LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
MUNGU! Saidia raia yako maana hakika unaweza!
Tegemeeni uwepo wake Mungu!
Tegemeeni uwepo wake Mungu!
Tunakuombea MpwaNdege ya Precision ATR 72 iliyoondoka Knjaro saa saba mchana huu kwenda DSM kupitia Zenji imekwama Zenji kutokana na mvua kubwa DAR. Zenji kwenyewe radi inapiga sana sijajua hatima ya safari ya Dar itakuwaje?
Hakuna mafuriko tatizo ni hakuna mifereji ya kupitisha maji...kweli mvua inanyesha sana sehemu kubwa ya Dar mie nipo maeneo ya akiba maji yamejaa barabarani.

Niko pande za mikocheni ha mitaa ta TMJ mafuriko yametawala hapapitiki na mvua bado inaendelea kunyesha kwa mbele pake kuna bajaj imezama kwenye shimo kwani barabara ilikuwa imefunikwa na maji.hatari sana watanzania. Inaonekana huu ulikuwa mkondo wa maji watu wakaublock. My fair hapafai,kuna yard pale imejaa maji wanzania nini hiki tena tunayarudia yale ya december tena?
Nadhani ndio muungano utaimarika kwa wale watakao salia! Mungu alipishie mbali janga hili....tunawapenda wazanzibari ingawa wao hawapendi kuchangamana na sisi!NDO utakuwa MWISHO wa muungano
Kuna unconfirmed report ya kuwepo kwa Tsunami, tunafatilia
Fuatilia: http://ptwc.weather.gov/ptwc/text.php?id=indian.TSUIOX.2012.04.11.0845
NDO utakuwa MWISHO wa muungano
na nani?Au ndio Tsunami tuliyotahadharishwa??