MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 305
Habari za muda huu wanajamvi
Poleni na hongereni kwa pilika za kuutafuta mkate wa kila siku
Kutokana na ubovu wa systems za vyuo baadhi vya afya kuwa na utaratibu wa kupandisha ada wapendavyo tofauti na utaratibu wa TCU.
Nawasihi vijana wenzangu,kama unajua maisha ya nyumbani si mazuri(financially) Basi usivijaze vyuo vya privates,Utapata pressure bureeeee!!!Mfano:Unakuta tcu guide book imeonesha ada ya chuo husika ni mil 1.8 lakini ukifika chuoni Unaambiwa ada ni Mil 3.2.
Japo tcu wanatuaminisha ada haijapanda lakini chuoni mambo ni tofauti,usipokuwa na fedha taslimu haupokelewi au mbadala wake uandike barua ya kuji"Commit"!!
Nawasilisha! naombeni TCU mpeteni vyuoni msikie vilio vyetu