Tahadharini Nawezi Vibaka Jijini Dar

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
7067_1261705803845483_3526044290590665342_n.jpg


Ubunifu mpya wa vibaka,
Dirisha lina nondo za kutosha na Dirisha, unadhani simu yako ipo salama, kumbe ule mwiko uliotumika kugeuzia na kukupakulia chips pale mtaani, ndio sasa unatumika kupakua simu yako iliyopo kitandani wakati Umekwenda bafuni.
Kuwa makini.
 

Attachments

  • Wezi wa Mjini Dar.jpg
    Wezi wa Mjini Dar.jpg
    57.4 KB · Views: 105
Dawa yao hawa unatega shoti kwenye dirisha.. Kinondoni nimewaumiza sana hawa viumbe
 
nimeibiwa juzi cm yangu ya thamani nina uchungu saanaa na simu yangu ya SAMSUNG wamenirudisha kwenye ulimwengu ws TECNO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom