Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,255
- 28,414
Kuna wakati picha inapotea inabaki ikionekana kwambali lakini sauti inatoka, ikifurahi picha inarudi.Duuuuuh? Ilipasuka kiooo?
Umesoma vizuri, picha inakuja na kupotea hivyo kioo ni kizima.Kampuni zote ziko hivyo endapo muda wa warranty umeisha. Na kama kioo kimevunjika mteja hushauriwa nunua tv mpya. Pole sana
Wapo hapa TanzaniaTuliwahi kudiscuss humu jukwaani kwamba karakana ya LG ipo Nairobi tu kwa East Africa?
Una uhakika hao jamaa ni official? Na sio wajanja tu wa mjini wanaojiita LG?
Kuna wakati picha inapotea inabaki ikionekana kwambali lakini sauti inatoka, ikifurahi picha inarudi.
TV ni TCL na STAR X
zingine majanga
Tatizo lake kubwa ni main card/card inayobeba video chips ina overheat, na kwa tv za flat zikianza hivyo basi ni kubadilisha tu hiyo card, kama uwezo wako ni mdogo basi unafunga zile za universal tu.Kuna wakati picha inapotea inabaki ikionekana kwambali lakini sauti inatoka, ikifurahi picha inarudi.
Niwajanja tu, unawapa 30,000/= wanakupa bei mkubwa unashindwa unaichukua wao wanabaki na 30,000/= bila jasho na huenda hata hawakuifungua, ni ujanja wa mjini kama uwajuavyo wahindi.Tuliwahi kudiscuss humu jukwaani kwamba karakana ya LG ipo Nairobi tu kwa East Africa?
Una uhakika hao jamaa ni official? Na sio wajanja tu wa mjini wanaojiita LG?
Picha inaonekana na kupotea lakini sauti ipo tu.Ilikuwa na tatizo gani?
Kanunue mpya tu mkuu.Picha inaonekana na kupotea lakini sauti ipo tu.
Hakuna chombo cha kutumia umeme vhenye garantii ya uhakika.TV ni TCL na STAR X
zingine majanga