Hawa maranyingi hawanaga focus na madini, wengi huiba Mafuta na bidhaa zingine zenye thamani,Au umemaanisha wavamizi na waporaji wa madini?
Karibu tukupe mkeWakurya ndio wakarimu,wapo vizuri kichwani kiakili ila kuna muda wana ubabe wa kipumbavu.
Yani wana hyper sana,pia huwa hawajui kitu kinachoitwa majadiliano,wao wanajua matumizi ya nguvu kuliko majadiliano.
Yani hawana tofauti na wamaasai.
Kitu kidogo cha kujadiliana mtavutana mashati na kupigana mabisu,kwa hiko wanazingua sana.
Siwawezi mkuu wake wa kikurya.Karibu tukupe mke
Tunapenda hakiSiwawezi mkuu wake wa kikurya.
Niliwahi kuwa na mpenzi mkurya binti wambura aisee niliipata fresh.😂😂😂😂.
Wanawake wa kikurya wako too loyal and humble and honesty ilaaa mkizinguana dooh uwe na ubavu wa kupigana.
Shida ndugu zetu mna hyper sana.
Yani adrenaline haichelewi kumwagika.
Ni sahihi ila punguzeni matumizi ya nguvu.Tunapenda haki
Khaa ushahidi wa nn sasa.Ushahidi unayo hapo?
One time nitakuja nisimulie namna mambo ya wizi, dhulma, mauaji na mambo mengine yanavyo fanyika usiyo yajuamzungu analindwa kwa ulinzi mkubwa,silaha za moto hatari sasab huyo intruder anapenyaje na panga?
OkayHawa maranyingi hawanaga focus na madini, wengi huiba Mafuta na bidhaa zingine zenye thamani,
Sio kweli mkuu,kuna watu kiasili wako too aggressive yani wako short tempered,mfano wa hao ni wakurya na wamaasai.hadi ifike hatua mtu atumie nguvu ujue nawe ujatumia njia sahihi