Tahadhari: Makamanda "UKAWA" tuwe makini sana!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,771
Reaction score
27,504
Ni wazo binafsi,
Upo uwezekano mkubwa siku ya leo jumamosi mpaka kesho alfajiri,vitendo vingi haramu hasa vinavyousiana kura za maruhani vinaweza vikatokea!,tuwe makini sana,mara tuhisipo hali isiyo ya kawaida mahali popote tanzania tuviripoti police mapema!/
**unaweza kuona mtu amevaa tai ukadhani ni mstaarabu kumbe ni wa hovyo zaidi ya wewe uliyevaa malapa**
 
Tutazilinda kwa style ya kutokusanyika na kwa kuwa kwenye mstari wa kura mpaka mwisho kama alivyoshauri wakili msomi Peter Kibatala. Huu ni mwisho wa mkoloni mweusi.
 
Njombe kishanuka kuna stk imekamatwa na maboksi ya kura feki...
 
Mi nilishasema...safari hii CCM wasipoingia kwenye 18 ya "The Hague" sijui...
 
ICC lazima CCM wataenda tu...mwaka huu ni ICC tu...!!😨😨
 
Ushauri wa nyongeza, wale wana Ukawa wote watakaokuwa wanatoka kusikiliza mahitimisho ya kampeni waende nyumbani salama kwa utulivu kwani kukitokea purukushani yoyote hata kama ni ndogo kiasi gani, watakuwa wameikosea jamuhuri na wanaweza kamatwa, rundikwa ndani hadi jumatatu na kupoteza haki ya kupiga kura. Soma Daniel 5:25 hadi 28 kwa ushauri wa ziada. Zingatia!!!!
 
NAOMBA KUJUZWA/
KOSA HILI SIYO DISQUALIFICATION YA MGOMBEA UBUNGE AU HILI LIMEKAAJE?
-->>NINA MASHAKA KURA HIZI KANJANJA ZITAPELEKWA MIKOA YOTE TUWE MAKINI SANA!
N.B
****
ZICHOMWE MOTO MARA MOJA!
ZIPIGWE PICHA NZURI KWA ISHAHIDI.
ii
 
Tuwe watulivu pale inapotakiwa na tumwombe Mungu atuvushe salama katika hili. Ushindi UKAWA ni asubuhi sana
 
Ni wazo binafsi,
Upo uwezekano mkubwa siku ya leo jumamosi mpaka kesho alfajiri,vitendo vingi haramu hasa vinavyousiana kura za maruhani vinaweza vikatokea!,tuwe makini sana,mara tuhisipo hali isiyo ya kawaida mahali popote tanzania tuviripoti police mapema!/
**unaweza kuona mtu amevaa tai ukadhani ni mstaarabu kumbe ni wa hovyo zaidi ya wewe uliyevaa malapa**
Hisia hizi umezitoa wapi tupe source
 
Kwa nini tunakuwa na hisia za kutapatapa hivi? Mbona hatujiamini namna hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapeeema asubuhi. Mbona ccm hawalalamiki namna hii.
Si Lowasa alisema tukishapiga kura tuondoke zetu yeye atajua namna ya kuzilinda? Au usemi huo aliufuta. Kama hajaufuta , piga kura nenda zako nyumbani kwako kaa na mmeo na watoto na ndugu mpige soga. Mambo mengine muachiw Lowasa
 
Lowasa mwenyewe haaminiki nadhani bado hajaondoka ccm. Jana aliwapigia kampeni wabunge na madiwani wa ccm kule ifakara. Alisema hadharani chagueni wabunge na madiwani wa ccm Ni ajabu na kweli.
Tafakari chukua hatua
 
Ushauri wa nyongeza, wale wana Ukawa wote watakaokuwa wanatoka kusikiliza mahitimisho ya kampeni waende nyumbani salama kwa utulivu kwani kukitokea purukushani yoyote hata kama ni ndogo kiasi gani, watakuwa wameikosea jamuhuri na wanaweza kamatwa, rundikwa ndani hadi jumatatu na kupoteza haki ya kupiga kura. Soma Daniel 5:25 hadi 28 kwa ushauri wa ziada. Zingatia!!!!
Safi sana ma'mdogo,kumbe una akili kama hiyo avatar yako....au ni picha ya kweli?
 
Ni wazo binafsi,
Upo uwezekano mkubwa siku ya leo jumamosi mpaka kesho alfajiri,vitendo vingi haramu hasa vinavyousiana kura za maruhani vinaweza vikatokea!,tuwe makini sana,mara tuhisipo hali isiyo ya kawaida mahali popote tanzania tuviripoti police mapema!/
**unaweza kuona mtu amevaa tai ukadhani ni mstaarabu kumbe ni wa hovyo zaidi ya wewe uliyevaa malapa**

Kuvaa tai ndo ustaarabu? Wewe umetokea wapi wewe fisi?
 
Kwa nini tunakuwa na hisia za kutapatapa hivi? Mbona hatujiamini namna hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapeeema asubuhi. Mbona ccm hawalalamiki namna hii.
Si Lowasa alisema tukishapiga kura tuondoke zetu yeye atajua namna ya kuzilinda? Au usemi huo aliufuta. Kama hajaufuta , piga kura nenda zako nyumbani kwako kaa na mmeo na watoto na ndugu mpige soga. Mambo mengine muachiw Lowasa

Babeli;
Mbona unakuwa na kichwa mbinuko hivi jamani?? Yaani ccm ilalamike wakati mmepewa uhuru sasa wa kupenyeza hizo kura maruhani bila kizuizi. Yaani ni kujibebea mabox mnavyotaka kwani wale walinzi weshakimbizwa kwa mabomu kuwafagilia njia. Haya banaa usijali, lakini mtaibaaaa mpaka mshindwe kabisa lakini bado Edo ndo president wetu wa 5.
 
Kwa nini tunakuwa na hisia za kutapatapa hivi? Mbona hatujiamini namna hii. Hii ni dalili ya kushindwa mapeeema asubuhi. Mbona ccm hawalalamiki namna hii.
Si Lowasa alisema tukishapiga kura tuondoke zetu yeye atajua namna ya kuzilinda? Au usemi huo aliufuta. Kama hajaufuta , piga kura nenda zako nyumbani kwako kaa na mmeo na watoto na ndugu mpige soga. Mambo mengine muachiw Lowasa

Kwahiyo unataka watu wakae kimya hata wakiona la mkono???
 
Back
Top Bottom