Magufuli ni masihi alisema amekuja kuandaa njia yupo anaye kuja.Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend JPM alisimama imara na kwa kujitolea uhai wake kwa watanzania ili tufanikiwe.
Kamwe walami hawawaezi kumpenda kiongozi mwenye uthubutu wa Hayati JPM.
hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatutaki tena kuona watu wanatupwa baharini wakiwa wamefungwa kwenye mifuko ya sandarusi na kushindiliwa na mawe ili wasitokee juu ya maji/waasiibuke.
kwani JPM orijino aliandaliwa?hivyo basi ni muda muafaka kuanza kumsaka kijana shupavu atakayekuja na Sera za Magufuli.
Ukweli lazima ukuume.baseless accusations!
echoing the cowardsNabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi
Salamu za Heri zinaendelea kumiminika. Hapa chini ni kutoka kwa nabii Mwingira: Salamu za kama hizi zinapoendelea kutufikia ni vyema kujitafakari. Ni wazi kuwa kama Taifa hatuko vizuri. Walikuwapo kina Desmond Tutu, leo hatuko nao. Walifanya sehemu yao, wamekwenda. Angalia katika...www.jamiiforums.com
never again kuandaa/ au system kuzubaa kupita kiasi hadi mtu wa namna hii kuwa Ikulu
Swali?Je ni vijana wangapi wenye haiba na hulka ya the late and the legend John Pombe Magufuli??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!