cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
mbona hujaniita nami niitike?asante kwa taarifa rafiki
mbona hujaniita nami niitike?asante kwa taarifa rafiki
niliona ulishaitwa nikajua utakuja tu kuitikia.....mbona hujaniita nami niitike?
Useful thread!!!!!............. ila sijui kwanini eti nimejisikia vibaya kwa wewe kuto kuni-copy
jamani nisamehe sana.
Uue haya majina yetu ya kigalatia huwa ni magumu sana kuyakumbuka yote huoni sasa nimesahau watu wengine??
Asante sana mkuu.
Inatisha, huu ugonjwa upo sana nchi za Latin America na America ya Kusini, sikuwahi kusikia ugonjwa huu kuwepo Africa. Kwa jinsi huduma zetu za afya zilivyo mbovu hii ni hatua ya kutisha sana. Sidhani kama wahusika wa afya hata wamejiandaa kupambana nao, usikute hata wauguzi na wahudumu wengine wa sekta ya afya hawaufahamu kabisa. Kwa watu wa kawaida kitaani hii ni changamoto nyingine inayoongeza ugumu wa maisha ya kila siku!
na mimi pia nimejisikia vibaya ati, naona dada yangu gfsonwin siku hizi amenifuta kabisa kwenye list yake pendwa!!
ni kweli haukuwa ugonjwa common huku kwetu ila sasa umeshaingia na last week uliua watoto 6 wakasema ni malaria kali. lkn sampuli za damu zilipopelekwa kwenda kupimwa ilikutwa wana virusi vya dengue.Asante sana mkuu.
Inatisha, huu ugonjwa upo sana nchi za Latin America na America ya Kusini, sikuwahi kusikia ugonjwa huu kuwepo Africa. Kwa jinsi huduma zetu za afya zilivyo mbovu hii ni hatua ya kutisha sana. Sidhani kama wahusika wa afya hata wamejiandaa kupambana nao, usikute hata wauguzi na wahudumu wengine wa sekta ya afya hawaufahamu kabisa. Kwa watu wa kawaida kitaani hii ni changamoto nyingine inayoongeza ugumu wa maisha ya kila siku!
Paloma Mungu huwa haambiwi hivi............my God!
Eee mola tunusuru waja wako.........sa kwa nini uliumba hivi vijidudu lakini.....aaaargh!
ni kweli haukuwa ugonjwa common huku kwetu ila sasa umeshaingia na last week uliua watoto 6 wakasema ni malaria kali. lkn sampuli za damu zilipopelekwa kwenda kupimwa ilikutwa wana virusi vya dengue.
swali nililojiuliza hivi kwann hosp za wilaya hazina vifaa vya maabara?? kweli imefkia watu tuna rely kwenye kupima damu kwa compound microscope?? amanke nashindwa kuelewa kwann maabara za hosp hazikugundua hili mpaka baadae zilipopelekwa kweye maabara tofauti??
Ooooohhhhooo asante kwa taarifa ingawa najuuuuuta kuufungua huu uzi maana nina malaria umenipa mawazooooo