Tahadhari namba hii +255743539329

Tahadhari namba hii +255743539329

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,535
Reaction score
7,946
Namba +255743539329 imenipigia na kujifanya kunipa hongera eti nimeshinda bonus ya Mpesa, wanasema niwatajie kiasi kilichopo kwenye account yangu ya mpesa, nikacheka nikawaambia kwa nini mmetumia namba binafsi? Wakakata simu haraka na sasa hawapatikani tena. TCRA naomba niwasilishe malalamiko haya kwenu au mnipe utaratibu wa kuleta malalamiko. Nimeweka hapa kuwapa tahadhari wengine.
 
TCRA wangetoa namba yao maalum ili watu waripoti hizi kero kama wanavyofanya polisi kuhusu madereva wa mabasi. Vinginevyo like jengo kubwa lote wanafanyia nini?
 
Sijajua kwa nini voda wanaruhusu sana mtandao wao kutumiwa na hao matapeli.Ni kero sana.Wanatakiwa kulifanyia kazi hili mapema.
 
Kuna mmoja alinipigia aisehh ilibidi awe rafiki yangu nikamuuliza ni kwani2 wanafanya hivyo akanijibu kuwa mkulu si amebana kwahiyo greese ipo kwa huku kwenye utapeli...kumbe wanapata hela sana tu kwa siku anaweza akapata hata milioni tano hadi saba hahahaha!
 
ndo mpk awashike wajinga sasa
 
Kuna mmoja alinipigia aisehh ilibidi awe rafiki yangu nikamuuliza ni kwani2 wanafanya hivyo akanijibu kuwa mkulu si amebana kwahiyo greese ipo kwa huku kwenye utapeli...kumbe wanapata hela sana tu kwa siku anaweza akapata hata milioni tano hadi saba hahahaha!
Nahisi nishasikia audio ya mazungumzo yako na hao jamaa.
 
Namba +255743539329 imenipigia na kujifanya kunipa hongera eti nimeshinda bonus ya Mpesa, wanasema niwatajie kiasi kilichopo kwenye account yangu ya mpesa, nikacheka nikawaambia kwa nini mmetumia namba binafsi? Wakakata simu haraka na sasa hawapatikani tena. TCRA naomba niwasilishe malalamiko haya kwenu au mnipe utaratibu wa kuleta malalamiko. Nimeweka hapa kuwapa tahadhari wengine.
Hii namba ni hatari kuliko sumu ya panya. Wakikupigia Kama hujaenda shule kuna kila dalili kuwa watakuibia. Nahisi mwanzoni walikuwa wstumishi WA vodacom wakafukuzwa Kazi sasa wapo mtaani.
 
Tigo ndiyo balaa wao ni mawakala wao wakuu ndiyo wanawaibia mawakala
 
Back
Top Bottom