Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Kama mtakumbuka kipindi cha nyuma watumiaji wa Internet tulikuwa wachache na wengi wetu hata uwezo wa kumiliki laptop tulikuwa hatuna tulitegemea kulipia one hour kwenye cafe kusoma email zetu na kuperuzi hapa na pale.
Sasa kuna mapinduzi makubwa ya teknolojia na mchina ndio kamaliza kazi na Vitecno na Huawei.Baada internet kushika kasi wambea wa mtaani nao wameamuwa kutufuata mitandaoni mtu anakuomba urafiki ukimkubali kimya chake utadhani hayupo kumbe kila siku anafuatilia tu maisha yako.
Nina friend request kama 10 hivi nimeziweka pending, mchina katuletea shida.