Hawa ni hatariHuonekana pale wanapokuhitaji na kutoweka unapowahitaji zaidi. Ni wabinafsi sana.
FBI nini? Tatizo usichokielewa mkuu, marafiki wanaozungumziwa ni wale marafiki wa nia ambao ni kama ndugu.Hakuna rafiki asiyefaa ila ww ndo umeshindwa Jua kiwango cha kuweka mipaka .huwezi nambia kuana marafiki wawili wenye level Sawa wakati ninwanadamu wawili tofauti.
Pia elewa rafiki huwa sio mama yako.sio ndugu yako.sio maiti wako wa Siri saizi na sababu kujua .sasa rafiki yako wa kuahangilia yanga nyumbani kwako unamualika kufanya nn??
Rafiki yako wa bisharan unamsimulia ndoa yako ya nini?
Kifupi tenga kabisa familia yako na marafiki Mambo ya kukutembelea kwako usiku sijui watoto wao kushinda kwako mkuu hao ni FBI Achaaa
Siyo kuishia kukukosoa tu, hata ushauri wa maana pia anapaswa kuutoa.Rafiki lazima akukosoe kama una rafiki asie kukosoa na unampenda basi wewe na huyo rafiki yako wote ni wanafki
Ni bora kuwa na adui mwerevu kuliko rafiki mjinga. Adui mwerevu atachangamsha akili yako. Si rahisi kupata cha maana kwa mtu mwenye uelewa mdogo.Rafiki lazima akukosoe kama una rafiki asie kukosoa na unampenda basi wewe na huyo rafiki yako wote ni wanafki
Mm nimejikita paragraph ya mwisho .kwa mujibu wanguFBI nini? Tatizo usichokielewa mkuu, marafiki wanaozungumziwa ni wale marafiki wa nia ambao ni kama ndugu.
Hao marafiki wa biashara unaopanga nao mishe mishe na kuachana nao huko huko, hao si marafiki bali ni jamaa zako tu.
Urafiki ni kuwekana karibu, mtu wako wa karibu lazima afahamu mambo yako mengi na rafiki wa karibu ndiye huyo anachambuliwa hapa.
Rafiki huyo aweza kuwa na rangi ya pili, akawa ndiye msaliti wa mambo yako mengi, kuanzia kukuvuruga na familia yako(mke/mume) pia kuvujisha siri za familia, kukupotosha katika ushauri pamoja na kukukwamisha katika mipango yako mingine.
Kwa tamaduni zetu, ni ngumu sana kukosa 'family friend'.
Lakini kiukweli, ukitaka kujiepusha na huo ujinga pamoja na migogoro inayoepukika, ishi alone na familia yako na mambo yako bila kujiweka karibu na urafiki na mtu.
That's why I hate them those idiotsMaisha yamejaa marafiki wasio na urafiki. Watu wengine hawakufa wakati mshale ukiwa kifuani mwao, walikufa walipoona ni nani aliyerusha mshale huo.
Hapa kuna Dalili 12 za marafiki wasio na urafiki;
1. Marafiki wasio na urafiki wanapanga njama dhidi yako usiku na kucheka nawe asubuhi. Wanatabasamu sana na kukutendea vizuri, lakini kwa kweli, wanazungumza na kusengenya nyuma yako.
2. Huonekana pale wanapokuhitaji na kutoweka unapowahitaji zaidi. Ni wabinafsi sana.
3. Mafanikio yako yanawatishia. Wanakasirika wakati kitu kizuri kinapotokea kwako. W
Kwa kifupi wana tamaa sana.
4. Wanakulaghai kihisia. Inachukua faida yako. Kusababisha maumivu, kukuumiza na kukudanganya.
5. Huwa wanajaribu kushindana na wewe na kukufanya wajione wao ni bora kuliko wewe.
6. Marafiki wasio na urafiki huwa wanakukosoa vibaya.
Wanakuonyesha kila mara mambo mabaya kuhusu Maisha yako. Hawaoni chochote kizuri kukuhusu.
7. Wanakudharau na kutilia shaka kila unachosema au kufanya. Wanakudharau na kueneza uwongo juu yako. Wanakosa imani kwako na wanadharau mafanikio yako.
8.Huwezi kuwategemea au kuwategemea. Hawaaminiki.
9. Marafiki wasio na urafiki hawajisikii vibaya au kujuta wanapokuumiza. Kamwe hawaombi msamaha badala yake wanahukumu; siku zote wanahisi wako sawa.
10. Wanafurahia jambo baya linapokutokea. Maumivu yako yanawapa Furaha.
11. Marafiki wasio na urafiki hawatawahi kukushika mkono hata kama utajitoa kwao namna gani
12. Wanafurahi unapowashirikisha siri zako, kwa sababu, watakutumia dhidi yako, kukudhuru, kukuumiza au kukusaliti bila kuwa na taarifa
Wakati mwingine, tatizo lako si Tatizo; Tatizo lako halisi ni mtu unayemwambia shida yako.