Umani Wolbachia
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 328
- 311
Aiseee kumbe kuna wanaopata wenza...humuhumu JF....aisee kweli maisha yamebadilika hv kweli mtoto wa kike au kiume uliyelelewa kimaadili ya kitanzania unaweza tafuta mke kwenye social media??labda kama ni wale wakupotezeana muda....Ndio mana nimesema mwenye masikio na asikie mana toka nimeijua jamii forum ni mmoja tuu aliwah pata MKE huku na akaleta mrejesho wengi huishia kulizwa
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app