TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

Kwa upande wa dengue nashauri tu usipende kuitaja. Kama unaipenda sana subiri uugue au ndugu yako uone habari yake.
 
Denguo ipo tokea zamani na ikiua ,maana hawa mbu wanaovaa kombati au sare za jeshi wapo mitaani na wanawasha ajabu akikuuma ,ila jamaa wametumia kuuza magazeti na vyandarua !
 
Back
Top Bottom