Taharuki Chuo Kikuu Ruaha, Iringa

Taharuki Chuo Kikuu Ruaha, Iringa

Hali ya taharuki imetanda muda huu katika chuo kikuu cha ruaha hapa iringa ambapo wanachuo wote wamesitisha masomo na kuungana kudai madai yao ya msingi ikiwa ni pamoja na pesa zao za boom na pia kutaka kurudishiwa sh 20,000 kwa kila mwanachuo iliyokatwa kwa madai kwamba inaenda TCU.

Naskia serikali haina helaa...wale wa law school wana juta
 
Migomo ndio njia ya mwisho kabisa ya umma kudai haki zao za msingi.
 
Daudi Mchambuzi hv huyu Stable alipatikanaga? Kuna kipindi alipoteaga mpaaka familia ilitaka kuweka matanga. Duuh umenikumbusha mbali enzi za dada Aggy

Inasemekena wazazi walikata tamaa wakaenda hadi kwa TB joshua wakaambiwa stable yuko atarudi, baada ya miezi kadhaa alirudi kutokea south africa kumbe alizamia meli iliyokua ikienda kwenye world cup hapo S.A
 
Last edited by a moderator:
weee ndioo da aggy aliunguliwa na ile duka yake yotee hakikupona kitu aisee wale waliokuwa wakilewa pale walihuzunikaje

Hata mimi nilisikitika ila nimefurahi baada ya kusikia amefungua pale.
Kabla ya presentation tulikua tunaenda kununua vingereza dukani kwake.
 
Hata mimi nilisikitika ila nimefurahi baada ya kusikia amefungua pale.
Kabla ya presentation tulikua tunaenda kununua vingereza dukani kwake.

hahahhaha aisee,siku moja nilikaa siti moja na member wa hicho kibanda kwenye chumba cha mtihani,mmh ananuka viroba na bangi niligonga meza kuomba siti nyengine..ss cjui na hao walikuwa wanatafuta vingereza washukie kwenye pepa Lol..
 
Haha kwenye chumba cha mtihani watu walikua wanaingia na kila ya aina ya silaha, sasa ulimwambia msimamizi why unahama?
 
Inasemekena wazazi walikata tamaa wakaenda hadi kwa TB joshua wakaambiwa stable yuko atarudi, baada ya miezi kadhaa alirudi kutokea south africa kumbe alizamia meli iliyokua ikienda kwenye world cup hapo S.A

Duuh kumbe alirudi...ila dada Aggy alituvuna sana na bia zake zilikuwa tamu mnoo sijuindo baridi ya Iringa.
 
Back
Top Bottom