popo1986
JF-Expert Member
- Jul 30, 2014
- 1,120
- 371
Hii ni Tahadhari kwake na uongozi mzima wa Chadema, ; John Mnyika tangu tukupe kura nyingi za kutosha umetusahau huku mbezi na posho za ubunge ndio zimekusahaulisha kabisa.
Matatizo yetu huku jimboni unayajua na hatuoni mabadiliko yyte.. isitoshe kama imeshindikana huko juu kutatua basi njoo uongee na sisi tujue cha kufanya lakini upo bize na makaratasi.
NB: IKUMBUKWE MIKUTANO YA SIASA KWENYE JIMBO LAKO INARUHUSIWA SO. HUNA WA KUMLAUMU.
USHAURI:
Uongozi wa Chadema kwa namna hali ya siasa ilivyo sasa mnatakiwa kuwa karibu na wananchi kuliko kipindi chochote kilichopita, kwa sababu utawala huu wa sasa unatenda yale mambo ambayo kwa asilimia kubwa yalikuwa ni matatizo ya wananchi sasa nao wanayatatua, so mkifanya mchezo kuna siku mtajikuta mnabaki wenyewe viongoz bila wa kumuongoza.
Mnyika endelea kutukomesha. Ila huku ni mtakuja.
Sent using Jamii Forums mobile app