Rais Samia alilipua Taifa kwa Shangwe na Furaha siku ya Simba SC

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,264
9,715
Ndugu zangu watanzania,

Historia imeandikwa,Historia itasimuliwa kwa vizazi na vizazi,Historia itamkumbuka Rais samia kwa miaka mingi sana na jumuiya ya wana michezo na watanzania wote kwa ujumla wao ambao wengi ni wapenda michezo sana. Kwa hakika imekuwa ni siku ya furaha ,siku ya Tabasamu ,siku ya shangwe, nderemo na vifijo vilivyo lindima kila kona ya Taifa letu.Ni kishindo na mlipuko wa furaha uliotokea ndani ya Taifa letu ambao umetokana na Rais samia kuingia ndani ya uwanja wa Benjamini mkapa stadium kama mgeni Rasmi katika kilele cha Tamasha la Simba Day ambalo lilianza kuazimishwa na kufanyika Tangia mwaka 2009.

Kwa hakika watanzania wamefurahi sana na kuvutiwa sana na namna Rais wetu alivyo ingia uwanjani kishujaa,kikomadoo,kishupavu na kiimara. Amefanikiwa kuiteka mioyo ya jumuiya ya wanamichezo,ilikuwa ni mama mama mamaa kila sehemu,vibanda umiza huko ilikuwa ni shangwe tupu ya kumuona Rais samia,watu walishindwa kuvumilia kukaa katika mabench na kuamua kusimama kumshangilia Rais samia japo walikuwa wanaangalia kupitia Runinga.

Ilifika wakati watu wanasimama na kwenda kuweka mikono mbele ya Tv wakihisi wanaweza msalimia Rais wao kama alivyokuwa akisalimiana na wachezaji mbalimbali.kwa hakika Rais samia anapendwa sana na watanzania,anakubalika sana, anaheshimika sana,ameiteka mioyo ya watanzania na anaishi ndani ya mioyo ya mamilioni ya watanzania.

Rais samia katoa hotuba iliyogusa mioyo ya watanzania,Hotuba iliyowaunganisha watanzania,Hotuba ambayo watanzania wameomba iwekwe katika makumbusho ya Taifa ili vizazi vijavyo viweze kuisoma na kujifunza namna ya kuwaunganisha watu,Hotuba ambayo inaendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii kama moto wa petroli,Hotuba ambayo watu wamekaa vikundi vikundi wakiisikiliza na kurushiana huku na kule ,hotuba ambayo inaendelea kuteka mijadala mitandao.

Rais samia ni mshindi katika mioyo ya watanzania na anatembea ndani yao ,amebeba imani ya Watanzania na anaaminika sana mbele za watanzania,ndio maana unaona watu wakiwa na nyuso za furaha , matumaini , Tabasamu na imani kubwa sana wamuonapo mbele yao , Hakika Rais samia ni kiongozi wa watu,mama wa Taifa ,mlezi wa Taifa ,Nuru ya wanyonge na Tumaini la wengi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Si mumekatazwa ninyi?, Mmeambiwa mtafute kazi ya kufanya.
 
Huwa unapata nini kwa kuandika uharo kma huu, hivi kweli una akili timamu kabisa na una familia kweli, hata kama ni uchawa huwezi kumsifia binadamu mwenzako kiasi hicho tena anayekojoa kwa...ngoja niishie hapo, unafanya hata watu wasimpende kwa magazeti ya kijinga ya kujipendekeza unayoandika humu
 
Back
Top Bottom