Tahadhari yatolewa Bonde la Rufiji, baada ya bwawa la JNHPP kufunguliwa maji yake

Hivi kutakuwa na madhara yoyote kama waki introduce sangara au Sato kwenye hili ziwa ili kuanzishwa shughuli za uvuvi kando kando yake?

Pascal Mayalla
johnthebaptist
Mshana Jr
Japo Mimi sio mtaalam wa samaki, lakini hakuna ubaya wowote kuintroduce ufugaji samaki. Samaki wa Ziwa Victoria, ni sato na kamongo. Sato walizidi sana na ku disturb water flow ya Egypt, hivyo waka introduce Sangara aliletwa ili awale Sato. Sangara kwanza aliwatafuna kamongo wote, pili aliwapunguza sana Sato!. Uki introduce Sato na Sangara bwawani, itakuwa poa sana
P
 
Bashe badala ya kwenda huko kujenga mashamba ya umwagiliaji. Mashamba ya kutotesheleza kwa mpunga na sukari yeye anahangaika na masharobaro wa BBT!
Kwanin aende bashe usiende wew? Si tumekubaliana serikali hailimi?
 
Mkuu wa mkoa wa Pwani ametoa tahadhari kwa wananchi waishio mwambao wa mto Rufiji kwani mto huo umefurika na maji kuanza kuvamia makazi ya watu baada ya bwawa la kufua umeme la mwalimu Nyerere kufunguliwa maji yake.

Ikumbukwe bwawa hilo baada ya kukamilika lilitakiwa kufungwa mashine tisa ili zizalishe umeme wa megawatts 2115 lakini mpaka sasa baada ya kukamilika limefungwa mashine moja tu inayozalisha megawatts 235! ,hali hiyo imepelekea maji yafunguliwe tu na kuenda bure ili kuzuia bwawa lisiendelee kujaa zaidi.

My take. Chadema mpo?
Nenda Chato kwanza
 
Si January alisema itachukua miaka 5 kulijaza sijui alikuwa anamaanisha nini huyo kilaza
 
Japo Mimi sio mtaalam wa samaki, lakini hakuna ubaya wowote kuintroduce ufugaji samaki. Samaki wa Ziwa Victoria, ni sato na kamongo. Sato walizidi sana na ku disturb water flow ya Egypt, hivyo waka introduce Sangara aliletwa ili awale Sato. Sangara kwanza aliwatafuna kamongo wote, pili aliwapunguza sana Sato!. Uki introduce Sato na Sangara bwawani, itakuwa poa sana
P
Nikiwa kama mtaalamu wa viumbe wa majini (aquatic species) sishauli ufanyike upandikizaji wa samaki wageni (exotic fish) kwa sababu zifuatazo

Baadhi ya introductions have proved so effective that the new species has been able to out compete existing fishes resulting in a considerable reduction in their populations or even in their complete disappearance.

Sababu nyingine ni kutokea kwa biological pollution (prolific breeding & contamination of local genepools)

Uwepo wa maji ya uhakika yanotililika toka kwenye huo mradi unaweza kuwa fursa kwa watu kuwekeza

Binafsi naona njia yenyetija na ambayo ni rafiki kwa mazingira ni kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki uwepo wa maji yakutosha katika kipindi chote cha mwaka unatoa uhakika kwa mtu atakae wekeza kupata maji ya kutosha through out the production cycle

Mtu ukiamua kuwekeza ufugaji kwa njia ya vizimba (cage culture), mabwawa au raceway sytstem utafanya ufugaji wenye tija na rafiki kwa mazingira kwa sababu samaki wa asili hawatachangamana na samaki wa kufugwa. Ufugaji utafanyika under controlled environment bila kuadhiri ikolojia ya viumbe wa asili

Napendekeza uwekezaji uwe ni kwa njia ya vizimba ili kupunguza gharama za kubadishamaji mara kwa mara na pia njia hii ni nzuri na yenye tija kwa sababu inatoa faida ya ziada ya kuweka samaki wengi kwenye eneo dogo

Kama kuna mtu kavutiwa na idea yangu, milango iko wazi tudiscuss kwa upana zaidi kuona kama inaweza kutekeleza
 
Back
Top Bottom