Tahadhari ukiwa unakuja Tarime

Zamani kabla ya afu 2000.....
Aseee mi nlikuaga nawaogopa wakurya yani balaa, nadhani zile sijui ndo litungu au ritungu za mwezi wa kumi na mbili vijana walikua wakipita mitaani washatahiriwa wanapakwa nini usoni wanatisha....

Nlikua nikiogopa mno nimekua najua wakurya ni watu wanaotisha sana plus tone yenu ya ukali
 
kawaida tu,mbona sema wakurya ni wakali tu na hii ni asili ya makabila yote ya wafugaji!sema kawaida tu
Karibu mara
 
M
Mara nyingi tunaambiwa wakurya ni majasili sana na huwa najiuliza, ivi mbona nikisoma history sioni hata chief mmoja wa kikurya? Mbona sioni mchango wa Hawa watu kwenye ukombozi wa mtanganyika? Au ndo walipata umaarifu baada ya uhuru?
 
Mzee huwezi ona kwenye historia mkuu...hawa walikua hostile sana
So rahisi kama unavodhani mzungu angewasogelea ....
Nenda hiyo tarime ni mji wa zamani sana ulipewa hadhi ya wilaya siku moja na ARUSHA...
lakini mhindi alikua waga hapo town ni mmoja,hakuna muarabu wala msomali anafanya biashara hapo...
Hao wazungu wenyewe huko nyamongo wana ulinzi usipime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…