'Tahrir square' ya Dar ni wapi??

Kitaifa tuiweke Jangwani sehemu ambayo harakati za uchaguzi huwa zinaanzia nakumbuka hata CDM 2010 tulianzia pale na moto ukawaka nchi nzima,peoplezzzzzz...
 
Hamna cha ziada uchu wa madaraka unawasumbua subutu uone ................
 
Hamna cha ziada uchu wa madaraka unawasumbua subutu uone ................
<br />
<br />
acha kukurupuka kanawe uso urudi. . .umejua tunazungumzia mapinduzi gan!?. .hata ya kijani ni mapinduzi we unamilik sheli nin?(sijataja sheli ya aina gan)
 
NMC Arusha....itakuwa lini?

Dah.....baby mbona wewe leo uko huku? Nasubiri usiku ufike turudi kule...nimefurahi sana mama watoto mwanamapinduzi.Ha ha haaa!

On a serious note:Tahrir Square ya mapinduzi ya kweli ni Mioyo yetu tu....otherwise kama ni aneo la kusanyiko physically Mnazi Mmoja
 
Kitaifa tuiweke Jangwani sehemu ambayo harakati za uchaguzi huwa zinaanzia nakumbuka hata CDM 2010 tulianzia pale na moto ukawaka nchi nzima,peoplezzzzzz...
Strategically Jangwani hapafai ni rahisi kuzingirwa uwanja mzuri kwa Dar ni Mnazi mmoja.
 
Kigoma, roundabout ya station! Na ujiji au urusi pale Mwanga.
 
Back
Top Bottom