Tahadhari kwa wote mnaotaka kutembelea Botswana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari kwa wote mnaotaka kutembelea Botswana

Discussion in 'International Forum' started by Delegate, May 30, 2012.

 1. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  Hapa ni mahali pengine,nyie huko mmezoea kumdharau Rais wenu na mawaziri wenu kutokana na sababu mnazojua nyie,hapa ni tofauti ukija hapa ukaleta madharau kwa viongozi wa nchi hii unakamatwa mara moja na kurudishwa kwenu,juzi juzi alikuja mhubiri maarufu kutoka Tanzania akaongea neno fulani lisilo zuri kwa kiongozi wa nchi hii,kwa taarifa tu ni kwamba ilikuwa ahubiri siku tatu lakini alikimbizwa siku hiyo hiyo,japo uongozi wa kanisa unaficha lakini tumeshagundua,Watanzania maneno yenu yatawaponza!!kama mna viongozi wabovu msifikiri ni kila taifa wana viongozi kama wenu!
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  i.d.iots ukimwi utawaua huko botswana ..sisi inatuhusu nini botswana yenu?
   
 3. Delegate

  Delegate JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 332
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 35
  hujui ukimwi ni janga la dunia??nilikuwa naheshimu point zako kumbe na wewe ovyo kabisa,ni tahadhari tu natoa kwa ndugu zangu
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Vipi, jamaa aligusia uCameron wa kiongozi?
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu tunashukuru sana kwa kutupa tahadhari, na nakubaliana na wewe kwamba wakati mwigine uhuru ukizidi mipaka inakuwa fujo. Mimi wakati mwingine huwa sipendi kabisa watu wengine wanapo muhita majina ya kila aina Raisi wetu; anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu wingine lakini anapashwa kuheshimiwa na siyo mabo ya name CALLING, AIPENDEZI HATA KIDOGO.
   
 6. Azipa

  Azipa JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 1,072
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Botswana mazoba! hadi rais wao anafikia hatua ya kuonesha kidole kwa waziri wake wa kike na kusema "Nitafutieni mke.Asiwe mke mnene kama huyu" huo ni unyanyasaji mtupu
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  si umseme tu bro? juzi ulikuja na ukamsifia mwingira hapa, wengi tulieleza alivyo nyoka, ukaishia kusema nabii haheshimiki kwao. leo unasema amefukuzwa. nini sasa hii
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  unajaribu kusema nini? kwamba kutokubali Criticism ndio ubora wa kiongozi? halafu naona na wewe umekua kama haohao viongozi, maana mtu akiwaza tofauti kidogo tu na unavyotaka wewe anaweza kupoteza heshima kutoka kwako, kama ilivotokea kwa Saint Ivuga
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Napata picha kuwa Botswana demokrasia ni ndogo sana ama la basi uhuru wa vyombo vya habari na wa raia umedhibitiwa hasa!!!chama kimoja nini??kwa nini wananchi wamefika hapo?tofauti kabisa na majirani zao wote hapo??kuna tatizo hapo!!
   
Loading...