Taharuki Chuo Kikuu Ruaha, Iringa

Taharuki Chuo Kikuu Ruaha, Iringa

kapikita

Senior Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
131
Reaction score
74
Hali ya taharuki imetanda muda huu katika chuo kikuu cha ruaha hapa iringa ambapo wanachuo wote wamesitisha masomo na kuungana kudai madai yao ya msingi ikiwa ni pamoja na pesa zao za boom na pia kutaka kurudishiwa sh 20,000 kwa kila mwanachuo iliyokatwa kwa madai kwamba inaenda TCU.
 
Dah!hapo navyokijua Mimi hiko chuo na uongozi wake ni madikteta sana mwisho kunawatakao fukuzwa na kunawatakao simamishwa maana mm nimepita hapo nikiwa mmoja wawanafunzi waanzilishi
 
Dah!hapo navyokijua Mimi hiko chuo na uongozi wake ni madikteta sana mwisho kunawatakao fukuzwa na kunawatakao simamishwa maana mm nimepita hapo nikiwa mmoja wawanafunzi waanzilishi

Unamjua chonya?
 
Dah!hapo navyokijua Mimi hiko chuo na uongozi wake ni madikteta sana mwisho kunawatakao fukuzwa na kunawatakao simamishwa maana mm nimepita hapo nikiwa mmoja wawanafunzi waanzilishi
Unaikumbuka Iringa Club?:becky:
karibu na geitini?
 
Waache wagome tu, ndoo mfumo wa nchi hii migomo kila kona.
 
Kuna jamaa walikua wanajiita watoto wa mbwa walikua wanishinda hapo tangu asubuhi pia kwa dada Aggy.
Teh teh aaah... watoto wa mbwa
Na kibwagizo(mbwa kala mbwa..haya weee haya weee)
Basi hata kwa mama Siyovelwa
kwenye yule Mbuzi mshenzi
utakuwa unapafahamu.
 
Teh teh aaah... watoto wa mbwa
Na kibwagizo(mbwa kala mbwa..haya weee haya weee)
Basi hata kwa mama Siyovelwa
kwenye yule Mbuzi mshenzi
utakuwa unapafahamu.

Kwa mama sometimes mabanda ya chama.
Unamjua stable?
 
Hali ya taharuki imetanda muda huu katika chuo kikuu cha ruaha hapa iringa ambapo wanachuo wote wamesitisha masomo na kuungana kudai madai yao ya msingi ikiwa ni pamoja na pesa zao za boom na pia kutaka kurudishiwa sh 20,000 kwa kila mwanachuo iliyokatwa kwa madai kwamba inaenda TCU.
Dah! bongo land hiyo,tumekuwa nchi ya migomo,lkn hakuna namna siku zote haki inadaiwa wala haiombwi.
 
kwa hilo la Tcu nawaunga mkono wako sawa haiwezekani mtu ulipie 50000 kuomba chuo Tcu halafu uwalipe 20000 kila mwaka.
 
MgonjwaUkimwi,
Hapa ndugu yangu umenizidi kete! Looh sijawahi sikia hii (signature):- Mwendawazimu ni binadamu mwenye Uhuru bila Nidhamu, na Mtumwa ni binadamu mwenye Nidhamu bila Uhuru. Nimesoma mara mbili mbili nakila mara hujikuta nacheka mwenyewe maanake kweli imetanda kwa kila sura ya shilingi hii... inauma tu pale utakapo jaribu kufanya mahesabu kupata hitimisho yaani Mtumwa ni sawa kabisa na mwendawazimu, japokuwa wametofautiana chanzo....Wee
 
Back
Top Bottom