Tahadhari: Mmiliki wa hii namba alitaka kutapeli

Tahadhari: Mmiliki wa hii namba alitaka kutapeli

atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
8,552
Reaction score
9,806
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mmiliki wa hii no ni tapeli anajifanya anafanya kazi vodacom huduma kwa wateja
Screenshot from 2017-06-28 15-04-59.png

Ila kwa kifupi hii no 0766652626 ilinipigia sim week iliyopita,baada ya kuipokea tu sim jamaa anaongea as if (anafanyakazi voda)basi akanitaja jina langu mm nikamuitikia naamu nakusikiliza,akaniuliza umetumiwa pesa M pesa muda mfupi uliyopita mm nikamjibu sijui kwasababu sijasikia notification yeyote imeingia kwenye sim yangu,akaniambia vodacom inafanya marekebisho kwenye system ya mpesa so kuna maelekezo ntakuwa nakuelekeza inabid unayafuatilize ili uweze kuendelea kupokea na kutuma miamala ya M pesa,mimi wakati huo namsikiliza tu sijaongea chochote,akaniambia hebu angalia kama kuna hela imeingia mm nilichomjibu tena kwa sauti ya ukali "niangalie ili iweje na uhakika unafanya kazi voda?"kwasababu nnavyojua voda kama voda kama kuna tatizo watawasiliana na ww kwa no 100,basi jamaa akakata sim nikajaribu kumpigia kwani anapokea sim mm nilichofanya nilimtumia tu sms ya kumuonya

Nb:watu wengi sana wanalalamika acc zao za M pesa kuibiwa hela zinazokuwemo humo,iwapo na mm ningekubali kufuata maelekezo ya jamaa lzm salio lilipo kwenye acc yangu ya Mpesa lingeyeyuka
 
Jamani wanadamu pia wamuogope mungu wakati mwingine unakuta eti mtu amegombana na mtu mwingine kisa mapenzi nk halafu anapost namba yamwenzake mitandaoni kwaajili yakumchafulia jina au kumkomoa maana wengine hutafutwa nakufanyiwa vitendo vya kikatili sana hivyo ningeombatu watu wawe wakweli kama imetokea hivyo nibora ungeenda utoe taarifa polis watakupa msaada mzuri ila hapa sio vizuri ila ngoja nimtafute huyu mtu niongee nae ataniambia ukweli kama umedanganya uliyo muwazia yatatokea kwako na utatupa mrejesho..

Nakumbuka kuna jamaa kagombana na demu akatuma namba ya yule demu redioni eti anatafuta mchumba yule mtoto wawatu kasumbuliwa sana akaenda kituo cha redio kuuliza aliyepost ile sms ninani akajulikana sasa hivi jamaa ukitaka kumuone lazima ufke gerezani maana ndo alipo hivyo umakini unahitajika tapeli wakweli akisha shtuka hawezi patikana tena wala simu hapokei anatupa laini kabisa ila hii namba ipo hewani
 
Itakuwa na ww ni jamii hiyo ya hawa matapeli,ni vizur ukamtafuta tena ukimpata mwambie kbs kuna jamaa amepost no yako jf kuwa inahusika na utapeli
 
Itakuwa na ww ni jamii hiyo ya hawa matapeli,ni vizur ukamtafuta tena ukimpata mwambie kbs kuna jamaa amepost no yako jf kuwa inahusika na utapeli
Mimi ninafanya kazi vodacom Moshi nakuambia jambo ambalo tunaliona sana watu wanalalamika kutapeliwa ila ukichunguza unajua kua niugomvi tu..

Ila wewe kama nikweli kwanini usiende na polisi kabisa
 
Mimi ninafanya kazi vodacom Moshi nakuambia jambo ambalo tunaliona sana watu wanalalamika kutapeliwa ila ukichunguza unajua kua niugomvi tu..

Ila wewe kama nikweli kwanini usiende na polisi kabisa
Siwezi kwenda police kwasababu sijatapeliwa ila nimetoa taadhari kuhusiana na hio no
 
Eti Raimundo ni baby wa cute b.
Yaani cute b na "ucute" wote huo unakua na li bwana "Mr. Tapeli"
Ptuuuuuuuuu!!!! Hadi kinyaa!!!
Unawashwa eeeh?
Mbona kama umepanic?
Usijitie unajua watu panyabuku wewe.
Mume wangu ni sumbai na ndoa juu na mtoto juu kama ulikuwa haujui.
Kuhusu Raimundo itakuwa alikutatua marinda kwa mkopo mpaka Leo hajakulipa.
Pole.
Hata hivyo nakujibu kimakosa endelea na ujinga wako.
Shwain
 
Naona kama vile kuna mkanganyiko. Kuna mahali namba inaishia 6; na mahala pengine namba inaishia 8 (angalia post #9 na#10 hapo juu). Angalieni msije taja namba ya mtu asiye husika.
 
Back
Top Bottom