asrams
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 4,798
- 2,657
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahAtakuwa Raimundo tu huyo,halafu nasikia ana jicho moja huyo raimundo lingine waling'oa kwenye hayo mambo ya utapeli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahAtakuwa Raimundo tu huyo,halafu nasikia ana jicho moja huyo raimundo lingine waling'oa kwenye hayo mambo ya utapeli
Mkuu tupo pamoja kwenye oparesheni ya #TOKOMEZA MATAPELI JF ila muache cute b hausiki kabisa.
Yule aliyekuwa akijitetea juzi alikuwa kadata akatoa maelezo vibaya...
Ila cute b ni msafi,asichafuliwe pls.
Asante dear.Mkuu tupo pamoja kwenye oparesheni ya #TOKOMEZA MATAPELI JF ila muache cute b hausiki kabisa.
Yule aliyekuwa akijitetea juzi alikuwa kadata akatoa maelezo vibaya...
Ila cute b ni msafi,asichafuliwe pls.
Ahahahahaaaaa....Unawashwa eeeh?
Mbona kama umepanic?
Usijitie unajua watu panyabuku wewe.
Mume wangu ni sumbai na ndoa juu na mtoto juu kama ulikuwa haujui.
Kuhusu Raimundo itakuwa alikutatua marinda kwa mkopo mpaka Leo hajakulipa.
Pole.
Hata hivyo nakujibu kimakosa endelea na ujinga wako.
Shwain
Duh, ni kweli ana jicho moja.?!Nimecheka hadi machozi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inayiishia 28 ndio sahihi..!Mbona namba 2 tofauti? Kuna inayoishia na 26,na nyingine 28,Ipi sahihi
Pole kwa kadhia inayokukuta mpenzi.Asante dear.
[emoji7] [emoji7] [emoji7]
Hana banaDuh, ni kweli ana jicho moja.?!
Mmmmmhhhh unamjua?Dah bwana raimundo namuonea huruma sasa wakimtoa jicho la pili sijui itakuwaje yaani haachi tu kutapeli na anajua jicho la kwanza walimng'oa kwa ajili ya utapeli
Asante mamy. Namshukuru Mungu pia nipo hodari kupambana na Kila hali . si unakumbuka Kule enzi zetu ??? Ndipo paliponifunza kupamba na na hali zote za jf dear.Pole kwa kadhia inayokukuta mpenzi.
Kwakweli zile enzi zilitujenga sana. Sasa hivi sishindwi kudeal na lolote/yeyote JF hii.Asante mamy. Namshukuru Mungu pia nipo hodari kupambana na Kila hali . si unakumbuka Kule enzi zetu ??? Ndipo paliponifunza kupamba na na hali zote za jf dear.
Mmmmmhhhh unamjua?
Shemelaaa nime Ku pm plzKwakweli zile enzi zilitujenga sana. Sasa hivi sishindwi kudeal na lolote/yeyote JF hii.
Shukrani kwa kusahihisha kamandaInayiishia 28 ndio sahihi..!
Ni kweli kuna makosa ila no sahihi ni hio inayoishia na 28,samahani kwa usumbufu banduguMbona namba 2 tofauti? Kuna inayoishia na 26,na nyingine 28,Ipi sahihi