Ustaarabu unaigwa wewe mbulula! Ukishindwa kuiga ustaarabu wa wengine eti kwa sababu kila mtu anajina lake basi wewe utaitwa "mshenzi"HAmia kenya basi.Kenya na Tanzania ni nchi tofauti zenye majina tofauti na mambo tofauti.Tanzania is not a Copy cat of Kenya
Khe kheee kheeee!Karibu sana mpendwa
Jamaa si angetoa hizo mil50 kila kijiji haya yote tungeyasahau!ukiwa huna ela una hasira unaweza kuandamana hata peke yako eti
Mnachojua ni matusi ambayo inachangiwa na kutokuwa na cha kuandika.Anzia kwako tafadhali tutajie jina lako usijiite babu M mana M haijulikani inamaanisha matako,matango,mapumbu,mazuzu ama nini mkuuu
Sawa wewe huhamasishi ila si unataka uwazi na ukweli kwenye kila jambo talk the talk taja jina lako matako weee usitureteee porojo na kujaza watu ujingaMnachojua ni matusi ambayo inachangiwa na kutokuwa na cha kuandika.
Wazungu wanakwambia “talk the talk...walk the walk”. Mimi ningekuwa ninafanya kampeni za kuhamasisha watu kuandamana, ningekuwa wa kwanza kutumia jina langu na kwenye maandamano ningekuwa mbele.
Wanaotakiwa kuweka majina yao halisi ni hao wanao tuhamasisha kuandamana.
Hakuwezi kukosekana wajinga wachache. Baadhi yao sasa hivi wapo jela wakati aliyewahamasisha amejificha!Walioandamana juzi walikuwa Wakenya.
Acha tu rebeca.unafanya kila jinsi ya kupata ela lakini the harder u try the worse it gets!yaani sumtimes natembea naona km mwili km sio wangu!unaweza kupata kichaa huu mwaka tu nimekula loss karibia mil16.acha tuuuHio ya kuandamana peke yako iko kali sana mkuu,😀
Acha tu rebeca.unafanya kila jinsi ya kupata ela lakini the harder u try the worse it gets!yaani sumtimes natembea naona km mwili km sio wangu!unaweza kupata kichaa huu mwaka tu nimekula loss karibia mil16.acha tuuu
Sidhani kama nimekutukana. Nimekushauri upanue uelewa wako ili kuweza kujua nguvu ya social media.Mnachojua ni matusi na mnachoendeleza mitandaoni ni matusi na bullying!
Afadhali kirungu mkuu, kuna kupigwa pasi ya moto mgongoni na kugeuzwa goti mbeli ligeukie nyumaMimi sitaandamana. Sitaki kabisa kupigwa virungu.
Hivi ni vitisho lakini amini nakwambia dola inaweza kuamua kuuwa kwa mfano lakini hamuwezi kuuwa kuwamaliza wote. na baada ya kuwaua huyo mwenyekiti wa ccm ajiandae kuishi kifungoni maisha yake yote.Karibu sana mpendwa
mtawaua wangapi?Afadhali kirungu mkuu,kuna kupigwa pasi ya moto mgongoni na kugeuzwa goti mbeli ligeukie nyuma
Mimi ninaongelea Maandamano, wewe unaongelea mgomo!Kile kitendo cha watu kuanza kuongea tu mitandaoni suala la kuandaa mgomo nayo ni hatua usibeze.
Hakuna wa kuuwawa ila watajuta kujaribu kuandamanamtawaua wangapi?