kumbuka wakikukera na ww unawakera ahaaaaaaahaaaaHata mimi hii tabia hunikera mno
kumbuka wakikukera na ww unawakera ahaaaaaaahaaaaHata mimi hii tabia hunikera mno
wanawake mnapenda sana kusifiwa na kuonekana bora njia sahihi ili muonekane bora ni kuponda waliopita hapooo atafurahii mpaka basi kekekekeeeee kuponda muhimu sana ili mpatikane
mcharuko nakupenda sana,tangu nilivyokuona moyo wangu unapwitapwita tu.Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......
mcharuko nakupenda sana,tangu nilivyokuona moyo wangu unapwitapwita tu.
kiukweli nshakuwa na mpnz but niliachana naye kwani alikuwa hapendi mitoko nk.
yeye muda wote home na kulala lala tu, in fact hakuwa chaguo langu kwani
interests zilikuwa haziendani kabisaa.., but wewe you are so special to me,
nimejiunga jf kwa ajili yako tu, plz baby nape sorry nipe nafasi japo nijibanze ....
Cha ajabu wakati anakula raha na huyo/hao wasichana wake hakuyaona hayo makosa istoshe yalikuwepo kabisa ila alikuwa anayafurahia tu!! Baada ya kuachana ndo anageuza gazeti, wizi mtupu!! Wanaume wa aina hii mna hatari ya kupoteza wapenzi wenu coz ipo siku watachoka kupokea cv za ma-X wenu ambazo zinawafanya wajihisi kila mara kwa sababu ni kama mnafikisha ujumbe indirectly!! Sasa endeleeni tu na hako kamchezo, siku mrs/g.friend akipata wa kumsifia huko nje ndo mtaisoma namba!