TAHADHARI: Majambazi waunda Task force | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TAHADHARI: Majambazi waunda Task force

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Mar 30, 2009.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Katika hali isiyo ya kawaida, majambazi wamejipanga kwa kuunda kikosi kazi (task force) ya kupambana na wenye mali (wananchi) hasa wale wenye kupenda kupiga kelele za "wezi hao!!!! Wezi hao!!!!".

  Kazi ya task force hiyo imeanza kwa kasi na tayari baadhi yao wamo humu JF na wanawashughulikia wale wote wanaopiga kelele za mwizi.

  Niliwahi kuona pale Kariakoo kibaka anapora simu na anapofukuzwa wenzake wanamsindikiza na kumgeuzia kibao aliyeibiwa na kuanza kumdunda kwamba ndiye mwizi na wakati mwingine mwenye mali huuwawa na kuchomwa moto.

  Hali hiyo sasa imeingia kwa majambazi wakuu na sasa kazi imeanza kwa kasi na wale wote wanaopiga kelele za mwizi (akiwamo Mwanakijiji) wajiandae kugeuziwa kibao na kufukuzwa, wakati wao (familia zao) ndio walioibiwa na majambazi wakuu.

  Majambazi hao wanakutana usiku na mchana na wana fungu kubwa kwa kazi hiyo ya kujilinda.
   
 2. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2009
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Mkuu usipotupa habari kamili tutavamiwa na sisi mkuu. ooooh ndiyo maana wakina .......... wameanza kutugeuka humu!
   
 3. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hakuna kulala, tutapambana
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Mkuu Halisi je una maana maisha ya wanafamilia ya wapambanaji kama kina MKJJ yako hatarini kwasababu ya kelele zao dhidi ya ufisadi? Wasijaribu hata siku moja maana na sisi tutaunda task force yetu...Wasijaribu kabisa,hapa at least tuna piga kelele kistaarabu na hakuna mwenye mpango wa kuipindua serikali ama kuchochea vurugu.

  I knew kama ni kweli JF inapelekesha mafisadi then they might try to do something, madhali taarifa hizi mmezipata kina Halisi,then ni budi kujiweka tayari kukabiliana maana naona hata hao JF mot umewaka,na kabla ya 2010 tutaona mengi.
   
 5. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mkuu April mosi bado haijafika!!! LOL
   
 6. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Si April fool ni real. We subiri, majeruhi wamo
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Umh!! wameona mafisadi wanapeta! masikini TZ
   
 8. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu Halisi, usijishushie hadhi kiasi hicho, kama unajua kuna watu humu JF wameunda Task Force wataje na uweke ni vipi umejua hilo. Nao watajitetea, lakini ukianza hisia ni sawa tu na wale wanaoua vikongwe kule kanda ya ziwa kwa sababu wana macho mekundu.

  Eti watu wanaopiga kelele kama Mwanakijiji wajiandae kugeuziwa kibao. Hapa ndio huna points kabisa, unataka sema kuwa watu fulani humu (kama Mwanakijiji) wakiandika kitu hata kama hakifai basi wote tukubali. Hiyo sio mjadala. UNATAKA SASA ANZISHA MAKUNDI, MANAKE IKITOKEA SASA WALE UNAOONA KUWA NDIO WAPIGANAJI WAKIBANWA UTASEMA SI NILISEMA. Mkuu kwa nini usifungue eneo kama Shehe Yahya udanganye watu kwa utabiri.

  Kuna watu wanataka wayasemao wao, ama watu wao ndio iwe mwisho wa mjadala. Kutofautiana kulikuwepo, kupo na kutakuwepo. Mtu akifanya jambo jema ataungwa mkono, akikosea atakosolewa bila kuogopa eti kuwa nitaambiwa niko katika hiyo Task Force. Sasa usigeuze kukosoana ni kuwaunga mkono mafisadi. Huo ni mwisho wa kufikiri.
   
 9. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Uko sahihi, najishushia hadhi, lakini mimi SINA HADHI YA KUSHUKA HAPA NILIPO NIKO CHINI KABISA SASA NIKISHUKA NI KABURINI. Ila ujue JF nimeweka kama mfano, sijasema JF ndio pekee!!!
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeshaambiwa kuna majeruhi,unachotakiwa ni kuomba Mungu apishilie mbali na si kuanza kujitetea kuwa hauruhusiwi kumpinga MKJJ,wapi Halisi kasema maneno hayo?Mkuu don't put words in other people's mouth,cha muhimu ni kuulza maswali zaidi ama kuomba taarifa zaidi na si kujihisi kuwa uko kwenye task force,why would you think that? Kujihisi sio vizuri mkuu.....Kwasababu kwani task force hiyo ni ya kupinga hoja?
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,534
  Likes Received: 81,951
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu kwa hii taarifa. Hali inatisha inaelekea mafioso wameingia kazini ili kuwatisha Watanzania wanyamaze kimya wakati wao wanaendelea na ufisadi wa kuikamua nchi. Na watakuwa tayari kufanya lolote lile kutunyamazisha.
   
 12. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwani mimi naandika kitu nisichosoma kama wewe, mimi ukiona naandika kitu nimekisoma na kukielewa, na mimi hapa JF sijibu kwa kuangalia jina la mtu. Ukileta hoja iliyo sawa nakuunga mkono, ukileta hoja batili nakupinga, siangalii ni nani. Sasa JMushi soma Halisi aliandika nini. Usirukie kujibu kama huelewi nilichoandika baada ya kusoma bandiko la Halisi.

   
 13. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mfumwa wewe umetafsiri wrong,narudia mkuu,umetafsiri vibaya kwasababu kumpinga mtu si kumgeuzia kibao na kumwita "Mwizi" Chukulia mfano wa mwenye mali kumkimbiza mwizi na yeye kubadilishiwa kibao na kuitwa mwizi,kwani hujasikia watu wakibambikiziwa wizi ama makosa ya jinai? Umesahahu Mengi alitaka kufilisiwa na waziri kijana? Wewe umetafsiri moja kwa moja kuwa ni vita vya hoja dhidi ya maoni ya MKJJ na wengineo,na kwamba ukipinga kwa hoja then ndio kumwita mtu mwizi? Umeenda too far maybe,tusubiri Halisi atueleze zaidi...Halafu una maana gani unaposema naandika kitu nisichosoma? Kipi hicho? Kuwa specific maana unalia lia kabla,unajihisi,umeshtushwa na kushangazwa,sasa nani mwizi?
   
 14. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mkuu Halisi, kama JF ilikuwa kama mfano ungesema. Kwani kuna shida gani kusema kuwa Taifa limeingiliwa, na watu kama JF, vyama vya upinzani, watetezi wa haki za binadamu nk, kuweni makini. Uanze sema hata hapa JF hao watu wapo, na mtu kama Mwanakijiji atageuziwa kibao kwa kelele zake. Hii sio hoja. Usitake kugeuza hili suala, ama liandike upya. Labda ulichotaka kukifikisha kwetu umeshindwa kukipangilia. Lakini kutisha watu kwa kutumia ufisadi hiyo haipo. Watu waache wajadili, bila kuanza kutabiri vitu ambavyo tunajua vipo. Walikataliwa mitume wa Mungu, seuze binadamu ambao hawako kamilifu.
   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Sasa kama unadai kuna watu hawasomi,na wewe unafanya nini? Hapo chini ulisoma? Kumbuka MKJJ alitumiwa kama mfano...Sasa unalia lia nini?

   
 16. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hayo unayoyaeleza nayajua, soma post ya Halisi, naye hajapinga kakubaliana nami kwa kusema JF ilikuwa ni mfano tu. Kama ungesoma majibu yangu nilijibu alichoandika, sasa wewe unapotoa mifano asiyoiandika nakushangaa. Nani kakwambia mimi nalia, kama umezoeshwa kulia lia sio mimi.
   
 17. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,560
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  Soma hapo juu..."Na wale wote wanaopiga kelele za mwizi" Kwanini umekomaa na MKJJ,si ulishaabiwa ni mfano? Wewe umerukia kwa kusema kelele za flani na blah blah zisizo na msingi na vijembe uchwara.
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Mar 30, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  hao mitume wa Mungu hawakuwa binadamu ambao "hawako kamilifu"?
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mkuu Dar Es Salaam vipi hapa hakuna udini?
   
 20. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2009
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Halisi,

  Mimi naamini unachosema ni sahihi,sio kwa sababu nina ushahidi bali kwa vile kinawezekana kabisa.Sasa,kuna msemo wa kiswahili kwamba MCHAWI MPE MTOTO AMLEE!Je hudhani kwamba laiti ungewaanika majambazi hao na task force yao hadharani ingewafikishia ujumbe kuwa TUMESHAWANG'AMUA?
   
Loading...