Tahadhari: Tembo ni hatari sana

Ohooo mkuu pitia huku Lingusenguse maana haupo mbali napo,Tembo anahitaji RESPECT na muda wote angalia body language yake hasa positions ya masikio yake na mkia,kukaa kimya ni safi but always kuwa mwangalifu na approaching yake towards you,kama anakimbia kuja kwako na masikio juu ,hold your ground don't move ila kama anakuja kwa pembeni ni hatari maana anajilinganisha nawe na pls kama ndani ya gari reverse ili kuonyesha kuwa yiur not a threat,elewa Tembo ni wild animal SIO pet one
Niko southern Huku Namtumbo/Tunduru nimemuona Tembo juzi juzi aisee tembo ni mkubwa kishenzu
 
Ohooo mkuu pitia huku Lingusenguse maana haupo mbali napo,Tembo anahitaji RESPECT na muda wote angalia body language yake hasa positions ya masikio yake na mkia,kukaa kimya ni safi but always kuwa mwangalifu na approaching yake towards you,kama anakimbia kuja kwako na masikio juu ,hold your ground don't move ila kama anakuja kwa pembeni ni hatari maana anajilinganisha nawe na pls kama ndani ya gari reverse ili kuonyesha kuwa yiur not a threat,elewa Tembo ni wild animal SIO pet one
Last week Ijumaa amesababisha foleni ndefu sana Mikumi, alifika barabarani akaduwaa, msururu wa magari ukawa kama 4 kilometres kama vile tunasubiri msafara wa kiongozi wa kitaifa apite
 
Safi sana was a right decision,poleni kwa upotevu wa muda but end of the day kila mtu alikua safely na hii ndio tunaita RESPECT,tembelea Kasane,Botswana uone jinsi wild animals na binadamu wanavyoishi pamoja!!
 
Kwa mara ya kwanza nimewaona live nikiwa huku selous (zamani Julius nyerere national Park)
 
Safi sana was a right decision,poleni kwa upotevu wa muda but end of the day kila mtu alikua safely na hii ndio tunaita RESPECT,tembelea Kasane,Botswana uone jinsi wild animals na binadamu wanavyoishi pamoja!!
Kwanini Botswana na sio ngorongoro?
 
Ukikuta Tembo anavuka barabara au amezuia barabara kuwa mpole msubiri ataondoka mwenyewe uendelee na safari, usirogwe kabisa ukajaribu kumpigia pigia honi, atakanyaga bonet ya gari na safari iishie hapo. Tembo hataki kelele au kumlika mulika na taa atakumaliza. Take it for ur own safety
 
Back
Top Bottom