Nungunungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2007
- 311
- 13
Acheni kudanganywa watoto; someni mitihani vyuoni imekaribia. Na huyo mwalimu mzee mzima anawachochea watoto wakati yeye na familia yake wapo nje ya nchi.
Dsm si mahala pa kuufikiria huo upuuzi wenu ndio maana hata yule mzee aliamua kumalizia kampeni zake nje ya Dsm. Msijaribu upuuzi wenu Dsm; mtaaibika na kuumia.