Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo

mie naona hiyo lbd itasaidia wanaume kutulia!! nilikuwa natamani kila mwanaume akutane na jini alafu limzabue makofi kama mawili tu, then tabia zenu zitabadilika na kukaa sawa!!

Mbona kuna wengine tunakutana nao mchana na ni wanadamu wa kawaida ila wanazibua makofi kuliko hao majini? In short, binadamu wote imefika mahali sasa tabia zetu tuzibadilishe!
 
ha ha haa haa haa duuuuuuuuuuuuuuu iiiiii nin oma coz kuna watu wanakwambia wanataka leo akutane ne na leo wamalizane so itakuje ndugu zangu?
 
Wanaume mnaopenda kuchukua wasichana warembo hususani kama umekutana nae siku moja na kumtaka kimapenzi ikibidi kusex nae siku hiyo hiyo ni hatari sana.
mtaani sasa hivi majini wanawake yamejaa sana, utaona ni mrembo kama malaika kumbe jini utamdu muda si mrefu utapotea au utapata madhara

hakikisha msichana unaetaka kuwa nae kimahusiano unamjua vizuri eithe anaishi wap, anafanya kazi wap, marafiki zake ni nani, alisoma wapi na ufanye uchunguzi wa kina kabla hajaparamia majini!

majini watu ni wengi wanapita mabaa usiku au njiani wamesimama mchana/usiku wanarembua kweli kweli tuwe makini kwa hilo nina mifano hai wameonekana.

Uzuri wa Majini hayana NGOMA
 
mbona kama unanishutumu kwa kuleta mada, au nimekosea kuwakumbusha wanaume wenzangu hata kwa mumeo linaweza tokea so awe makini
Sijasema u nimesema m nikimaanisha wenye tabia hiyo!Kama hujawahi wasiwasi wa nini?
 
hivi hakuna majini ya KIUME yawashughulikie wanawake wanaowatongoza wanaume pamoja na machangu ili nao wakome nasi wanaume tupumue?????:spider::spider:
 
Binafsi I dont support tabia ya mwanaume kujiokotea msichana ambaye hamjui na kwenda kulala naye.Ila najua wapo watu wa aina hiyo na ndio hao yanawakuta,lakini kwa kuwasaidia tu ndugu zanguni endapo utakutana na jini ni rahisi sana kumfahamu kabla hata hujaendelea na mambo yako.Mtazame machoni,na ukiona hana "eye blinking" basi huyo sio binadamu wa kawaida na umuepuke.Kwa kuwa binadamu wote akikutazama lazima macho yanafunga(kupiga kope)tofauti na majini ambayo yenyewe huwa hayana hali hiyo na yanatazama moja kwa moja,na likishakushtukia unalitazama machoni huwa yanajitahidi kukwepesha macho hivyo kwa njia hiyo itakuwia rahisi sana kuligundua,nawatakia kila la kheri katika harakati zenu watafutaji wa one night stand kwani najua mpo humu.
 
kama uko bia ya tisa utakuwa na muda wa kuchunguza macho?
 
kama uko bia ya tisa utakuwa na muda wa kuchunguza macho?

Sasa ndugu yangu uko bia ya tisa unataka mrembo ukamfanye nini?Hii naona ni kama unataka vurugu tu maana kwa bia hizo nina uhakika kama hutapitiwa na usingizi wakati hujamaliza hata first round basi utapitiwa na usingizi straight baada ya round hiyo na yeye kwa kuwa humjui umemuokota tu ndio utakuwa umempa nafasi ya kukusachi kila ulicho nacho na kukuacha guest house na nguo ya ndani tu.
 
Kuna mwingine kule kwa kina Rev masanilo alikuwa anatabia kila akiona binti mrembo lazima atie neno
Siku moja saa saba anatoka baa akakutana na mwanamke mzuri kama malaika anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari
Jamaa katia neno Bi dada akasema yes sir haina neno,jamaa na pupa zake akabanjua na binti mrembo baadae Binti akamwambia yeye ni nani,
na kila siku akawa lazima atokee kwa jamaaktk mazingira ya kutatanisha apate dose yake
Jamaa ,akaanza kuchanganyikiwa bila sababu na mpaka kupelekea uhai wake kuondoka
Bwana Masa kama ni kweli hebu nambie hiki kisa nilikikuta kwenu Zenj mitaa fulani :wink2:
 
Na mwingine hukohuko alijiokotea mrembo wakaenda naye kwake,kufika ndani wakaingia chumbani kulala msichana akiwa katangulia kitandani,jamaa akasema ngoja basi mpenzi nizime taa,yule msichana akasema wala usiwe na shaka mpenzi taa nitaizima mimi kisha akanyoosha mkono wake toka kitandani mpaka ilipo switch ya taa umbali kama wa mita tatu hivi akaizima taa,jamaa kuona vile akakikimbia chumba chake na hakurudi tena ndani ya nyumba hiyo.
 
Azaniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom