwa kuiba kura na kutangazwa washindi utakuwa msiba mkubwa kwa taifa.wananchi watakuwa wamezamishwa kwenye kilindi cha umasikini kwa miaka mingine.itakuwa ni kilio na masikitiko kwa watanzania wapenda maendeleo.Mungu muumba mbingu na nchi atuepushe na mkosi huo.!
 
Ukawa bye bye ..Lowassa bye bye, tutawakumbuka kwa janja janja yenu
 
Back
Top Bottom