EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Hiyo ni nuclear bomb,acheni ujinga wa kudhani itakuwa natural disaster.Wameamua this time ku-scare kanda ya Afrika Mashariki.Tayari Ache tetemeko la ardhi limeshatokea.
Dah! Inaelekea hujui hata tofauti ya tetemeko la ardhi na tsunami. Kwanza nani kakwambia huko Ache kumetokea tetemeko la ardhi? Maskini.