Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,010
- 54,155
Wapiga dili wamehamia mitandaoni
kuna na huyu tapeli mzuri pia 0715187291 anaitwa athuman mohamed dogoli naomba kwa anayemfahamu kuna donge nitampatiaHii namba naona jina la JANUARY ATHANAS
na inakuwaje kwa wale matapeli wanao tengeneza sms xa miamala kuonyesha kwamba katoa au kutuma na inaendana sawa na salio ulonalo, je hao sio wafanyakazi wa voda? na ikitokea hivyo nifanyeje maana mi ni muhanga na nishatapeliwa... jamaa anaitwa athuman mohamed dogoli ila anatumia namba hii 0715187291. [HASHTAG]#ATLAS[/HASHTAG] COPCOSiwezi kwenda police kwasababu sijatapeliwa ila nimetoa taadhari kuhusiana na hio no
Umejuaje kama hajaenda polisi?. Ujinga huo upo sana mitandaoniMimi ninafanya kazi vodacom Moshi nakuambia jambo ambalo tunaliona sana watu wanalalamika kutapeliwa ila ukichunguza unajua kua niugomvi tu..
Ila wewe kama nikweli kwanini usiende na polisi kabisa
Samahani kwa usumbufu mkuu kweli hio no nimekosea kwenye kuedit ila no yenyewe ni hii 0766652628 ambayo inaonekana kwenye huo muamala wa MpesaNaona kama vile kuna mkanganyiko. Kuna mahali namba inaishia 6; na mahala pengine namba inaishia 8 (angalia post #9 na#10 hapo juu). Angalieni msije taja namba ya mtu asiye husika.
Kuhusiana na inshu ya huyo wasiliana na voda mkuu wanaweza wakakupa maelekezo zaidna inakuwaje kwa wale matapeli wanao tengeneza sms xa miamala kuonyesha kwamba katoa au kutuma na inaendana sawa na salio ulonalo, je hao sio wafanyakazi wa voda? na ikitokea hivyo nifanyeje maana mi ni muhanga na nishatapeliwa... jamaa anaitwa athuman mohamed dogoli ila anatumia namba hii 0715187291. [HASHTAG]#ATLAS[/HASHTAG] COPCO
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa hii no ni tapeli anajifanya anafanya kazi vodacom huduma kwa wateja
View attachment 531983
Ila kwa kifupi hii no 0766652626 ilinipigia sim week iliyopita,baada ya kuipokea tu sim jamaa anaongea as if (anafanyakazi voda)basi akanitaja jina langu mm nikamuitikia naamu nakusikiliza,akaniuliza umetumiwa pesa M pesa muda mfupi uliyopita mm nikamjibu sijui kwasababu sijasikia notification yeyote imeingia kwenye sim yangu,akaniambia vodacom inafanya marekebisho kwenye system ya mpesa so kuna maelekezo ntakuwa nakuelekeza inabid unayafuatilize ili uweze kuendelea kupokea na kutuma miamala ya M pesa,mimi wakati huo namsikiliza tu sijaongea chochote,akaniambia hebu angalia kama kuna hela imeingia mm nilichomjibu tena kwa sauti ya ukali "niangalie ili iweje na uhakika unafanya kazi voda?"kwasababu nnavyojua voda kama voda kama kuna tatizo watawasiliana na ww kwa no 100,basi jamaa akakata sim nikajaribu kumpigia kwani anapokea sim mm nilichofanya nilimtumia tu sms ya kumuonya
Nb:watu wengi sana wanalalamika acc zao za M pesa kuibiwa hela zinazokuwemo humo,iwapo na mm ningekubali kufuata maelekezo ya jamaa lzm salio lilipo kwenye acc yangu ya Mpesa lingeyeyuka
+255 743 663 918Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa hii no ni tapeli anajifanya anafanya kazi vodacom huduma kwa wateja
View attachment 531983
Ila kwa kifupi hii no 0766652626 ilinipigia sim week iliyopita,baada ya kuipokea tu sim jamaa anaongea as if (anafanyakazi voda)basi akanitaja jina langu mm nikamuitikia naamu nakusikiliza,akaniuliza umetumiwa pesa M pesa muda mfupi uliyopita mm nikamjibu sijui kwasababu sijasikia notification yeyote imeingia kwenye sim yangu,akaniambia vodacom inafanya marekebisho kwenye system ya mpesa so kuna maelekezo ntakuwa nakuelekeza inabid unayafuatilize ili uweze kuendelea kupokea na kutuma miamala ya M pesa,mimi wakati huo namsikiliza tu sijaongea chochote,akaniambia hebu angalia kama kuna hela imeingia mm nilichomjibu tena kwa sauti ya ukali "niangalie ili iweje na uhakika unafanya kazi voda?"kwasababu nnavyojua voda kama voda kama kuna tatizo watawasiliana na ww kwa no 100,basi jamaa akakata sim nikajaribu kumpigia kwani anapokea sim mm nilichofanya nilimtumia tu sms ya kumuonya
Nb:watu wengi sana wanalalamika acc zao za M pesa kuibiwa hela zinazokuwemo humo,iwapo na mm ningekubali kufuata maelekezo ya jamaa lzm salio lilipo kwenye acc yangu ya Mpesa lingeyeyuka
Unawashwa eeeh?
Mbona kama umepanic?
Usijitie unajua watu panyabuku wewe.
Mume wangu ni sumbai na ndoa juu na mtoto juu kama ulikuwa haujui.
Kuhusu Raimundo itakuwa alikutatua marinda kwa mkopo mpaka Leo hajakulipa.
Pole.
Hata hivyo nakujibu kimakosa endelea na ujinga wako.
Shwain
Angekaa kimya watu wangejua ni kweliHii haikuwa muhimu, kakuchokoza hlf na wewe ukachokozeka kweli
Pole ni bonge la pichaMie kwangu picha imegoma kufunguka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atakuwa Raimundo tu huyo,halafu nasikia ana jicho moja huyo raimundo lingine waling'oa kwenye hayo mambo ya utapeli
Nimecheka hadi machozi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa Raimundo tu huyo,halafu nasikia ana jicho moja huyo raimundo lingine waling'oa kwenye hayo mambo ya utapeli
Nimecheka hadi machozi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kuna na huyu tapeli mzuri pia 0715187291 anaitwa athuman mohamed dogoli naomba kwa anayemfahamu kuna donge nitampatia
Mkuu tupo pamoja kwenye oparesheni ya #TOKOMEZA MATAPELI JF ila muache cute b hausiki kabisa.