Taharuki Chuo Kikuu Ruaha, Iringa

Taharuki Chuo Kikuu Ruaha, Iringa

Dah!hapo navyokijua Mimi hiko chuo na uongozi wake ni madikteta sana mwisho kunawatakao fukuzwa na kunawatakao simamishwa maana mm nimepita hapo nikiwa mmoja wawanafunzi waanzilishi

Kaz ipo
 
Nasikia dada aggy aliunguliwa na kile kiosk cha mambao, so sasa ana kiosk cha container!

Huo moto niliushuhudia. Dahhh...iliuma wengi.
Je Dr. Mgimwa na Fr. Dutto wanasemaje juu ya mgomo?
Nakumbuka 2011 kwa mbali... Never be the same again.
 
Huo moto niliushuhudia. Dahhh...iliuma wengi.
Je Dr. Mgimwa na Fr. Dutto wanasemaje juu ya mgomo?
Nakumbuka 2011 kwa mbali... Never be the same again.

Dutto yule Mtaliano-Muhehe yule,Fr Mgimwa mambo kibao yule...hivi Fr Muhume bingwa wa Ethics yupo??...Nawakumbuka Deo Sendama na yule mkewe,Wapi Hamisi Nahaki Jnr mzee wa kulala bar na kukesha
 
Dutto yule Mtaliano-Muhehe yule,Fr Mgimwa mambo kibao yule...hivi Fr Muhume bingwa wa Ethics yupo??...Nawakumbuka Deo Sendama na yule mkewe,Wapi Hamisi Nahaki Jnr mzee wa kulala bar na kukesha

Haaa Deo na mkewe wamekuwa sasa nadhani, Fr.muhume sijui theologia ilimchanganyaga akili.
 
Acha uongo.
Iringa club imechukuliwa na Ebony FM.
University Corner ni container

Marahaba mdogo wangu,
Hata mimi nilishangaa iringa club ilikua near getini chuoni kabisa na uv corner ipo near NMB. Umesahihisha vema.
 
Back
Top Bottom