Waliotoa tahadhari wamesema:
So, contact your local government agencies who have the authority to make decisions regarding the offcial state of alert in Tanzana and any action to be taken. Serikali inasemaje kwani. Au bado inasubiri habari za kiiteligensia kabla ya kutoa tamko?
Kwa taarifa ambazo ni Confirmed.
Leo kuanzia muda wa 11:30 jioni(saa kumi na moja na nusu) huenda ikatokea bonge la mvua kali mithiri ya Tsunami.
Viunga vya TMA(mamlaka ya hali ya hewa nchini) wame amplify kuwa inakisiwa kuwa hivyo,so people take care of this. Kama una issue zako nje na makazi yako,just fulfill right now.
Nimemaliza.
Mkuu mbona unakua kama huijui Tanzania??? tunaanzia wapi hizi process, TMA? waziri mkuu kitengo cha maafa, afisa mtendaji?? kituo cha polisi au??
I would expect by now hata bunge, TV, radio nk vitakuwa vimeshatueleza the ABCs za kukabiliana na hiyo threat....
Wakazi wote wanaoishi kando mwa bahari yahindi wametahadharishwa kuondoka mara moja mpaka saa kumi na mbili!Kutokana na tetemeko la aridhi chini ya bahari yahindi mashariki mwa kisiwa cha Sumatra!hivyo mawimbi yanaweza kuwa na urefu wa mita 1-2.Na wakazi wamtwara nao wametahadharishwa.Chanzo Idara ya hari ya hewa.
Sasa Zanzibar itakuwaje?