Kwa wale wote ambao hamjanielewa usiwe real tena kwenye Facebook hata pibha unazopost chagua za kupost.
Wambea mtaani wamedoda sasa wanawafuata huko huko, hebu jiulize mwaka mzima mtu hajawahi kupost wala kucomment wala kulike post zako na yupo online daily huyu wewe ni wa nini kuwa kwenye friend list? Yeye kazi yake kupekuwa profile za watu na kufuatitilia activities zako.
Uko poa wewe?Umeongea point mkuu mm napitiaga friend list na delete mmoja baada ya mwingine unakuta una marafiki 5000 like 100 si bora kuwapunguza tu