Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Itakuja kabla ya masaa 72.
Mimi nimenunua umeme jana wa 50000 kupitia Airtel nikaona kimya. Baada ya kupiga kuulizia wakasema ni kweli nimenunua lakini tanesco wanarekebisha mtandao nisubiri baada ya masaa 72 nikawaambia hiyo ni kero kubwa kwakuwa nauhitaji umeme huo wakati huo mpaka sasa hawajarudisha pesa wala hawajatuma umeme. Lakini baada ya dakika 10 nikanunua kupitia tigo nikapata. Inakera sana!Leo nilikuwa nahamisha pesa kiasi cha 500,000/= kutoka kwenye akaunti yangu ya M-Pesa kwenda Tigo-Pesa nikapata message hii,
"Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhari wasiliana na huduma kwa wateja".
Nilipoangalia salio pesa ikawa imekatwa lakini haijafika kwenye akaunti ya Tigo pesa, nilipopiga Huduma kwa wateja wakasema kuna matatizo ya kiufundi NISUBIRI MASAA 72 yaani siku tatu.
Yaani hapa nimechoka na pesa ilikuwa ya kusafirishia msiba.
Asee umeandika lugha ya kiswahili lakini!!![emoji119] [emoji119]Hapo tatizo ni tiGo maana hata nami iliwahi kunisumbua kutuma pesa kutoka Airtel Money kwenda Tigo pesa. Muda mchache uliopita nimepokea pesa kupitia Mpesa bila tatizo lolote.
Me walinichukulia 200, yangu ya umeme haikurudi pia kama kuna sehemu nina ogopa kuweka pesa ni m.pesaMwezi wa tano mwaka huu niliwahi kuhamisha pesa M pesa kwenda Airtel money ninunue umeme, hiyo pesa haijawahi kufika mpaka leo na wala haijawahi kurudi kwenye akaunti yangu ya Mpesa mpaka leo.
Unajua mkataba wako wa huduma na hiyo mitandao ya simu au unaenda tu kufungua kesi kwa sababu una mwanasheria.Tafuta mwanasheria fungua kesi TCRA hao voda watakulipa mpaka wachanganyikiwe
"Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhari wasiliana na huduma kwa wateja".
Kuna vijana wanapiga kuleMwezi wa tano mwaka huu niliwahi kuhamisha pesa M pesa kwenda Airtel money ninunue umeme, hiyo pesa haijawahi kufika mpaka leo na wala haijawahi kurudi kwenye akaunti yangu ya Mpesa mpaka leo.