Tahadhari - Makampuni ya matangazo.

BadoNipo

Senior Member
Jul 4, 2008
170
28
Tahadhari kwa wananchi wote wanaofanya biashara na wanataka kujitangaza kwa kupitia mabango.
Hivi karibuni kumeibuka makampuni mengi ambayo yanajishugulisha na biashara ya mabango. kumbe kuna mengine ambayo hayajasajiriwa na Brela. mfano ni hii kampuni ya brooklyn Media,

Hii imetokea ambapo Kampuni yetu iliingia mkataba toka mwaka jana mwezi wa kumi wa kujitangaza na kampuni moja hivi inaitwa Brooklyn International, na wameishalipwa 50 % ya malipo ya kuweka mabango matano hapa dar es salaam hadi leo hii ni bango moja tu ndio liliowekwa hayo mengine bado kumbe yale maeneo waliosema kuwa wanavibali na wahusika si kweli ni uongo mtupu.
Hadi leo hii tunapigwa tarehe tu mara wiki hii mara ijayo.

So kuweni waangalifu yasije yakawakuta kama yaliyotukuta sisi.
 
Badonipo ahsante kwa kuleta taarifa hii ni kweli brookly ni wahalifu hata hiyo lebal sio yao ni ya watu wengine kabisa na wanafanya biashara zingine ambazo sio halali kwa mwovuli huo wa kutoa viwango kwa kampuni kadhaa hiyo
 
Badonipo ahsante kwa kuleta taarifa hii ni kweli brookly ni wahalifu hata hiyo lebal sio yao ni ya watu wengine kabisa na wanafanya biashara zingine ambazo sio halali kwa mwovuli huo wa kutoa viwango kwa kampuni kadhaa hiyo

ni kweli kabisa Shy, hii kampuni ilisajiliwa kwa ajili ya biashara ya Rating for Product and Servces naona wameshindwa ndo maana wameingia kwenye biashara nyingine kwa njia ya usanii.
 
Mkurugenzi wa kampuni hii anafanya kazi kampuni ya oryx ni mume wa dada wa miss tz wa zamani nafikiri faraja kota -- wakati meneja biashara wake yuko kampuni ya tbl .

Sasa mara nyingi wakishachukuwa pesa za watu huwa wanatimua wafanyakazi wao walioleta kazi hizo kupoteza ushahidi na mambo kama hayo wakati wao wanafanya kazi makampuni mengine

kweli kazi ipo bongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom